Wednesday , 1 May 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Ma RC: Wanaume 22, wanawake wanne

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa 26 ya Tanzania Bara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

RC Mghwira: Asanteni sana K’njaro, nao wampongeza

  ANNA Elisha Mghwira, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (RC),nchini Tanzania, amewashukuru wananchi wa mkoa huo akisema “nitawakumbuka daima.” Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Changamoto sugu: Wananchi Njombe Mjini wamfungia kambi mbunge 

  BAADHI ya Wananchi wa Jimbo la Njombe Mjini, wamelazimika kuweka kikao na Mbunge wao, Deo Mwanyika, kujadili namna ya kumaliza changamoto  sugu...

Habari za Siasa

Rais Samia aanza kuteua wapinzani

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais  wa Tanzania, ameanza kutimiza ahadi yake ya kuteua wapinzani serikalini, baada ya kumteua Queen Cuthbert Sendiga, kuwa Mkuu...

Habari za Siasa

Warithi viongozi waliotimuliwa BAWACHA kupatikana Mei 18

  KAMATI Tendaji ya Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA), tarehe 18 Mei 2021, itafanya uchaguzi kujaza nafasi za viongozi wa baraza hilo,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awang’oa mabosi Takukuru, Bunge

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Bunge...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateua Ma RC, wakuu wa taasisi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Jumamosi, tarehe 15 Mei 2021, amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na watendaji wakuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata kesi za Masheikh: Sheikh Ponda, BAKWATA waungana

  KATIBU Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameungana na Baraza la Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA),...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia amsimamisha DC Sabaya, ateua

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu achambua uteuzi DPP Mganga kuwa Jaji

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani, Tanzania- Chadema-Bara, Tundu Lissu, amekosoa uamuzi wa Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kumteua...

Habari za Siasa

Zungu arejea uenyekiti wa Bunge, wawili wapya

  BUNGE la Tanzania, limewathibitisha, Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu; Mbunge Viti Maalum, Najma Murtaza Giga na Mbunge wa Mufindi Kusini, David...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mkwamo malori bandari Dar wasimamisha Bunge

KADHIA ya malori kutoshusha wala kuoandisha mizigo kwa siku tano mfululizo, imelisukuma Bunge kuahirishwa kwa dakika 20 ili kujadili mkwamo huo. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Mseven kuapishwa leo, Rais Samia kuhudhuria

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekwenda nchini Uganda, kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais mteule wa nchi hiyo, Yoweri Museveni. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mwanasheria Bawacha: Spika atimize wajibu wake

  MHAZINI wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), katika jimbo la Kawe, Esther Dafi amesema, amesikitishwa na upotoshaji...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateua majaji 28, DPP Biswalo nje, ndani

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani saba, amemuongezea muda Jaji wa Mahakama ya Rufani...

Habari za Siasa

Ndugai ashauri HESLB itoe mikopo vyuo vya kati, ufundi

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameishauri Serikali ifanye marekebisho ya Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB),...

Habari za Siasa

Matiko aibua hoja mpya miradi ya maji

  MBUNGE asiye na chama, Esther Matiko amelishauri Bunge liunde kamati maalum kwa ajili ya kuchunguza miradi ya maji yenye harufu ya ubadhirifu. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Safari: Ndugai anatumia Katiba ipi?

  PROFSA Abdallah Safari, mmoja wa wananasheria mahiri nchini Tanzania, amesema, hatua ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuendelea kuwakingia kifua wabunge 19,...

HabariHabari za SiasaTangulizi

Zitto: Buhigwe msitishwe

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amewataka wakazi wa Jimbo la Buhigwe, Kigoma wasitishike na watu wanaowashinikiza kuchagua mgombea wa Chama Cha...

Habari za SiasaTangulizi

Wazee Chadema wamweka mtegoni Rais Samia

BARAZA la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limeishauri  Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ifanye marekebisho ya Katiba ili nchi...

Habari za SiasaTangulizi

Mzee Mwinyi atimiza miaka 96, kuzindua kitabu chake leo

  MZEE Ali Hassan Mwinyi, Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, leo Jumamosi, tarehe 8 Mei 2021, ametimiza miaka 96. Anaripoti...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Nitateua yoyote bila kujali chama anachotoka

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema katika serikali yake, atateua mtu yeyote mwenye uwezi kutoka chama chochote cha siasa ili kujenga...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee, wenzake 18 wamtesa Ndugai

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai analazimika kutoa maelezo ya mara kwa mara kutokana na ‘mashambulizi’ yanayoelekezwa katika kiti chake, kuhusu kushindwa kuwatimua...

Habari za Siasa

Rais Samia aongoza kikao baraza la mawaziri

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri. Anaripoti Nasra Bakari, DMC … (endelea). Kikao hicho, kimefanyika leo...

Habari za Siasa

‘Wafadhili wa miradi ya maji wapunguziwe kodi’

  SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kuwapunguzia mzigo wa kodi wafadhili wa miradi ya maji. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea).  Ushauri...

