Categorizing posts based on content
WANAFUNZI wa shule ya msingi Magwalisi wilayani Mbarali mkoani Mbeya, wanatumia chumba kimoja, kwa wakati mmoja wakati wa kufundishwa wanafunzi wa madarasa wa...
By Mwandishi WetuJune 28, 2017BARAZA la Usalama la Taifa jijini Washington, Marekani limesema linachunguza shambulio kubwa la kimtandao ambalo limekumba mifumo ya kompyuta duniani kote, anaandika Hamis...
By Hamisi MgutaJune 28, 2017TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imethibitisha kuwachunguza Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu...
By Mwandishi WetuJune 28, 2017Rais John Magufuli amesema anaunga mkono hoja ya Mama Salma Kikwete, Mbunge wa kuteuliwa na Rais kuhusu Serikali kutoruhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kuendelea...
By Charles WilliamJune 22, 2017KIKOSI cha wachezaji 22 wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kinaondoka leo Alhamisi Juni 22, 2017 kwenda Afrika Kusini katika michuano ya kuwania...
By Mwandishi WetuJune 22, 2017RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amepokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa ya kifo cha shabiki maarufu...
By Mwandishi WetuJune 21, 2017MBIO za kuwania nafasi Urais wa Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania (TFF), zinazidi kushika kasi ambapo watu mashuhuri katika medani hiyo wanaendelea kujitokeza,...
By Mwandishi WetuJune 19, 2017REAL Madrid, mabingwa wa soka nchini Hispania na barani Ulaya, wameendelea kushikilia msimamo wao kutotaka kumuuza mshambuliaji wao Alvero Morata kwa kiasi cha...
By Mwandishi WetuJune 16, 2017SHIRIKISHO la soka nchini Tanzania (TFF), limetangaza kufungua rasmi dirisha la usajili wa wachezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara, 2017/2018 kuanzia leo 15...
By Mwandishi WetuJune 15, 2017Donald Trump, Rais wa Marekani anachunguzuwa na Robert Mueller, ambaye ni mwanasheria maalum kwa kile kinachotajwa kuwa alizuia sheria, kwa mujibu wa gazeti...
By Hamisi MgutaJune 15, 2017MBUNGE wa Same Mashariki, Nagenjwa Kaboyoka (Chadema) ameitaka serikali kutoa kutangaza bei elekezi kwa wakulima wa tangawizi kutokana na wakulima wengi wa tangawizi...
By Danson KaijageJune 14, 2017WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Ndola, iliyopo kata ya Nsalala, Mbalizi, mkoani Mbeya, wanalazimika kukaa chini ya miti kujisomea kutokana na upungufu wa...
By Mwandishi WetuJune 14, 2017WAKATI serikali ikikataza uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuwa halikushirikishwa kwa kuwa wao ndio wasimamizi wakuu, Celestine Mwesigwa,...
By Mwandishi WetuJune 14, 2017Marekani inasema itaziwekea vikwazo nchi ambazo zinafanya biashara haramu na Korea Kaskazini, anaandika Hamisi Mguta. Rex Tillerson, Waziri wa Mashauri ya nchi za...
By Hamisi MgutaJune 14, 2017KARIBU watu 15 hawajulikani waliko baada ya jumba la ghorofa saba kuporomoka siku ya Jumatatu (jana) usiku, katika kitongoji kimoja cha mji mkuu...
By Hamisi MgutaJune 13, 2017WAZIRI wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani, Rex Tillerson anasema kuwa nchi za Ghuba ni lazima zilegeze hatua yao dhidi ya...
By Hamisi MgutaJune 10, 2017GEORGE Simbachawene, Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa jana alitangaza jumla ya wanafunzi 2,999 wamekosa fursa ya...
By Hamisi MgutaJune 10, 2017SERIKALI ya Sudan kusini imesema watoto wapatao 15 wamekufa ikiwa ni matokeo ya makosa yaliyofanyika katika jaribio la kuwakinga na surua, anaandika Hamisi...
By Hamisi MgutaJune 2, 2017WATU 80 wameuawa na wengine zaidi ya mia tatu kujeruhiwa, baada ya bomu lililotegwa kwenye gari kulipuka jirani na ubalozi wa Ujerumani mjini...
By Mwandishi WetuMay 31, 2017MRADI wa kuhamasisha shule za msingi kushiriki katika shughuli za utunzaji wa mazingira na uzalishaji mali shuleni, “eco school” umefanikiwa kuongeza mahudhurio ya...
By Christina HauleMay 30, 2017KOREA Kaskazini imerusha kombora la masafa mafupi, ambalo ni la tatu kurushwa na taifa hilo katika kipindi cha wiki tatu, anaandika Hamisi Mguta....
By Hamisi MgutaMay 29, 2017MBUNGE wa Urambo, Magreth Sitta (CCM), ameihoji serikali ni kwanini haioni umuhimu wa kuunda taasisi ya kusimamia ubora wa elimu nchini, anaandika Dany...
By Danson KaijageMay 24, 2017MBUNGE wa Igalula Musa Ntimizi (CCM) ameihoji serikali sababu ya kutozisajili shule shikizi zilizojengwa karibu na makazi ya wananchi, anaandika Dany Tibason. Akiuliza...
By Danson KaijageMay 22, 2017SERIKALI imesisitiza kuwa sera ya Afya ya mwaka 2007 inaeleza kuwa huduma za kina mama wajawazito katika vituo vya ngazi zote zinatakiwa kutolewa...
