Saturday , 27 April 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Michezo

Jonas Mkude kikaangoni Simba

HATMA ya kiungo wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Jonas Mkude juu ya tuhuma za kinidhamu zinazomkabili, itajulikana kesho...

MichezoTangulizi

Simba yatangaza michuano yake, kocha mpya…

  TIMU ya Simba ya Dar es Salaam, imetangaza michuano ya Kimataifa ‘Simba Super CUP’ ikihusisha timu tatu Simba, TP Mazembe ya Congo...

Michezo

Klopp: Tumepoteza mchezo ambao hatukustahili kupoteza

KICHAPO cha bao 1-0, dhidi ya Burnley, kocha kikosi cha Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa timu yake imefungwa kwenye mchezo ambao hawakustahili kufungwa...

KimataifaTangulizi

SAKATA LA CORONA: Mipaka kufungwa Ulaya

KUIBUKA upya kwa ugonjwa wa Corona ulimwenguni, kunaweza kusababisha mataifa kadhaa ya Ulaya, kufunga mipaka yake, ili kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huo. Anaripoti...

MichezoTangulizi

Mkude ‘achutama’ aomba kusamehewa

KIUNGO wa timu ya Simba na Taifa ya Tanzania, Jonas Mkude ameomba radhi kwa viongozi, wanachama pamoja na mashabiki wa klabu hiyo mara...

Michezo

TFF kuwapiga msasa viongozi klabu za Ligi Kuu

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatarajia kuendesha Semina kwa viongozi wa klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ili kuwajengea uwezo katika...

Michezo

Ligi Kuu Bara kurejea 13 Februari

LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajia kurejea tena tarehe 13 Februari, 2021 mara baada ya kusimama kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi pamoja na...

KimataifaTangulizi

Biden aanza kuzika sera za Trump 

HATA kabla ya saa 24 kupita tangu kuapishwa kwake kuwa Rais wa 46 wa Marekani, Joe Biden tayari amebatilisha baadhi ya sera za...

Michezo

Mwambusi aachana na Yanga

KOCHA msaidizi wa timu wa Yanga, Juma Mwambusi ameamua kuachana na klabu hiyo mara baada ya kusumbuliwa na matatizo ya kiafya na kuhitaji...

MichezoTangulizi

‘Top four’ England, kumweka bingwa njia panda

WAKATI Ligi Kuu England ikiendelea tena leo ikiendelea leo kwa michezo miwili kupigwa, haki imeonekana si shwari kwa timu kugombania nafasi nne za...

KimataifaTangulizi

Trump alivyowaaga Wamarekani

DONALD Trump, ametoa hotuba yake ya mwisho akiwa Rais wa Marekani akisema, “Tumefanya kile ambacho tulikuja kukifanya na tumefanya mambo mengine mengi.” Inaripoti...

Michezo

Kipigo cha bao 2 – 0, chaifanya Stars kuweka rekodi CHAN

BAADA ya kukubali kipigo cha mabao 2 – 0, dhidi ya Zambia kwenye michuano ya kombe la Mataifa Afrika, Timu ya Taifa ya...

AfyaHabari za Siasa

Waziri Gwajima asimamisha watano Ukerewe

WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Dk. Dorothy Gwajima, amewasimamisha watumishi watano wa Hospitali ya Wilaya ya Nansio Ukerewe jijini Mwanza, kupisha uchunguzi wa...

Makala & UchambuziMichezo

Namungo wametushangaza, ila Manyama ameshangaza zaidi

DIRISHA dogo la usajili kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara na ligi daraja la kwanza, limefungwa tarehe 15 Januari 2021, huku baadhi...

Michezo

Taifa Stars kibaruani CHAN dhidi ya Zambia

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo kwa mara ya kwanza itashuka dimbani dhidi ya Zambia, katika michuano ya kombe la mataifa...

Kimataifa

Bobi Wine kumpinga Museven mahakamani

KIONGOZI wa Chama cha upinzani nchini Uganda cha National Unity Party (NUP), Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amesema, atakwenda mahakamani kupinga matokeo yaliyompa...

