MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othuman Masoud Othuman amesema, Katiba ya sasa ya Tanzania haitoi mwelekeo wa Taifa unakwenda wapi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021KAMATI Kuu ya Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), itakutana kesho Jumanne, tarehe 22 Juni 2021, jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa China, Xi Jinping. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewakabidhi majukumu matano wakuu wa wilaya za mkoa huo, walioteuliwa na Rais Samia...
By Regina MkondeJune 21, 2021MBUNGE wa Bukoba Vijijini mkoani Kagera (CCM), Jason Rweikiza, amevutana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako kuhusu zuio...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021WAZIRI Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, awachukulie hatua Wakurugenzi wa Halmashauri (DED), wanaoshindwa kupeleka asilimia 40 ya...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, awaapisha Balozi Batlida Buriani kuwa Mku wa Mkoa wa Tabora (RC) na Zuwena Omari Jiri kuwa...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, jana tarehe 19 Juni 2021, iliuchambua uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita ya Tanzania, chini...
By Hamisi MgutaJune 20, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wakuu wa wilaya (DC) 139 katika mikoa ya Tanzania Bara. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Hamisi MgutaJune 20, 2021WAANDISHI wa habari wanne kutoka vyombo mbalimbali vya habari, ni miongoni mwa Wakuu wa Wilaya (DC) 139, walioteuliwa na Rais wa Tanzania,...
By Mwandishi WetuJune 20, 2021KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, imeagiza mkutano wa dharura wa chama hicho uitishwe tarehe 27 Novemba 2021, kwa ajili ya kujaza...
By Regina MkondeJune 20, 2021KATA tano katika Jimbo la Segerea jijini Dar es Salaam, zinakabiliwa na changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara za mitaa, hali...
By Hamisi MgutaJune 20, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya katika Mikoa ya Tanzania Bara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJune 19, 2021MAKAMU wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud Othuman amekishukuru chama chake cha ACT-Wazalendo kwa kumpendekeza kwenye nafasi hiyo huku akiwaahidi...
By Kelvin MwaipunguJune 19, 2021BAADHI ya wabunge kutoka katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vya upinzani, wameishauri Serikali ifungue akaunti maalumu ya benki, kwa ajili...
By Regina MkondeJune 18, 2021MKURUGENZI mpya wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu, ametangaza neema kwa mahabusu, wafungwa na watuhumiwa wengine wanaokabiliwa na mashtaka ya jinai...
By Hamisi MgutaJune 18, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, watumishi 1,496 wanakaimu nafasi za uongozi katika taasisi mbalimbali zikiwemo halmashauri za wilaya na sekretarieti za mikoa. Anaripoti...
By Masalu ErastoJune 18, 2021LENGAI Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro na wenzake watano, wamefikishwa katika Mahakama mkoani Arusha. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 18, 2021MWENYEITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameiomba Serikali iwalipe fidia viongozi 18 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara...
By Mwandishi WetuJune 17, 2021BUNGE la Tanzania, limeiagiza Serikali ifanye uchunguzi katika maduka makubwa ‘Super Market’, ili kuondoa biadhaa za kughushi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Agizo...
By Hamisi MgutaJune 16, 2021MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Samia Suluhu Hassan, amepiga marufuku vitendo vya makada wa Umoja wa Vijana wa chama hicho...
By Mwandishi WetuJune 15, 2021LENGAI ole Sabaya, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, ameachia “waraka mzito,” ukilenga mustakabali wa maisha yake, baada ya kifo...
By Mwandishi WetuJune 15, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa kipande cha tano cha Reli ya Kisasa (SGR), kutoka...
By Mwandishi WetuJune 14, 2021HUKUMU ya kesi ya Jinai Na. 36/2020, inayomkabili kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali, katika Mahakama ya Hakimu...
By Mwandishi WetuJune 14, 2021VIONGOZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, wako kikaangoni baada ya Serikali kutuma wakaguzi maalum, kukagua hesabu za halmashauri hiyo....
By Mwandishi WetuJune 14, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, ameiagiza Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kupunguza viwango vya riba vinavyotozwa na benki mbalimbali zipunguzwe “angalau...
By Mwandishi WetuJune 13, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemwagiza Waziri wa Madini, Doto Biteko kukaa na wawekezaji ili kuangalia njia bora ya kuyalinda madini...
