Categorizing posts based on content
SHULE ya Sekondari ya Kome, iliyopo Buchosa, Wilaya ya Sengerema, Mkoani Mwanza, iliyokuwa ikishika nafasi ya mwisho kwa matokeo mabovu ya katika...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2021KIONGOZI wa chama cha upinzani nchini Kenya cha ODM, Raila Odinga amepimwa na kukutwa na maambukvirusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2021MAHAKAMA nchini Ujerumani, imemhukumu kifungo cha miaka minne na nusu gerezani, afisa wa zamani wa Idara ya Usalama wa taifa wa Syria....
By Mwandishi WetuMarch 10, 2021RAILA Odinga, kiongozi wa chama cha upinzani cha ODM, amefikishwa katika Hospitali ya Nairobi, Kenya na kuchukuliwa vipimo vya corona (COVID-19). Umeeleza...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2021LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/21, inaendelea leo Jumatano tarehe 10 Machi 2021, ikizikutanisha Simba na Tanzania Prisons, katika Uwanja wa...
By Kelvin MwaipunguMarch 10, 2021HALI ya wasiwasi nchini Senegal, imezidi kutanda baada ya Ousmane Sonko (46), kiongozi wa upinzani kutuhumiwa kubaka. Mtandao wa Aljazeera unaripoti …...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2021MARA baada ya kocha Cedric Kaze kutimuliwa Yanga uongozi wa klabu hiyo umemrejesha aliyekuwa kocha wao msaidizi, Juma Mwambusi kuifundisha timu hiyo...
By Kelvin MwaipunguMarch 9, 2021SAKATA la mlinda mlango wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Metecha Mnata limechukua sura mpya baada ya uongozi wa klabu...
By Kelvin MwaipunguMarch 9, 2021MAHAMADOU Issoufou, Rais Mstaafu wa Niger, ametunukiwa tuzo ya Mo Ibrahimu inayoonesha Ufanisi katika Uongozi kwa Afrika. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Rais Issoufou...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limefuta michuano ya kombe la mataifa Afrika chini ya miaka 17 (AfconU17), iliyokuwa ianze tarehe...
By Kelvin MwaipunguMarch 9, 2021UONGOZI wa klabu ya Simba umtaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kufanya uchunguzi kuhusu klabu ya Al Merreikh kuchezesha wachezaji...
By Kelvin MwaipunguMarch 9, 2021ZIARA ya siku nne ya Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, nchini Iraq, zimehitimishwa leo Jumatatu tarehe 8 Machi 2021, huku...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2021MCHEZAJI wa zamani wa klabu ya Yanga, Ally Mayai amesema ubora wa kikosi cha Simba kwa sasa umechangia na kusukua, uongozi wa...
By Kelvin MwaipunguMarch 8, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imewataka wananchi kufichua vitendo vya rushwa ya ngono wanavyokutana navyo. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeMarch 8, 2021KOCHA mkongwe nchini, Joseph Kanakamfumu ambaye pia amewahi kuwa Mkurugezni wa Michezo wa Chama cha Mpira wa Miguu mkoa wa Dar es...
By Kelvin MwaipunguMarch 8, 2021TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inaingia kambini hii leo kwa ajili ya kujiandaa na michezo miwili ya kirafikia pamoja na...
By Kelvin MwaipunguMarch 8, 2021KIKOSI cha wachezaji wa Namungo pamoja na viongozi kimeondoka kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya kucheza mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika...
By Kelvin MwaipunguMarch 8, 2021UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kuvunja benchi lote la ufundi sambamba na kusitisha mkataba na aliyekuwa kocha wao Cedric Kaze na...
By Kelvin MwaipunguMarch 7, 2021KANDA ya video inayoonesha wakazi wa Bukavu, Kivu katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokraia ya Kongo (DRC), wakiokota vipande vya dhabau, imesambaa...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2021VINARA wa Kundi A wa michuano ya Klabu Bingwa Afria, Simba ya Tanzania, imetoka sare ya bila kufungana na Al Merrikh, katika...
By Kelvin MwaipunguMarch 6, 2021KIPA namba moja wa klabu ya Simba, Aishi Manula anakosekana kwenye kikosi cha klabu hiyo kitakacho anza kwenye mchezo dhidi ya Al...
By Kelvin MwaipunguMarch 6, 2021LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inaendelea tena leo kwa michezo mitatu kupigwa kwenye viwanja tofauti ambapo Azam FC atakuwa ugenini Shinyanga...
By Kelvin MwaipunguMarch 6, 2021TIMU ya Simba Queen imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya Yanga Princess kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake....
By Kelvin MwaipunguMarch 5, 2021ANWARI Jabir, mshambuliaji wa Dodoma Jiji, ameshinda tuzo ya mchezaji bora mwezi Februari 2021, kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea)...
