Wednesday , 8 May 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Elimu

Mawakala wa elimu watoa ufafanuzi wa udhamini

KAMPUNI ya Mawakala wa Elimu Solution Ltd, imetoa ufafanuzi jinsi wanavyo wadhamini wanafunzi wa vyuo vikuu, wajasiliamali, na wafanyakazi kwenda kusoma nchini China,...

Elimu

Rais wa DARUSO alikoroga UDSM

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wamemtuhumu Rais wa serikali yao, kwa kukiuka katiba na kutumia nafasi yake kufanya mambo...

Kimataifa

Marekani yaikomalia Afghanistan, yasitisha misaada

MISAADA  ya kiusalama kwa Pakistan yenye thamani ya takriban dola milioni 900 itasitishwa hadi pale Pakistan itakapochukua hatua madhubuti ya kupambana na kundi...

Michezo

Serikali yamshika mkono Babu Seya hadi studio

SERIKALI imetangaza kuwabeba wasanii waliokuwa wamefungwa jela maisha ambao Desemba 9, 2017 walipewa msamaha na Rais John Magufuli ili kuinua vipaji vyao. Anaripoti...

Elimu

Bodi ya Mikopo ‘uvungu kwa uvungu’ na waajiri

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB), imetangaza vita dhidi ya waajiri hapa nchini ikiwamo wale wa serikali ili...

Afya

Unicef yalilia maisha ya watoto waliozaliwa Mwaka Mpya

IKIWA ndani ya mwaka mpya watoto 48,000 wamezaliwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini shirika la watoto duniani Unicef limezisihi nchi za ukanda...

Afya

Uhaba wa vitanda watesa wachangia damu

MPANGO wa Damu Salama, unakabiliwa na uhaba wa vitanda kwa vinavyotumiwa na watu wanaofika hapo kwa ajili ya kuchangia damu kwa hiari, anaandika...

Afya

Vyeti Feki vyafagia wafanyakazi TUGHE

CHAMA cha wafanyanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) kimepoteza zaidi ya wanachama 9,000 kufuatia hatua ya kuwaondoa watumishi wenye vyeti feki na walioajiliwa...

Kimataifa

Rais Msumbiji amuiga Magufuli

FILIPE Nyusi, Rais wa Msumbiji amewafukuza kazi mawaziri wanne, akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje na Waziri wa Nishati, anaandika Mwandishi wetu. Kwa...

Afya

Watalaam ugonjwa wa Ini kujifua India

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili inatarajia kuwapeleka nchini India watalaam mbalimbali katika sekta ya afya kwa ajili ya mafunzo ya ugonjwa wa Ini, anaandika Angel...

Kimataifa

Shambulio la makombora ya Urusi laua 53

RAIA 53 wameuawa katika shambulio la kombora la Urusi katika kijiji kilichopo mashariki mwa Syria Al-Shafah, kundi la uangalizi linasema. Shirika la uangalizi...

Kimataifa

Mahakama Kenya yamkubali Kenyatta

MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali kesi mbili zilizowasilishwa kupinga uchaguzi wa marudio, imeidhinishwa ushindi wa Kenyatta. Jaji Mkuu David Maraga amesema...

KimataifaTangulizi

ZANU PF yamshinikiza Mugabe ajiuzulu

CHAMA tawala Zimbabwe ZANU PF kimemtaka Rais Robert Mugabe ajiuzulu, kauli hiyo imetolewa na viongozi wa matawi ya chama hicho katika majimbo yote...

Michezo

Wema Sepetu azidi kusota mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imehailisha usikilizwaji wa kesi  ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili msanii wa Filamu nchini Wema Sepetu mpaka...

Kimataifa

Undani wa kinachoendelea Zimbabwe huu hapa

KUMEKUWA na sintofahamu ya kile kinachoendelea nchini Zimbabwe huku kukiwa na taarifa tofauti ya mapinduzi yaliyofanyika nchini humo dhidi ya Rais Robert Mugabe...

MichezoTangulizi

Lulu ahukumiwa jela miaka miwili, ajipanga kukata rufaa

LEO, tarehe 13 Novemba 2017, mahakama kuu jijini Dar es Salaam, imemuhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani, msanii maarufu wa filamu nchini, Elizabeth...