By Mwandishi WetuJune 13, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu hassan, amesema atalifanyia kazi ombi la Taasisi ya Moyo ya jakaya Kikwete (JKCI), la kuajiri watalaam 12...
By Regina MkondeJune 12, 2021WAKATI mkuu wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, akifikishwa mahakamani na kutupwa katika mahabusu ya gereza la Kisongo, mkoani...
By Mwandishi WetuJune 12, 2021RAIS wa Botswana, Mokgweetsi Masisi, amehitimisha ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania na kuondoka kurejea nchini mwake. Anaripoti Nasra Bakari,...
By Masalu ErastoJune 11, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amewafananisha waliokuwa marais wa Taifa hilo, Jakaya Mrisho Kikwete na Hayati John...
By Masalu ErastoJune 11, 2021FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani, Tanzania- Chadema amesema, Jumamosi zote kuanzia kesho, tarehe 12 Juni 2021, atakuwa akivaa sare...
By Masalu ErastoJune 11, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Ijumaa tarehe 11 Juni 2021, amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa mikoa ya Mara, Mwanza...
By Mwandishi WetuJune 11, 2021BUNGE la Tanzania, limeiagiza Serikali, ifanye uchunguzi wa mifumo inayoratibu shughuli za kitabibu na hesabu za Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI)....
By Mwandishi WetuJune 10, 2021JOB Ndugai, Spika wa Bunge, amesema akifanya vibaya katika kuungoza mhimili huo, wa kulaumiwa ni Spika Mstaafu, Mama Anna Makinda, aliyekuwa mwalimu...
By Mwandishi WetuJune 10, 2021KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema hatua ya Serikali kufanya uhakiki wa madeni ya wastaafu katika mifuko ya hifadhi ya...
By Mwandishi WetuJune 10, 2021SERIKALI ya Tanzania, imependekeza kuanzia mwaka wa fedha 2021/22, itaanza kuwalipa madiwani posho za kila mwezi kutoka serikali kuu. Anaripoti Jemima Samwel,...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021TAKRIBANI Sh. 13,326.8 bilioni sawa na Sh. 13.326 trilioni, zinatarajiwa kutumika katika utekelezaji miradi ya maendeleo, kwenye mwaka wa fedha wa 2021/22....
By Masalu ErastoJune 10, 2021RAIS wa Botswana, Dk. Mokgweets Masisi amewasilia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere, Dar es Salaam nchini Tanzania. Anaripoti Nasra Bakari,...
By Masalu ErastoJune 10, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amebainisha mikakati mbalimbali ya kupunguza msongamano jijini Dar es Salaam ni ukarabati...
By Masalu ErastoJune 10, 2021DENI la Taifa la Tanzania, limeongezeka kwa Sh. 5.4 trilioni, kutoka Sh. 55.5 Aprili 2020, hadi kufikia Sh. 60.9 trilioni, Aprili 2021....
By Mwandishi WetuJune 10, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amemwomba Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kufanya kikao maaluma na wanaume pekee. Anaripoti...
By Masalu ErastoJune 10, 2021LEO Alhamisi, tarehe 10 Juni 2021, nchini za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zitawasilisha Bajeti za nchi zao, ikiwemo Tanzania. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 10, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Jaffar Mohamed Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu). Anaripoti Jemima Samwel, DMC …...
By Masalu ErastoJune 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 10 Juni 2021, anatarajia kuzungumza na Rais wa Botswana, Mokgweetsi Masisi, katika Ikulu ya...
By Masalu ErastoJune 9, 2021MASHITAKA sita yanayomkabili Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro, nchini Tanzania, aliyesimamisha kazi, Lengai ole Sabaya, yaweza kumuweka kwenye kifungo cha...
By Mwandishi WetuJune 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wawili akiwemo, Profesa Eleuther Alphonce Mwageni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo...
By Mwandishi WetuJune 8, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaomba wanawake wamuunge mkono katika uongozi wake, ili alifikishe Taifa sehemu nzuri. Anaripoti Jemima Samwel, DMC...
By Masalu ErastoJune 8, 2021WANAWAKE wa Mkoa wa Dodoma, wamemkabidhi changamoto sita Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakimuomba azitatue ili kuleta ustawi wa kundi hilo...
By Regina MkondeJune 8, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Jumanne, tarehe 8 Juni 2021, anazungumza na wanawake wa Mkoa wa Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 8, 2021