MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ametamka bayana kuwa anatamani kung’atuka mwaka 2023 na kupisha wengine. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 7, 2021MBUNGE wa Kawe mkoani Dar es Salaam, Askofu Josephat Gwajima, amehoji lini Serilkali itapeleka boti za doria jimboni humo, kwa ajili ya...
By Kelvin MwaipunguJune 7, 2021JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania-NCCR-Mageuzi, ameitaka Serikali kuweka hadharani, uchunguzi uliofanyika Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Anaripoti Hamis Mguta,...
By Kelvin MwaipunguJune 6, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeeleza hatua ilizofikia katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati, iliyoachwa na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John...
By Mwandishi WetuJune 5, 2021HATUA ya Serikali ya Tanzania, kumfikisha mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, imeibua mjadala mwingine wa...
By Saed KubeneaJune 5, 2021MAMBO matano yameteka mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii, kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022, uliotokea Ijumaa, tarehe 4...
By Regina MkondeJune 5, 2021MBUNGE wa Mtama mkoani Lindi (CCM), Nape Nnauye, ameonya anguko la sekta ya uwindaji wa kitalii, endapo Serikali haitachukua hatua madhubuti, kukabiliana...
By Mwandishi WetuJune 4, 2021MBUNGE wa Biharamulo (CCM), Ezra Chiwelesa, ameiomba Serikali ya Tanzania, ibadili jina la Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato, ili kuzima mjadala ulioibuliwa...
By Mwandishi WetuJune 4, 2021MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (CCM), Assa Makanika, ameiomba Serikali ya Tanzania, kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo, ambao wamekuwa wakikamatwa kwa kuitwa wakimbizi...
By Masalu ErastoJune 4, 2021FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, ametaka wafuasi wa chama hicho waliokimbilia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wasidharauliwe....
By Regina MkondeJune 3, 2021ALIYEKUWA mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, Tundu Lissu amejitosa kwenye mjadala wa kuundwa kwa mkoa mpya...
By Mwandishi WetuJune 3, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amebanwa bungeni kuhusu utaratibu wa fedha za miradi zinazochoelewa kutumika, kurudishwa katika Mfuko Mkuu wa Hazina...
By Masalu ErastoJune 3, 2021MBUNGE wa Msalala mkoani Geita (CCM), Idd Kassim, amesema usafirishaji makontena ya makinikia kutoka Mgodi wa Bulyanhulu, umezua taharuki kwa wananchi ,...
By Masalu ErastoJune 3, 2021WABUNGE wa zamani wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania- Chadema, Mchungaji Peter Msigwa na Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ wamewafungulia mashtaka Kamishna...
By Hamisi MgutaJune 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka waliogombea ubunge na kukosa na sasa wameteuliwa kuwa wakuu wa mikoa (RC), kutofikiria ubunge na...
By Mwandishi WetuJune 2, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, ametoa onyo kwa wakuu wa mikoa (RC) na makatibu tawala wa mikoa (RAS), kufanya kazi kwa...
By Mwandishi WetuJune 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS) 11 na George Mkuchika, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
By Mwandishi WetuJune 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi kupaza sauti zao wanapokutana na changamoto za huduma ya afya, ili Serikali yake izifanyie...
By Masalu ErastoJune 1, 2021ANATROPIA Theonest, Mbunge Viti Maalum asiye na chama bungeni, amehoji mkakati wa Serikali, katika kuziba pengo la wahadhiri wa vyuo vikuu, wanaoteuliwa...
By Masalu ErastoJune 1, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ametoa maagizo kwa walinzi wa Bunge hilo, kutowaruhusu wabunge wanaovaa vibaya kuingia bungeni. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 1, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema itatumia Sh. 6.0 bilioni, kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 20 za viongozi, katika makao makuu ya nchi,...
By Hamisi MgutaMay 31, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema iko mbioni kuanzisha utaratibu wa kutoa vifaa badala ya fedha, katika mikopo inayotolewa na halmashauri, kwa vikundi vya...
By Masalu ErastoMay 31, 2021SAA 48 kabla ya Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS) kuapishwa, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Azza Hilal Hamad....
By Masalu ErastoMay 31, 2021NYOTA ya Camilius Wambura, ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania, imeendelea kung’aa, baada ya Amri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan, kumpandisha...
By Masalu ErastoMay 31, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewateua watendaji wakuu katika Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC) na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi...
By Regina MkondeMay 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, jana tarehe 29 Mei 2021, amefanya uteuzi na uhamisho wa Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS). Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 30, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameendelea na utekelezaji wa operesheni mpya ya chama hicho, iliyozinduliwa hivi karibuni...
