Categorizing posts based on content
WANANCHI nchini Liberia leo wanapiga kura kumchagua mrithi wa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa rais barani Afrika na mshindi wa tuzo la amani...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2017WAZIRI wa Afya Nchini Tunisia amefariki kutokana na mshutuko wa moyo baada ya kushiriki katika mbio za kuchangisha fedha za kusaidia kupambana na...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2017RAIS wa Marekani, Donald Trump ameomba ufadhili kwa ajili ya ujenzi wa ukuta ili kusaidia kuwafukuza wahamiaji kutoka nchini Mexico. Mwezi uliopita alifuta...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2017NASEEB Abdul ‘Diamond Platnumz’ atakiwa kufika mahakamani Oktoba 30, 2017 kujibu malalamiko ya kushindwa kumuomba radhi mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto na kushindwa kutoa...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2017SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limeeleza matumaini yake ya kupunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi ya kipindupindu duniani sambamba na vifo vitokanavyo na ugonjwa...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2017CHUO Kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa muda usiojulikana na Wanafunzi chuoni hapo wameamriwa kuondoka chuoni hapo leo, anaandika Hamis Mguta. Uamuzi huo umefikiwa...
By Hamisi MgutaOctober 3, 2017SERIKALI ya eneo la Catalonia nchini Hispania imetangaza kupata ushindi wa kujitawala baada ya wakazi wake kushiriki kwa wingi katika kura ya maoni...
By Masalu ErastoOctober 2, 2017RAIS wa Cameroon, Paul Biya amelaani ghasia zilizotekelezwa na wananchi na kusababisha mauaji ya watu nane wakati wa maandamano ya raia wa nchi...
By Masalu ErastoOctober 2, 2017MENEJIMENTI ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), imesema kwa sasa haiwezi kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana na taarifa za Erasmi Leon, aliyekuwa...
By Faki SosiSeptember 30, 2017WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson yuko mjini Beijing kufanya mazungumzo na viongozi wa China. Ajenda kuu katika mkutano huo...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2017SHIRIKA la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa ripoti inayoonyesha hali ya usalama kutokuwa shwari nchini Burundi, anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2017WANAMGAMBO wa Islamic State wametoa kanda ya sauti ya kiongozi wa kundi hilo, Abu Bakr al-Baghdadi, anaandika Mwandishi Wetu. Mzungumzaji aliye na sauti...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2017VYOMBO vya habari nchini Uganda vimezuiwa kuonesha matangazo ya moja kwa moja (Mubashara) vikao vya Bunge vinavyoendelea nchini Uganda, anaandika Hamis Mguta. Mkurugenzi...
By Hamisi MgutaSeptember 28, 2017RAIS wa Marekani Donald Trump amesaini sheria mpya ya kuongeza vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini juu ya mpango wake wa zana za Nyuklia...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2017KIMBUNGA cha Maria kimekivuruga kisiwa cha Puerto Rico nchini Marekani na kusababisha umeme kukatika katika eneo lote katika kisiwa hicho, anaandika Mwandishi wetu....
By Hamisi MgutaSeptember 21, 2017ASASI isiyo ya kiserikali nchini kongo imesema watoto wengi zaidi wanakosa elimu kutokana na mgogoro na mfumo duni wa elimu wa nchi hiyo....
By Masalu ErastoSeptember 12, 2017NAIBU Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassim amesema kuwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia inaonesha...
By Masalu ErastoSeptember 11, 2017KIMBUNGA cha Irma kimesababisha vifo vitatu baada ya kutua katika jimbo la Florida kikitokea kisiwa cha Marco magharibi mwa pwani ya Florida nchini...
By Masalu ErastoSeptember 11, 2017RAIS wa nchini Mali, Boubacar Keita amefungua kambi ya majeshi inayohusisha nchi tano za Afrika yenye lengo la kupambana na wanamgambo katika eneo...
By Masalu ErastoSeptember 11, 2017AWAMU ya kwanza ya wakimbizi wa kutoka Burundi wanaorejea kwa hiari yao kutoka Tanzania wanatarajiwa kuwasili nchini mwao hii leo, anaandika Jovina Patrick....
By Masalu ErastoSeptember 7, 2017KOREA Kaskazini imefanya sherehe kubwa kwa ajili ya kuwaenzi wanasayansi waliofanikisha majaribio makubwa ya bomu la Nyuklia nchini humo, anaandika Irene Emmanuel. Sherehe...
By Masalu ErastoSeptember 7, 2017MPANGO wa “Shule Direct” yenye kauli mbiu “jifunze mahali popote, wakati wote” inayomwezesha mwanafunzi kutumia simu ya mkononi au kompyuta kujifunza imetajwa kuchochea...
By Pendo OmarySeptember 7, 2017BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), imesema haitatoa nafasi ya wanafunzi waliokosea kuomba mikopo kurekebisha makosa yao, kama ilivyoombwa na wanafunzi...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017IMEELEZWA kuwa mimea ya mchai chai pamoja na Mdalasini inasaidia kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu, anaandika Dany Tibason. Hayo yameelezwa leo bungeni na...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017WATAHINIWA 917,072 kutoka shule 16, 583 wanatarajia kuanza mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi (darasa la saba) kwa mwaka 2017 kuanzia kesho,...
By Faki SosiSeptember 5, 2017SHIRIKA la Jhpiego kupitia mradi wa Maternal and Child Survival Program (MCSP), linatarajia kupunguza vifo vya mama na mtoto nchini kutokana na idadi...