By Kelvin MwaipunguMarch 5, 2021KOCHA wa kikosi cha Ihefu FC ya Mbeya, Zuber Katwila ameshinda tuzo ya kocha bora mwezi Februari 2021, kwenye Ligi Kuu Tanzania...
By Kelvin MwaipunguMarch 5, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali ya Tanzania, kupima na kutoa takwimu za maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...
By Hamisi MgutaMarch 5, 2021MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19), ulimwenguni yamefikia milioni 116.22 huku waliopona maambukizi hayo wakiwa milioni 91.89. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Waliofariki kutokana...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2021KIONGOZI wa Kanisa Katoliki ulimwenguni, Papa Francis, amepanga ziara ya historia nchini Iraq, kuanzia leo Ijumaa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa...
By Masalu ErastoMarch 5, 2021BAO la dakika ya 85 lilofungwa na Mudathir Abdallah lilitosha kuipatia ushindi wa mabao 2-1, timu ya Coastal Union dhidi ya Yanga...
By Kelvin MwaipunguMarch 4, 2021UCHUNGUZI wa tathmini ya uwepo wa thamani ya fedha katika utekelezaji wa mradi wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2021HOSPITALI ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam (MNH), imefunga mashine nne za kutoa dawa kwa njia ya mvuke ili kusaidia wagonjwa...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2021MAHAKAMA ya mjini Istanbul nchini Uturuki, imeanza vikao vya kusikiliza kesi inayohusu mauaji ya aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa utawala wa Saudi Arabia na...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2021KIKOSI cha wachezaji 25 wa Simba pamoja na viongozi kimewasilini jijini Khartom nchini Sudan kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya mabingwa barani...
By Kelvin MwaipunguMarch 4, 2021KOCHA wa Yanga, Cedric Kaze amesema atawakosa wachezaji watano kuelekea mchezo wa leo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union....
By Kelvin MwaipunguMarch 4, 2021FRANCIS Ciza maarufu Majizo, amejitokeza kumzungumzia mke wake, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa uvumilivu aliouonyesha wakati wa uchumba wao na hatimaye ndoa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2021NCHI kadhaa Afrika ikiwa ni pamoja na Rwanda, Kenya, Uganda, Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), tayari zimepokea chanjo ya...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2021KLABU ya Simba ya Dar es Salaam nchini Tanzania, imemtangaza muigizaji maarufu nchini humo, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ kuwa msemaji wa timu ya...
By Masalu ErastoMarch 3, 2021MLINDA mlango wa klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Tanzania Aishi Manula emerejea kwenye kikosi cha klabu yake hii leo...
By Kelvin MwaipunguMarch 3, 2021KLABU ya Simba itaondoka nchini leo kuelekea Khartoum, Sudan kuwavaa El Merreikh kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa tarehe 6...
By Kelvin MwaipunguMarch 3, 2021KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga, kikosi cha Yanga kimejipanga kuvunja mwiko ya kutopata...
By Kelvin MwaipunguMarch 2, 2021USHINDI wa mabao matatu walioupata Simba dhidi ya JKT Tanzania, ulitosha kuwafanya kuibuka na pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...
By Kelvin MwaipunguMarch 1, 2021KUPIMA virusi vya corona (COVID-19), visiwani Zanzibar sasa ni Dola za Marekani 80 (zaidi ya Sh.180,00), badala ya Sh.30,000 za awali. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2021AFISA habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli ameshinda rufaa yake mara baada ya kufungiwa miaka mitatu kujihusisha na masuala ya mpira...
By Kelvin MwaipunguFebruary 28, 2021BUNGE nchini Uholanzi, limepitisha muswaada unaoelekeza serikali ya nchi hiyo, kuyatambua mauaji ya Waarmenia, yaliyofanyika wakati wa Vita vya Kwanza vya Dunia,...
By Masalu ErastoFebruary 27, 2021RIPOTI mpya iliyotolewa na shirika la kijasusi la Marekani (CIA), imemtaja mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia Arabia, Mohammed Bin Salman,...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2021KLABU ya Manchester United itavaana na AC Milan kwenye hatua ya 16 ya michuano ya Kombe la Europa baada ya kuchezeshwa kwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 26, 2021KIM Poulsen, kocha mpya wa Taifa Stars amelibakisha benchi lote la ufundi lilokuwa likitumiwa na Ettienne Ndayilagije wakiwemo makocha wasaidizi Selamani Matola...
By Kelvin MwaipunguFebruary 26, 2021KOCHA mkuu wa kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kim Poulsen ameita jumla ya wachezaji 43 watakao ingia kambini...
By Kelvin MwaipunguFebruary 26, 2021DAKTARI Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto nchini Tanzania amesema, matamko kuhusu magonjwa ya kuambukiza ikiwemo...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2021LICHA ya kupoteza kwa mabao 3-1, kwenye mchezo wa mzunguko wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Costo De Agosto...
By Kelvin MwaipunguFebruary 25, 2021