RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Jumanne, tarehe 8 Juni 2021, anazungumza na wanawake wa Mkoa wa Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).
Mkutano huo baina ya Rais Samia na wanawake, unafanyikia ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amesema, zaidi ya wanawake 10,000 wako ndani ya ukumbi huko na zaidi ya idadi hiyo, wako nje ya ukumbi.
Leave a comment