By Danson KaijageMay 22, 2017UPO upungufu wa walimu 24,716 wa masomo ya Sayansi na Hisabati nchini, ametangaza Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Stella Manyanya, wakati akijibu...
By Danson KaijageMay 18, 2017MBUNGE wa Gando, Othman Omar Haji (CUF) ameihoji serikali kueleza namna Tanzania ilivyofaidika na utekelezaji wa mkataba wa ushirikiano baina yake na Serikali ya...
By Danson KaijageMay 18, 2017SERIKALI imekiri kukithiri kwa majanga ya moto mashuleni na kusababisha uharibifu mkubwa wa majengo, anaandika Dany Tibason. Akijibu swali bungeni leo, Naibu Waziri...
By Danson KaijageMay 18, 2017VIFO vya wajawazito vimeonekana kuongezeka mkoani Morogoro hadi kufikia vifo 83 mwaka 2016 dhidi ya 68 vilivyotokea mwaka 2015 kutokana na kutokuwepo na mchakato...
By Christina HauleMay 17, 2017KLABU ya Chelsea ya jijini London, Uingereza, imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka England msimu wa 2016/17, baada ya kuifunga West Bromwich,...
By Jabir IdrissaMay 14, 2017MBUNGE wa Tunduma, Frank Mwakajoka (Chadema) amesema anasikitisha kuona serikali inakimbilia kutoa mabilioni ya fedha kununua ndege wakati hali ya afya ni mbaya...
By Danson KaijageMay 4, 2017SERIKALI imepiga marufuku halmashauri zote nchini kutumia magari ya chanjo kwa ajili ya kukusanya mapato anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri...
By Danson KaijageMay 2, 2017SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Kongamano ya Jinsia kwa Taasisi za Elimu ya Juu lililoandaliwa na...
By Hamisi MgutaApril 24, 2017MKUU wa mkoa wa Morogoro Dk. Steven Kebwe amesema, matukio ya ajali za barabarani yameshika nafasi ya tatu kwa kuwa adui mkubwa wa...
By Christina HauleApril 21, 2017KLABU ya Simba imeitaka Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mpaka kufikia Machi 24, 2017,...
By Masalu ErastoApril 19, 2017MSANII wa muziki wa Hip-Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ aliyetekwa na watu wasiojulikana kisha kuachiwa akiwa na wenzie watatu amesema hawapo salama kwa...
By Hamisi MgutaApril 10, 2017MBUNGE wa Jimbo la Mtwara Vijijini Hawa Ghasia (CCM) amejikuta katika wakati mgumu baada ya mezomewa na baadhi ya wabunge pamoja na wadau...
By Danson KaijageApril 10, 2017NI siku ya pili tangu msanii wa muziki wa Hip-Hop, Ibrahim Mussa ‘Roma’ na wenzake kukamatwa na watu wasiojulikana katika Studio za Tongwe...
By Hamisi MgutaApril 7, 2017UHABA wa dawa katika Hospitali ya wilaya ya Nyamagana mkoani hapa, umezidi kuongezeka na kuwa kero kwa wagonjwa wanaofika kupata huduma kwenye hospitali...
By Moses MsetiApril 6, 2017UTAFITI wa taasisi inayoshughulikia masuala ya elimu ‘hakiElimu’ unaonesha kuwa serikali haijafikia lengo la sera ya kutoa elimu bure iliyoahidiwa mwaka 2015, anaandika...
By Hamisi MgutaApril 5, 2017JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, ameliagiza Jeshi la Polisi kumwachia huru msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ huku...
By Faki SosiMarch 27, 2017UPENDO ambao mashabiki wa mpira wa miguu waliuonesha jana kwa Nape Nnauye, aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo ulimliza kiongozi huyo, anaandika...
By Charles WilliamMarch 26, 2017SULEIMAN Jaffo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, amempa mwezi mmoja Mganga Mkuu wa Manispaa ya Morogoro...
By Christina HauleMarch 14, 2017FRANCIS Chang’ah, Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza, ameamuru Eladislaus mwalimu wa shule ya msingi ya Uhuru, awekwe rumande kwa muda usiofahamika...
By Moses MsetiMarch 3, 2017KLABU ya Yanga imesitisha mkataba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Ufundi, Hans Van Der Pluijm kutokana na klabu hiyo kutokuwa na uwezo wa kuendelea...
By Masalu ErastoMarch 3, 2017WEMA Sepetu na wenzake wawili wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashitaka matatu yanayohusiana na matumizi ya dawa za...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2017Timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa Miaka 17, ‘Serengeti Boys’ ikiongozwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini...
By Masalu ErastoFebruary 8, 2017WEMA Sepetu, msanii wa filamu na mshindi wa taji la Miss Tanzania 2006 leo ameshindwa kufikishwa katika Mahakama ya Kisutu leo, anaandika Kelvin...
By Masalu ErastoFebruary 7, 2017KLABU ya Azam FC itakuwa mwenyeji wa Mtibwa Sugar, katika raundi ya tano ya kombe la Shirikisho (FA) mchezo utakaopigwa kwenye dimba la...
By Masalu ErastoFebruary 6, 2017BAADA ya kukamilika kwa michuano ya kombe la mataifa Afrika iliokuwa inafanyika nchini Gabon, na timu ya taifa ya Cameroon kufanikiwa kutwaa ubingwa...
By Masalu ErastoFebruary 6, 2017KIJANA Alphonce Lusako amesema atapigania haki yake ya kusoma ndani ya ardhi ya Tanzania mpaka mwisho, licha ya Chuo Kikuu cha Dar es...
By Charles WilliamFebruary 4, 2017