Tuesday , 30 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Rais Samia kung’oa vikwazo vya uwekezaji

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameahidi kufanya marekebisho kadhaa katika sera na sheria sambamba na kuondoa vikwazo katika kukuza uwekezaji. Anaripoti...

Habari za Siasa

Viongozi 150 kuchukuliwa hatua

  TAKRIBANI viongozi 150 hatarini kuchukuliwa hatua kali kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Viongozi hao wanadaiwa kushindwa kurejesha fomu...

Habari za Siasa

Rais Samia anahutubia Bunge

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, leo Alhamisi kuanzia saa 10:00 jioni, atalihutubia Bunge la nchi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Rais...

Habari za Siasa

Mbunge CCM aomba hospitali, serikali yamjibu

  JAFARI Chege, Mbunge wa Rorya (CCM), mkoani Mara, amehoji serikali lini itakipandisha hadhi kituo cha afya Kinesi kinachohudumia vijiji 27 ili kiwe...

Habari za Siasa

Bunge latengua kanuni

  BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limetengua kanuni kanuni ya 160 (1) ili kuruhusu wasio wabunge kuingia ukumbini. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Wabunge wapigwa ‘stop’ kuvaa tai nyekundu

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kutovaa tai nyekundu, bungeni jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Ni...

Habari za SiasaTangulizi

Katiba mpya: Askofu Shoo, Dk. Lwaitama wamkingia kifua Rais Samia

  MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo na Dk. Azaveli Lwaitama, wamewaomba Watanzania wampe muda Rais Samia...

Habari za Siasa

Mjadala katiba mpya wapamba moto

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC), kimeendesha mdahalo wa wazi kujadili ufufuaji wa mchakato wa katiba mpya. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbunge Mnzava ahoji wahitimu kutoajiriwa

  MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM), Christine Mnzava, ameihoji serikali juu ya kutokuwatumia vizuri wanafunzi wanaohitimu shahada ya sayansi ya menejimenti ya uhandisi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi 6

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi sita wa taasisi mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Uteuzi huo umetangazwa leo Jumatano,...

Habari za Siasa

Mdee, wenzake wachongewa kwa Rais Samia

  UONGOZI wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), umemuomba Rais Samia Suluhu Hasani kuwafukuza wabunge waliopo bungeni bila...

Habari za Siasa

Rais Samia awahakikishia China mazingira mazuri ya biashara

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wafanyabiashara wa China kuandaa mazingira mazuri ya biashara nchini. Anaripoti Nasra Bakari, DMC … (endelea)....

AfyaHabari za Siasa

Bil 14 kujenga hospitali 28

  SERIKALI imetenga Sh. 14 Bilioni kwa ajili ya kuanza ujenzi wa hospitali mpya 28, ikiwepo Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga...

Habari za SiasaTangulizi

‘Kikwete, Kinana, Ndugai wamewakosea nini?’

  TABIA ya kusemwa vibaya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete; Spika wa Bunge, Job Ndugai; Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye, Mbunge wa Mtama kumemkera...

Habari za Siasa

Bunge lina ugeni mzito – Spika Ndugai

  JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri amewaeleza wabunge wa bunge hilo kwamba, kesho Alhamis tarehe 22 Aprili 2021, kutakuwa na ugeni...

Habari za Siasa

Hatma wateja FBME bado njia panda

  WATEJA wa Benki ya Biashara ya FBME, wameshindwa kulipwa fedha zao kwa haraka kutokana na kutokukamilika kwa taratibu za kisheria. Anaripoti Jemima...

Habari za Siasa

Barabara za Ikungi kuwekwa lami

  SERIKALI imepanga kufanya usanifu na thathmini ya gharama za ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika Mji wa Ikungi. Anaripoti Jemima...

Habari za Siasa

Takukuru yamkamata kigogo bandari akiwa mafichoni

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza, imemkamata aliyekuwa Mhasibu wa Mamlaka ya Bandari Kigoma, Madaraka Robert Madaraka...

Habari za Siasa

Barabara Kibena – Lupembe yatengewa Bil 5.96

  SERIKALI ya Tanzania imetenga jumla ya Sh. 5.96 Bilioni, kwa ajili ya kuanza ujenzi wa barabara ya Kibena –Lupembe, mkoani Njombe. Anaripoti...

AfyaHabari za Siasa

Tamisemi: Hospitali Biharamulo ilitengewa Mil 500

  HALIMASHAURI ya Wilaya ya Biharamulo, Kagera ilipatiwa kiasi cha Sh. 500 Milioni katika mwaka wa fedha 2019\20 kwa ajili ya kuanza ujenzi...

Habari za Siasa

Rais Samia, Spika Ndugai wateta Ikulu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Spika wa Bunge la nchi hiyo, Job Ndugai. Anaripoti Matilda Peter, Dodoma …...

Habari za Siasa

DED Sengerema asimamishwa kazi

  MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Magesa Mafuru, amesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za miradi...

Habari za SiasaTangulizi

Natamani kurudi nyumbani – Lema

  GODBLESS Lema, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ambaye kwa sasa anaishi uhamishoni Canada amesema, anatamani kurejea nyumbani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Natamani kurudi nyumbani – Lema

  GODBLESS Lema, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ambaye kwa sasa anaishi uhamishoni Canada amesema, anatamani kurejea nyumbani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua viongozi nane

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali nane. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi...