MichezoTangulizi

Mahakamani yamtia hatiani Lulu

MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam imetia hatiani Msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika kesi ya kuua bila kukusidia dhidi ya msanii mwenzake,...

MichezoTangulizi

Hatma ya Lulu kubaki uraiani au lupango, yamebaki masaa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam kesho inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya kuua bila kukusudi inayomkabili Msanii wa filamu Elizabeth Micheal,...

Michezo

Diamond Platnumz ambwaga Mobeto mahakamani

MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemgalagaza mzazi mwenzake, Mwanamitindo Hamisa Mabeto katika kesi ya madai aliyoifungua katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kudai...

Elimu

Nusu ya wanafunzi vyuo vikuu wakosa mikopo

WANAFUNZI wa elimu ya juu wamezidi kuikaba koo  Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu  (HESLB), na kuitaka iwapatie mikopo, anaandika Faki...

Afya

Wazazi, walezi wapewa neno

WAZAZI na walezi kuwatunza na kiwalea watoto wa chini ya miaka mitano ikiwamo kuwapatia lishe bora, elimu na kuwalinda dhidi ya unyanyasaji, anaandika...

Kimataifa

Uchaguzi Mkuu DR Congo sasa 2018

TUME ya Uchaguzi Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imetangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika Desemba 2018. Hata hivyo, upinzani...

Kimataifa

Waumini 26 wapigwa risasi kanisani Marekani

WATU 26 wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa kanisani na mtu mwenye silaha katika jimbo la Texas nchini Marekani walipokuwa katika ibada. Shambulio hilo...

Habari MchanganyikoMichezo

Wema Sepetu hatua nyuma

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imepokea hati ya upekuzi wa nyumbani kwa Wema Isaac Sepetu anayekabiliwa na tuhuma za...

Kimataifa

Makamu wa rais mpenda anasa atupwa jela

MAHAKAMA nchini Ufaransa imemhukumu makamu wa rais wa Equatorial Guinea, Teodorin Obiang kifungo cha miaka mitatu jela ambacho kimeahirishwa. Obiang 48, hufahamika sana...

Kimataifa

Rais Nkurunzinza aichomoa Burundi ICC

NCHI ya Burundi imekuwa ya kwanza kwa Afrika Mashariki kujiondoa uanachama katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Jinai (ICC). Serikali ya taifa...

Kimataifa

Majaji Kenya wakimbia mahakama ya juu

HAKAMA ya Juu Nchini  Kenya imeshindwa kusikiliza na kutoa maamuzi katika kesi ya kupinga kufanyika uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika kesho kutokana na...

Kimataifa

Uchaguzi Mkuu Kenya washikiliwa na Mahakama

UCHAGUZI  Mkuu Nchini Kenya upo mashakani kufanyika Oktoba 26 kama ilivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya nchi hiyo, (IEBC),  baada ya...

Habari MchanganyikoMichezo

Josephine Mushumbusi atajwa kesi ya Lulu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemtaka askari aliyerekodi ushahidi wa Josephine Mushumbusi kufika mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi inayomkabili Elizabeth Michael...

Habari MchanganyikoMichezo

Lulu: Kanumba alijiangusha chumbani

MSANII maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael au Lulu, atawasilisha utetezi mahakamani dhidi yashitaka la kuua bila ya kukusudia kwa kutumia mashahidi watatu, anaandika...

Afya

Wizara ya Afya yapokea mashine 100 za saratani

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, amepokea mashine 100 za tiba mgando (cryotherapy), mashine tisa za...

Elimu

Matokeo ya darasa la 7 haya hapa, shule za serikali hoi

BARAZA la Mitihani Taifa NECTA limetangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2017, na kusema kuwa ufaulu umeongezeka kwa 2.4% ukilinganisha na...

Habari MchanganyikoMichezoTangulizi

Daktari wa Kanumba afunguka mazito kesi ya Lulu

MAHAKAMA ya Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeendelea kusikiliza ushahidi wa upande wa jamhuri kwenye kesi inayomkabili msanii wa filamu, Elizabeth Michael...

Kimataifa

Rais Trump awachefua watangulizi wake

MARAIS wawili wa zamani nchini Marekani wameonyesha wasiwasi wao kuhusu hali ya kisiasa nchini humo bila kumtaja kiongozi wa sasa wa taifa hilo...

Kimataifa

Tume ya Uchaguzi Kenya yazidi kusambaratika.

