Friday , 26 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Prof. Muhongo akomalia matumizi nishati jadidifu kuondoa uhaba wa umeme

  MBUNGE wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo, ameendelea kuishauri Serikali ijikite katika vyanzo vya umeme vinavyotokana na nishati jadidifu akisema vinaweza...

Habari za Siasa

Kilosa yawa mfano wa kuigwa miradi ya Mwenge nchini

  KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Godfrey Mzava amezitaka Halmashauri zote Nchini kuhakikisha zinatekeleza miradi ya kimaendeleo kwa kufuata sheria na kuzingatia...

Habari za SiasaTangulizi

Biteko ataja vipaumbele 7 bajeti nishati 2024/25

  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametaja vipaumbele saba vya bajeti ya wizara yake ambavyo ni pamoja na...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mwekezaji amwaga bil. 39 kujenga viwanda 3 vya uchenjuaji

Kampuni ya Mineral Access System Limited (MAST) inayoiwakilishwa kampuni ya Akmenite Limited Lithuania, inatarajia kutumia dola za Marekani milioni 15 (Sh 38.9 bilioni)...

Habari za SiasaTangulizi

Mpwa wa Magufuli mbaroni kwa kusambaza picha za utupu

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu wawili akiwamo mpwa wa hayati John Magufuli, Furaha Dominic kwa tuhuma za...

Habari za Siasa

Serikali kuanzisha mradi wa Gridi ya maji ya Taifa

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema katika mwaka wa fedha wa 2024/2025, Serikali inatarajia kuajiri mtaalam mshauri atakayefanya upembuzi yakinifu wa mpango wa...

Habari za SiasaTangulizi

Shibuda amlima waraka mzito Bulembo

MKONGWE wa siasa nchini, John Shibuda amemshukia kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Mulembo, aliyempinga Mbunge wa Kisesa, Lwaga Mpina. Anaripoti...

Habari za Siasa

Rais Samia aridhishwa utendaji mabalozi, awapa neno

Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewapongeza mabalozi  wanaowakilisha  Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

NMB yadhamini Mkutano Mkuu ALAT, kufunguliwa na Samia

BENKI ya NMB, imekabidhi hundi yenye thamani ya Sh. 120 milioni kudhamini Mkutano Mkuu wa 38 wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mipango na uwekezaji kutumia bilioni 121.3, mradi wa Bagamoyo wapewa kipaumbele

WIZARA ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, imeliomba Bunge liidhinishe bajeti yake ya kiasi cha Sh. 121.3 bilioni, katika mwaka ujao wa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mbunge ataka kasi uzalishaji walimu ipunguzwe akidai hakuna ajira

MBUNGE wa Mlalo (CCM), Rashid Shangazi, ameishauri Serikali ipunguze kasi ya uzalishaji wahitimu katika taaluma ambazo nafasi za ajira zimepungua ikiwemo walimu, badala...

ElimuHabari za Siasa

MbungeCCM ataka kasi uzalishaji walimu ipunguzwe akidai hakuna ajira

  MBUNGE wa Mlalo (CCM), Rashid Shangazi, ameishauri Serikali ipunguze kasi ya uzalishaji wahitimu katika taaluma ambazo nafasi za ajira zimepungua ikiwemo walimu,...

Habari za Siasa

Makamba ataja maeneo ya kuboresha mambo ya nje

  WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ametumia takribani saa moja kuelezea maeneo ambayo yatajajadiliwa katika warsha...

Habari za Siasa

Dk. Mwakyembe : Zanzibar waliongoza kutaka Serikali 2 za muungano

  MWANASIASA mkongwe nchini, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema mjadala wa muundo wa Serikali ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliposhika kasi 1998, wazanzibar...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ataja mikakati ya kufikia trilioni 2 biashara Uturuki, Tz

Wakati Tanzania na Uturuki zikidhamiria kuongeza kiwango cha biashara hadi kufikia Dola za Kimarekani bilioni moja (Sh trilioni 2.5), ndani ya mwaka mmoja...