Habari za SiasaTangulizi

Wenyeviti wa Bunge Tanzania, giza nene

  LICHA ya Kanuni za Bunge la Tanzania, kutaka kuwepo kwa Wenyeviti wa Bunge, mpaka sasa wenyeviti hao hawapo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge Tanzania laweka historia mpya

  KWA mara ya kwanza, kipindi cha maswali kwa waziri mkuu bungeni nchini Tanzania, kimekosa maswali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Dk....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe azungumzia ziara Rais Samia Kenya “Tanzania tunakusubiri”

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania- Chadema, amempongeza Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kwa kauli zenye upatanishi...

Habari za Siasa

Rais Samia atoa msimamo ushirikiano Tanzania-Kenya

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewata watu kutolichonganisha Taifa hilo na Kenya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Rais...

Habari za Siasa

Rais Samia awavunja mbavu wabunge Kenya

  MABUNGE ya Kenya leo Jumatano, tarehe 5 Mei 2021, yametawaliwa na vicheko, furaha wakati Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia. Anaripoti...

Habari za Siasa

Kampeni Buhigwe: Majaliwa amwaga sera, ahadi

  SERIKALI ya Tanzania, imetenga zaidi ya Sh.1 bilioni kwa ajili ya kuboresha hospitali ya wilaya Kibondo, mkoani Kigoma, ili kuhakikisha wakazi wa...

Habari za Siasa

Serikali yaweka nguvu barabara ya Handeni – Kiteto -Singida

  SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh. 6 Bilioni kwa ajili ya kuanza maandalizi ya ujenzi wa barabara ya Handeni – Kiberashi – Kiteto...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe akumbuka wema wa Mdee, Zitto Chadema

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema, Halima Mdee, Zitto Kabwe na Shaibu Akwilombe ni miongoni mwa watu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Kenya kuna Uhuru, Tanzania kuna Suluhu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia mazingira mazuri wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania, akisema upande mmoja kuna uhuru wa kufanyabiashara na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Tunakuja kwa miguu yote Kenya

  TANZANIA imeahidi kuingia kwa miguu miwili katika uwekezaji nchini Kenya. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kauli hiyo imetolewa na Rais Samia Suluhu...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Kenyatta amwambia Samia ‘safari hii tutafika mbali’

  RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema, ana matumaini kwa taifa lake na Tanzania kufika mbali kutokana na kuimarika ushirikiano. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Mkakati wasukwa kuwang’oa Mdee, wenzake

  MAKAKATI umeanza kusukwa ili kuhakikisha Halima Mdee na wenzake 18, wanang’olewa bungeni. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Mkakati huo...

Habari za SiasaKimataifa

Rais wa Tanzania Samia atua Kenya

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewasili salama nchini Kenya. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ndege ya Shirika la Ndege ya Tanzania...

Habari za Siasa

Uhuru wa Habari: Sheria kandamizi Tanzania ziondolewe

  SHIRIKA lisilo la kiserikali linalotoa msaada wa kisheria (Legal Services Facility-LSF), limeiomba Serikali ya Tanzania, kuondoa sheria zinazokandamiza uhuru wa vyombo vya...

Habari za Siasa

Hivi serikali inatambua madhara ya Zebaki?- Mbunge ahoji

  SERIKALI ya Tanzania, inatambua madhara ya afya kwa binadamu, mimea na mazingira yanayosababishwa na matumizi ya kemikali ya Zebaki katika shughuli za...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai awakumbatia Mdee, wenzake 18, ananga Chadema

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameendelea kuwakingia kifua waliokuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na...

Habari za Siasa

Kiwanja cha ndege Manyara kujegwa

  SERIKALI nchini Tanzania, inatarajia kuanza ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Mwada, mkoani Manyara. Anaripoti Nasra Bakari, DMC … (endelea). Kauli hiyo...

Habari za SiasaTangulizi

Samia ateta na Rais mstaafu Obasanjo Ikulu Dodoma

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee wamponza Nape bungeni

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amemwonya Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye kuacha kuwasema vibaya, Halima Mdee na wenzake 18,...

Habari za Siasa

Vifungo vya nje vyaokoa bilioni 1.5

  SERIKALI ya Tanzania, imefanikiwa kuokoa kiasi cha Sh. 1.5 bilioni kutokana na kutumika adhabu ya vifungo vya nje kwa Mwaka wa Fedha...

Habari za Siasa

Nyalandu ainanga Chadema

  SIKU mbili baada ya kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lazaro Nyalandu, amesema chama hicho tawala ni imara kuliko Chama cha Demokrasia na...

Habari za Siasa

Nyalandu amnasihi Mbowe

  LAZARO Nyalandu, aliyerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), amemshauri, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutoweka masharti magumu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Vyeti feki: Zitto apongeza uamuzi wa Rais Samia

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amepongeza hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuagiza watumishi waliostaafishwa kazi ikiwemo walioghushi vyeti, kulipwa...

Habari za Siasa

Wakili amshauri Rais Samia

WAKILI Kuawayawaya Stephen Kuwayawaya, amemshauri Rais Samia Suluhu kuwa makini na watendaji wa ofisi yake. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kuwayawaya ametoa ushauri huo...

Habari za SiasaTangulizi

Mei Mosi: Mambo 11 aliyosema Rais Samia

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewahutubia kwa mara ya kwanza, wafanyakazi na kutoa ahadi mbalimbali zenye kurejesha tabasamu miongoni mwao. Anaripoti...

error: Content is protected !!