August 8, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Majina ya waliopangiwa kidato cha tano, vyuo 2017 haya hapa

George Simbachawene, Waziri wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Spread the love

GEORGE Simbachawene, Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa jana alitangaza jumla ya wanafunzi 2,999 wamekosa fursa ya kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi kati ya wanafunzi 96,018 waliochaguliwa kwa mwaka 2017.

Mwanahali Online imekusogezea na kukupa uwepesi wa kutazama majina  ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwa mwaka 2017.

BONYEZA HAPA KUTAZAMA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA SHULE/VYUO

BONYEZA HAPA KUTAZAMA ORODHA YA WANAFUNZI WATAKAOPANGIWA AWAMU-II

error: Content is protected !!