
Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani Rex Tillerson
Spread the love
WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson yuko mjini Beijing kufanya mazungumzo na viongozi wa China.
Ajenda kuu katika mkutano huo ni mzozo katika rasi ya Korea.
Marekani na Korea Kaskazini zimekuwa zikirushiana cheche za maneno katika miezi ya hivi karibuni
Utawala wa Dornald Trump unaamini China ina umuhimu mkubwa, katika juhudi za kuishurutisha Korea Kaskazini kusitisha uundaji wa silaha zake za Nuklia
More Stories
Milioni 91 wapona corona duniani
Papa Francis atembelea Iraq
Kesi mauaji ya Jamal Khashoggi yaanza tena