By Hamisi MgutaMay 29, 2021BAADHI ya walimu katika Shule ya Msingi Mwachambia mkoani Singida, wamelazimika kugeuza madarasa kuwa nyumba za kuishi. Anaripoti Hamisi Mguta, Dar es...
By Hamisi MgutaMay 29, 2021KAMATI ya Ushauri ya Mkoa wa Geita (RCC), imependekeza baadhi ya wilaya katika mikoa ya Kagera na Kigoma, zichukuliwe kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuMay 29, 2021BAADHI ya madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, wameuomba uongozi wa halmashauri hiyo, usambaze kondom za kike , ili kulilinda kundi...
By Mwandishi WetuMay 29, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk. Phumzile Mlambo-Ngouka, kuhusu...
By Masalu ErastoMay 28, 2021ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya, ametiwa mbaroni jijini Dar es Salaam. Anaripoti Saed Kubenea, Dar es...
By Saed KubeneaMay 28, 2021WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewasimamisha kazi vigogo 11 wa Wizara ya Fedha na Mipango, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili, za matumizi...
By Masalu ErastoMay 28, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, ameiagiza Wizara ya Kilimo, ichukue hatua za haraka kukabiliana na changamoto zinazorudisha nyuma sekta...
By Mwandishi WetuMay 27, 2021WATAALAM wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamekutana jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa athari za mabadiliko ya...
By Regina MkondeMay 27, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, awachukulie hatua maafisa wa Taasisi ya Kuzuia...
By Masalu ErastoMay 27, 2021MBUNGE wa Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro (CCM), Priscus Tarimo, ameiomba Serikali iweke mipango ya kuwawezesha wanaume kiuchumi, kama inavyofanya kwa wanawake, vijana...
By Hamisi MgutaMay 27, 2021MBUNGE Viti Maalum mkoani Tanga (CCM), Mhandisi Mwanaisha Ulenge, amesema kuna haja ya nchi kuwa na taasisi huru, iitakayodhibiti utendaji wa wizara...
By Masalu ErastoMay 27, 2021MBUNGE wa Makete mkoani Njombe (CCM), Festo Sanga, amehoji kauli ya Serikali kuhusu kukithiri vitendo vya ujambazi katika majiji nchini. Anaripoti Nasra...
By Masalu ErastoMay 27, 2021KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imesema kusuasua kwa mwenendo wa utoaji fedha za bajeti kutoka serikalini, unakwamisha...
By Mwandishi WetuMay 26, 2021MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Halima Mdee, amesema Serikali iko hatarini kupoteza Sh. 100 bilioni, endapo itavunja mkataba wa mradi...
By Masalu ErastoMay 26, 2021MBUNGE wa Biharamulo (CCM), Ezra Chiwelesa, ameiomba Serikali ijenge Barabara ya Nyamirembe-Chato mpaka Katoke Biharamulo , kwa kiwango cha lami, ili kurahisisha...
By Hamisi MgutaMay 26, 2021NCHI ya Tanzania na Saudi Arabia, zimeahidi kukuza ushirikiano katika biashara ya mazao ya kilimo pamoja na utalii. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeMay 26, 2021MBUNGE wa kuteuliwa na Rais, Dk. Bashiru Ally, amelishauri Bunge la 12 lijikite katika ajenda za kuchochea mapinduzi ya kilimo, kama Bunge...
By Masalu ErastoMay 26, 2021DAKTARI Bashiru Ally, Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, leo tarehe 25 Mei 2021, amesimama bungeni kwa mara ya kwanza na kutumia jukwaa...
By Regina MkondeMay 25, 2021BAJETI ya Wizara ya Kilimo, kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022, imeongezeka kwa Sh. 64.3 bilioni (22%), kutoka Sh. 229.83 bilioni (2020/2021),...
By Regina MkondeMay 25, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameishauri Wizara ya Fedha na Mipango, iache kuchukua fedha za miradi ya maendeleo, za halmashauri...
By Mwandishi WetuMay 25, 2021MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Halima Mdee, amehoji kinachokwamisha utekelezaji Mpango wa Uboreshwaji Makazi ya Jiji la Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuMay 25, 2021FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, tarehe 27 Mei 2021 siku ya Alhamisi, anatarajiwa kuzindua ‘Operesheni Haki,‘...
By Regina MkondeMay 25, 2021WAZIRI wa Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu, amekiri uwepo wa tatizo la ukosefu wa ajira za ualimu nchini, akisema kwamba, nafasi zinazotolewa...
By Regina MkondeMay 25, 2021