BiasharaHabari za Siasa

Mavunde aagiza Perseus kuharakisha fidia Sengerema

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameipongeza Kampuni ya Perseus kwa kufanikiwa kukamilisha wa mchakato wa ununuzi wa hisa za Kampuni ya Ore Corp...

Habari za Siasa

Kigogo Chadema awanyooshea vidole vigogo serikalini kuhusu ripoti ya CAG

  MWANACHAMA wa Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob, amedai kuna baadhi ya vigogo serikalini wana mitandao ya uchotaji fedha katika mapato na...

Habari za Siasa

Wabunge waikalia kooni TAKUKURU Bungeni

  BAADHI ya wabunge wamelia na changamoto za utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), wakidai imekuwa chanzo cha vitendo...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina ataka Waziri Majaliwa ajiuzulu, akosoa teuzi za mawaziri

  MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, amemtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ajiuzulu kwa madai kuwa maagizo 12 aliyoyatoa mwaka 2023 kuhusu migogoro ya...

Habari za Siasa

CCM yakemea ufisadi, yaipa kibarua TAKUKURU

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekemea vitendo vya ubadhirifu wa fedha za miradi inayoendelea kujengwa nchini, huku ikiiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...

Habari za Siasa

Bajeti ya Ikulu 2024/25 kuongezeka, bunge laombwa kurudhia Sh. 1.1 trilioni

  WIZARA ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imeliomba Bunge liidhinishe bajeti yake ya kiasi cha Sh....

Habari za SiasaTangulizi

Tanzania, Uturuki zanuia kukuza biashara, uwekezaji

SERIKALI za Tanzania na Uturuki zimekubaliana kuendeleza dhamira ya kuimarisha uhusiano wenye manufaa kwa pande zote mbili ili kuendelea kufungua milango ya fursa...

Habari za Siasa

Tume huru ya uchaguzi yatangaza ajira watendaji daftari wapiga kura

  TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza nafasi za kazi za muda kwa watendaji wa vituo vya uboreshai daftari la kudumu...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yatangaza ruti awamu ya pili maandamano

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema awamu ya pili ya maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika tarehe 22 hadi 30 Aprili 2024,...

Habari za Siasa

CCM yamkana mwenyekiti UVCCM aliyetaka wapinzani wapotezwe

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimejitenga na kauli ya mwenyekiti wa umoja wake wa vijana (UVCCM), mkoani Kagera, Faris Buruhan, ya kuwapoteza wapinzani...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia kutunukiwa udaktari wa heshima Uturuki

Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara, ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Uturuki linatarajiwa kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atua Uturuki kwa ziara ya siku 5

Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano amewasili nchini Uturuki kwa ziara ya kitaifa yenye lengo la kukuza uhusiano wa diplomasia ya siasa, uchumi...

Habari za SiasaTangulizi

Samia arejesha mikopo ya 10%, bilioni 227.96 zatengwa

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amerejesha utaratibu wa utoaji mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya halmashauri kwa vikundi vya wanawake, vijana...

Habari za Siasa

Rais Samia amfariji mjane wa Musa Abdulrahman

Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumanne amempa pole Mwanakheri Mussa Yussuf, Mjane wa Marehemu Mzee Mussa Abdulrahman ambaye alikuwa rafiki wa familia na...

Habari za Siasa

Nape: Wanasiasa, wanahabari, wafanyabiashara mteteeni Samia

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye ametoa wito kwa wafanyabiashara, wanasiasa na wanahabari wamtetee Rais Dk. Samia...

Habari za Siasa

CAG: TAWA imegawa vibali vya uwindaji bila idhini ya waziri

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka 2022/2023 imbeinisha kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania ilitoa hati...

Habari za Siasa

TAMISEMI yatenga bil. 17.79 kwa ajili uchaguzi serikali za mitaa

WIZARA Ofisi ya Rais-TAMISEMI, imetenga fedha kiasi cha Sh. 17.79 bilioni, kwa ajili ya uratibu na kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa...