OFISA Mkuu Mtendaji wa Tume ya Uchaguzi Nchini Kenya, Ezra Chiloba anatarajiwa kuchukuwa likizo ya wiki tatu na hatoshiriki katika uchaguzi wa marudio...

Habari MchanganyikoMichezo

Kesi ya Lulu yaunguruma, mdogo wa Kanumba atoa ushahidi

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imeanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya mauaji ya bila kukusudia, inayomkabili msaanii wa filamu nchini, Elizabeth...

Michezo

Miss Tanzania 2017 apatikana ‘juu kwa juu’

KAMATI ya Miss Tanzania kwa mara ya kwanza imeshindwa kufanya mashindano ya kumtafuta mrembo wake kwa mwaka 2017, badala yake imeteua msichana bila...

KimataifaTangulizi

Kijana aibuka mshindi nchini Austria

MKUU wa chama cha kihafidhina nchini Austria cha People’s Party, Sebastian Kurz, anaelekea kupata ushindi wa kuliongoza taifa hilo akiwa na umri mdogo, anaandika...

Elimu

Wazazi Azania sekondari watupiwa neno

WAZAZI wa shule ya sekondari Azania wanaombwa kuchangia fedha kwa ajili ya kununua viti vya kukalia wanafunzi wanapokuwa darasani, anaandika Angel Willium. Akizungumza...

Kimataifa

Mimba, ndoa za utotoni pasua kichwa

MIMBA na ndoa katika umri mdogo bado vinaitesa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, ingawa serikali haina takwimu sahihi za wasichana wanaokumbwa na matatizo...

Elimu

EXIM benki yawafuata wasomi Udom

TAASISI za kifedha zikiwamo benki zimetakiwa kupunguza riba katika mikopo yao ili kuwasaidia wananchi wanyonge, anaandika Dany Tibason Ombi hilo limetolewa leo na...

Burudika

Wasanii wapewa neno kuondokana na aibu

MAKAMU  mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji Tanzania, Jimmy Mafufu amewataka wasanii kujiunga katika mfumo wa bima kupitia mfuko wa PPF ili kuondokana na...

Kimataifa

George Weah afanya kweli Liberia, aibuka mshindi urais

ALIYEWAHI kuwa mchezaji bora wa dunia, Georgr Weah ameibuka mshindi wa kiti cha urais nchini Liberia katika uchaguzi uliofanyika juzi. Weah amewahi kuichezea...

Michezo

Mtangazaji mpira azua kioja uwanjani

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Mtangazaji wa mpira nchini Urusi ameondoka uwanjani kabla mchezo haujaisha na kuwaacha watazamaji wakiangalia mechi hiyo bila maelezo....

Kimataifa

Rais Trump atishia kuangamiza vyombo vya habari

RAIS Donald Trump ametangaza vita na vyombo vya habari nchini mwake kwa madai kwamba vimekuwa vikikiuka taratibu na kuonyessha ama kuandika habari kwa...

Michezo

Edwin achomoka na milioni 60 tatu mzuka

EDWIN Kawito(25), mkazi wa Manispaa ya Dodoma amekabidhiwa Sh. milioni 60 alizojishindia katika droo ya 10 ya mchezo wa bahati nasibu ya tatu...

Kimataifa

NASA wajiondoa kwenye uchaguzi Kenya

MUUNGANO wa vyama vya Nasa umetangaza kujitoa rasmi katika uchaguzi mkuu wa Kenya uliopangwa kufanyika tarehe 26 Oktoba mwaka huu, anaandika Mwandishi Wetu....

Michezo

Mashabiki wavamia nyumba ya mchezaji Zambia

POLISI nchini Zambia wamewakamata mashabiki watano kwa madai ya kuvamia nyumba ya mwanasoka wa timu ya taifa ya kandanda, Alex N’gonga. Mashabiki hao...

Kimataifa

Nani kuibuka mshindi Liberia leo?

WANANCHI nchini Liberia leo wanapiga kura kumchagua mrithi wa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa rais barani Afrika na mshindi wa tuzo la amani...

Kimataifa

Waziri afariki akisaka hela za zahanati

WAZIRI wa Afya Nchini Tunisia amefariki kutokana na mshutuko wa moyo baada ya kushiriki katika mbio za kuchangisha fedha za kusaidia kupambana na...

error: Content is protected !!