By Moses MsetiSeptember 4, 2017WANASAYANSI nchini Uingereza wamegundua kamera yenye uwezo ya kupiga picha viungo vya ndani ya mwili wa binadamu, anaandika Mwandishi Wetu. Kifaa hicho kimeundwa...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2017MAREKANI imeapa kujibu shambulio lolote la kijeshi kutoka Korea Kaskazini dhidi ya nchi hiyo ama washirika wake, anaandika Irene David. Hayo yamesemwa na...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2017KOREA Kusini inasema kuwa kuna dalili kuwa Korea Kaskazini inapanga majaribio zaidi ya makombora yanayokwenda masafa marefu, anaandika Mwandishi Wetu. Maofisa wa ulinzi...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2017UKOSEFU wa Zahanati na ubovu wa miundombinu katika kata ya Mabula wilayani Kilosa mkoani Morogoro imesababisha wanawake watatu kupoteza maisha wakati wakiwahishwa kujifungua...
By Christina HauleAugust 31, 2017MCHEZO wa riadha umeendelea kuing’arisha Tanzania baada ya kuzoa medali 10 katika michezo ya Afrika Mashariki kwa wanafunzi wa shule za sekondari, yaliyofanyika...
By Masalu ErastoAugust 30, 2017KOREA Kaskazini imerusha makombora kuelekea mashariki mwa kisiwa cha Hokkaido kwa umbali wa kilomita 1000, anaandika Irene David. Waziri Mkuu wa Japani Shinzo...
By Masalu ErastoAugust 29, 2017WATU saba wamefariki nchini Marekani na wengine zaidi ya 1000 hawana makaazi ya kuishi kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katikati ya mji wa Texas...
By Masalu ErastoAugust 29, 2017IDADI ya watu waliofariki dunia kutokana na maporomoko ya udongo yaliyoambata na mafuriko katika mji wa milimani wa Regent nje kidogo ya Freetown...
By Masalu ErastoAugust 28, 2017WATU 40 wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano mapya yaliyotokea katika jimbo la Yei nchini Sudan Kusini, anaandika Hellen Sisya. Mapigano hayo ambayo yanatokana...
By Masalu ErastoAugust 28, 2017HOSPITALI ya Rufaa ya Bugando (BMC), inakabiliwa na uhaba wa vifaa mbalimbali vya tiba pamoja na ugunduzi vikiwamo Xray na CT Scan hatua...
By Moses MsetiAugust 26, 2017CHAMA cha People’s Movement for the Liberation of Angola (MPLA) nchini Angola kimeshinda uchaguzi mkuu uliofanyika jumatano ya wiki hii kwa zaidi ya...
By Masalu ErastoAugust 25, 2017MRITHI aliyetarajia kurithi kampuni ya Samsung, Lee Jae-yong amehukumiwa kifungo cha miaka mitano na mahakama ya nchini Korea Kusini kwa kosa la rushwa,...
By Masalu ErastoAugust 25, 2017GABRIELLA Engels, mwanamitindo nchini Afrika Kusini aliyeshambuliwa na Grace Mugabe, mke wa Rais wa Zimbabwe, amepinga kinga ya kidiplomasia inayotolewa na serikali ya...
By Masalu ErastoAugust 24, 2017HOSPITALI ya Rufaa ya Bugando (BMC), inatarajia kujenga jengo maalum litakalowahudumia wagonjwa 800 kwa siku ambao wanatibiwa kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima...
By Moses MsetiAugust 22, 2017NUSU ya maiti 400 zilizotokana na maporomoko ya udongo na mafuriko nje ya mji wa Freetown tayari zimezikwa, anaandika Hamisi Mguta. Serikali nchini...
By Hamisi MgutaAugust 17, 2017MIILI ya watu takribani 400 nchini Sierra Leone katika eneo la Regent na maeneo ya jirani mjini Freetown inatarajiwa kuzikwa leo katika mazishi...
By Masalu ErastoAugust 16, 2017WAZIRI wa Habari, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe amekemea tabia ya baadhi ya waandishi wa habari kuchukua pesa (mshiko), ili wapige redioni nyimbo...
By Hamisi MgutaAugust 11, 2017BODI ya Wadhamini wa klabu ya Simba imefungua kesi kupinga mkutano mkuu wa klabu hiyo, uliopangwa kufanyika Agosti 13, mwaka huu, anaandika Faki...
By Faki SosiAugust 10, 2017NCHI ya Korea Kaskazini inapanga kurusha makombora karibu na kisiwa kimoja nchini Marekani Korea imesema kwamba inatafakari uwezekano wa kurusha makombora karibu na...
By Masalu ErastoAugust 9, 2017MAJESHI ya nchi saba za Jumuiya ya Maendeleo ya Afrika (SADC), yameanza mazoezi ya kijeshi yenye lengo la kujiandaa na tishio la mashambulizi ya...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2017CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kuandaa mkutano na waandishi wa habari ili kuchambua hali ya sasa ya elimu ya juu nchini,...
By Masalu ErastoAugust 7, 2017WALIMU wanawake wamelalamikia hatua ya serikali kuwapangia kazi katika vituo vya mbali kwa kuwa kunahataraisha ndoa na waume zao, anaandika Dany Tibason. Kauli...
By Danson KaijageAugust 5, 2017BARAZA la usalama la Umoja wa Mataifa (UN), limetoa taarifa juu ya hali ya kisiasa nchini Burundi , ikiwa ni moja kati ya...
By Masalu ErastoAugust 3, 2017NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Dk. Hamis Kigwangala ametoa miezi mitatu kwa halmashauri ya mji wa Kahama...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2017