Habari za Siasa

CAG abaini madudu katika vyama 10 vya upinzani

UKAGUZI wa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichele, kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023, umebaini madudu katika vyama...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

‘Mwanapekee’ wa Rais Samia: Atabadili nini Arusha?

MAPEMA wiki hii, baadhi ya viongozi walioapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan, 4 Aprili 2024, Ikulu jijini Dar es Salaam, waliripoti kwenye vituo...

Habari za Siasa

Hivi kweli Ole Sendeka alishambuliwa kwa risasi?

MIMI siamini kwamba yupo mtu mwenye nia ya kuua ambaye amepanga mashambulizi kwa kutumia bunduki anayeweza kumrushia risasi Christopher Ole Sendeka na akamkosa,...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda kung’oka tena

UWEZEKANO wa Paul Makonda, kuendelea na wadhifa wake wa mkuu wa mkoa wa Arusha, ni mdogo mno, Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa...

Habari za Siasa

Ubovu barabara Kigamboni: Tanroad, mkandarasi wapewa maagizo

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza meneja wa Wakala wa barabara mkoa wa Dar es Salaam kufika katika barabara ya Gomvu – Kimbiji...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Mabeyo awataje waliotaka kuzuia urais wa Samia

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amevunja ukimya kwa kumtaka aliyekuwa mkuu wa majeshi, Jenerali Venance Mabeyo, kuwataja...

Habari za Siasa

Chumi aibana Serikali wahitimu kidato cha IV, VI wajiunge JKT

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stargomena Tax amesema Juni mwaka huu wizara hiyo kwa kushirikiana na wizara ya fedha inatarajia...

Habari za Siasa

Ripoti ya CAG yatinga bungeni

RIPOTI kuu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2023, imewasilishwa bungeni...

Habari za Siasa

Serikali yaunda kamati kuchunguza mauaji hifadhini Serengeti, Tarime

SERIKALI imeunda kamati ya kitaifa kwenda kushughulikia mauaji ya raia yanayodaiwa kufanyika katika maeneo ya Hifadhi ya Serengeti, mkoani Mara. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Vilio vyatawala miili ya wanafunzi wanafunzi ikiagwa Arusha

HUZUNI na vilio vimetawala kwa maelfu  ya waombolezaji wakiwemo familia waliokusanyika leo Jumapili katika shule ya seokondari ya Sinon jijini Arusha kuaga miili...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Nchimbi aanika ugonjwa wa CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emanuel Nchimbi, amesema ndani ya chama chake kuna changamoto ya wagombea kukataa matokeo ya uchaguzi....

Habari za Siasa

Chadema yapuliza kipyenga uchaguzi viongozi kanda

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza maandalizi ya uchaguzi wa viongozi wa kanda kwa kufungua dirisha la uchukuaji na urejeshaji fomu za...

Habari za Siasa

CCM :Hatutaki ushindi wa makandokando uchaguzi Serikali za mitaa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakihitaji ushindi wa makandokando katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 na kwamba kinajipanga kuandaa wagombea bora...

Habari za Siasa

Makala: Puuzeni wanasiasa wanaojigamba wanaweza kubadili maamuzi ya mahakama

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makala, amewataka wananchi wenye madai ya haki ambayo hayajafikishwa mahakamani kuwasilisha migogoro...

Habari za Siasa

Tume huru ya uchaguzi kaa la moto

KITENDO cha Serikali kuanza kutumia sheria mpya ya tume huru ya taifa ya uchaguzi ya 2024, pasina kubadili muundo na utendaji wa tume,...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda kuanika mawaziri wanaomtukana Samia

MKUU Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka watu wanaowatuma mawakala wao kumtukana mitandaoni Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, waache mara moja kwani wasipofanya...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yafafanua hatima ya viongozi NEC

WAKATI mjadala ukiibuka  juu ya hatma ya viongozi wa sasa katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), baada ya sheria yake kufanyiwa marekebisho...

Habari za Siasa

Mhagama: Mafuriko Rufiji yametokana na mvua za El-nino

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amewaeleza wananchi walioathiriwa na mafuriko katika wilaya za Kibiti na...

error: Content is protected !!