
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewasili salama nchini Kenya. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).
Ndege ya Shirika la Ndege ya Tanzania (ATCL), iliyoondoka leo asubuhi Jumanne, tarehe 4 Mei 2021, katika Uwanja wa Dodoma, Tanzania, imewasili saa 3:50 asubuhi, Uwanja wa Jomo Kenyatta, Kenya.
Rais Samia amekwenda Kenya kwa ziara ya kikazi ya siku mbili na kesho Jumatano, anarejea Tanzania.
More Stories
Mbunge Halanga apongeza vijana JKT kurejeshwa kambini
Prof. Asad: Katiba mpya muhimu, nchi imefunguka
Mwanafunzi apeleka kuku shuleni kama malipo ya karo