Habari za Siasa

Rais Samia aiomba benki ya dunia…

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, ameiomba Benki ya Dunia (WB), kuendelea kushirikiana katika kujenga uchumi utakaogusa makundi yote ya jamii ili...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia kuhutubia Bunge Alhamisi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la nchi hiyo, Alhamisi jioni ya tarehe 22 Aprili 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za Siasa

Rais Samia amwapisha Mdolwa kuwa Balozi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Yusuf Tindi Mndolwa kuwa Balozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mdolwa, ameapishwa leo Jumatatu, tarehe...

Habari za Siasa

Bilioni 42 kulipa fidia wananchi Chalinze

  SERIKALI ya Tanzania imesema, Sh.42.3 bilioni zimetengwa ili kulipa fidia kwa wananchi waliopisha miradi wa kusafirisha umeme kutoka Kinyerezi na Bwawa la...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aonya wabunge “jadilini bajeti”

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewaonya wabunge wanaojikita kumlinganisha yeye na aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli, akiwataka kufanya kazi ya kibunge...

Habari za Siasa

Mchengerwa atangaza neema kwa watumishi

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, ameitaka Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu ya...

Habari za Siasa

Rais Samia afanya uteuzi mwingine

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amemteua Yusuf Tindi Mndolwa kuwa Balozi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Arusha … (endelea). Pia, Rais Samia amemteua...

Habari za Siasa

Majaliwa atoa msimamo uendelezaji Dodoma

  WAZIRI Mkuu wa Tanzanua, Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania kuhusu kuendelezwa kwa Makao Makuu ya nchi Dodoma akisema, Serikali imeweka mfumo mzuri...

Habari za Siasa

Utatuzi Masheikh wa Uamsho wanukia

  OTHMAN Masoud Othman, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ameahidi kuendelea juhudi zilizofanywa na mtangulizi wake Hayati Maalim Seif Shariff Hamad na...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua wasaidizi wake 9

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kwenye ofisi yake akiwemo, Juma Selemani Mkomi kuwa katibu wake. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Hoseah ashinda urais TLS

  DAKTARI Edward Hoseah, ameibuka mshindi wa urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS). Anaripoti Regina Mkonde, Arusha … (endelea). Uchaguzi huo,...

Habari za Siasa

Mgogoro wakulima, wafugani Ruaha kufika tamati

  UTATUZI wa mgogoro wa muda mrefu kati ya wakulima na wafugaji wanaozunguka Hifadhi ya Taifa Ruaha, upo mbioni kuanza. Anaripoti Mwandiahi Wetu,...

Habari za Siasa

Wabunge waenda bungeni kwa bodaboda

IMEBAINIKA kwamba, baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamekuwa wakienda kwenye vikao vya bunge kwa kutumia usafiri wa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Ujenzi, Madini meza moja na Barrick

WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi, imeeleza kwamba itakaa meza moja na Wizara ya Madini pia Kampuni ya Barrick ili kujadili ujenzi wa Barabara...

Habari za SiasaTangulizi

TLS waanza kumsaka rais wao

  WANACHAMA wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), wameanza kujitokeza katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa ngazi za juu za...

Habari za Siasa

Askofu Gwajima aeleza kiini cha nchi kukwama

  ASKOFU Josephat Gwaji, Mbunge wa Kawe, Dar es Salaam amesema, Afrika ikiwemo Tanzania haziwezi kuendelea kwa kuwa, hazina utaratibu wa kuendeleza agenda...

Habari za Siasa

Nape: Kukosoa ni silaha, si udhaifu

  NAPE Nnauye, Mbunge wa Mtama (CCM), amesema kwa mujibu wa chama hicho, tabia ya kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na...

Habari za Siasa

Shule sasa kuvuna maji ya mvua

  WIZARA ya Maji kwa kushirikiana na Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (TAMISEMI), watakutana kuweka mkakati wa kuhamasisha shule kujenga gata...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba: Rais Samia alenge Tuzo ya Mo Ibrahim

  PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan, katika utawala wake kulenga Tuzo ya Mo Ibrahim....

Habari za Siasa

Mbunge CCM aivimbia serikali

  NICODEMUS Maganga, Mbunge wa Mbogwe kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM), amegomea majibu ya serikali, kwamba jimboni kwake serikali imechimba visima virefu vya...

Habari za Siasa

Prof. Kabudi: Elimu ya sheria kutolewa nchini

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Katiba na Sheria amesema, serikali ina mpango wa kutoa elimu ya sheria kwa makundi yote ya kijamii ili...

Habari za Siasa

CAG apekua BoT

  FEDHA zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na kutumika kati ya Januari na Machi mwaka huu, zimeanza kuchunguzwa. Anaripoi Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Hayati Magufuli atetewa bungeni

  LIVINGSTON Silinde, Mbunge wa Mvumi (CCM), ameeleza kukerwa na watu wanaomsema vibaya Hayati John Magufuli. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Amesema, anashangazwa...

Habari za Siasa

Ndege tatu mpya kutua nchini

  NDEGE tatu zitatua nchini muda wowote baada ya Serikali ya Tanzania, kukamilisha malipo ya ununuzi wa ndege hizo tatu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Tutaenzi maono ya Rais Magufuli – Waziri Majaliwa

  KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania amesema, serikali itaenzi na kuendeleza jitihada, maono na juhudi za aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano,...

error: Content is protected !!