Michezo

Ozil kuungana na Samatta

ALIYEKUWA kiungo wa klabu ya Arsenal na timu ya Taifa ya Ujeruman, Mesut Ozil amejiunga na klabu ya Fenerbahce ambayo anakipiga mtanzania Mbwana...

MichezoTangulizi

Messi aoneshwa kadi nyekundu ya kwanza

MSHAMBULIAJI na Nahodha wa timu ya FC Barcelona, Lionel Messi ameoneshwa kadi nyekundu kwa mara ya kwanza tangu alipoanza kuitumikia klabu hiyo kwenye...

Michezo

Wabunge kuminyana uchaguzi Simba

KAMATI ya uchaguzi ya klabu ya Simba imewapitisha Juma Nkamia na Murtaza Mangungu kuwania nafasi ya Mwenyekiti katika uchaguzi mdogo wa klabu hiyo...

Michezo

Mshambuliaji wa Burundi afunga usajili Yanga

KUELEKEA kufungwa kwa dirisha dogo la usajili, klabu ya Yanga imefanikiwa kumsajili mshambuliaji wa kimataifa kutoka Burundi, Fiston Abdul Razak ili kuongeza nguvu...

Michezo

FC Platinum yabariki usajili wa Chikwende Simba

KLABU ya FC Platinum inayoshiriku Ligi Kuu nchini Zimbabwe imethibitisha kuwa imefikia makuabaliano na Simba kuhusu uhamisho wa kiungo wao mshambuliani Perfect Chikwende....

ElimuTangulizi

Taswira ya matokeo kidato cha nne 2020  

BARAZA Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya mthani wa kidato cha nne, uliofanyika mwaka 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

Kimataifa

Bobi Wine apinga matokeo, ajiita rais mteule

ROBERT Kyagulanyi maarufu Bobi Wine, amepinga matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Uganda mpaka sasa akidai hila zimefanyika. Inaripoti mitandao ya kimataifa...

Elimu

Wanafunzi 215 wafutiwa matokeo, 252… 

BARAZA Mitihani la Tanzania (Necta), limefuta matokeo yote ya watahiniwa 215, waliofanya udanganyifu katika mitihani yao ya Taifa mwaka 2020. Anaripoti Regina Mkonde,...

ElimuHabari Mchanganyiko

Silinde amsimamisha mkuu wa shule, Takukuru yapewa kazi

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais- Tamisemi, David Silinde amemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Korona Jiji la Arusha,  Kashinde Mandari kwa...

Michezo

FCC bado yaikalia kooni Simba

TUME ya Taifa ya Ushindani (FCC) imetoa taarifa kwa umma juu ya kuendelea kufanya uchunguzi kuhusiana na mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa...

Kimataifa

Uchaguzi Mkuu Uganda: Museveni aongoza

RAIS wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, anaongoza katika matokeo ya awali ya kura zilizohesabiwa. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Mpaka kufika saa...

ElimuTangulizi

Matokeo darasa la nne 2020

BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la nne uliofanyika 2020. MATOKEO YA DARASA LA NNE HAYA HAPA

ElimuTangulizi

Haya hapa matokeo kidato nne 2020

BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya kidato cha nne uliofanyika Novemba 2020. MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA

ElimuTangulizi

Matokeo kidato cha pili 2020 haya hapa

BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya kidato cha pili uliofanyika tarehe 23 Novemba hadi 11 Desemba 2020. MATOKEO YA KIDATO...

Kimataifa

Uchaguzi Mkuu Uganda: Sanduku la kura laibwa

VITUKO vya Uchaguzi Mkuu nchini Uganda vinaanza kudhihiri, tayari sanduku moja la kura linaripotiwa kuibwa na kutokomea kusikojulikana. Inaripoti mitandao ya kimataifa …...

KimataifaTangulizi

Mchungaji afungwa miaka 140 jela, amlaumu shetani

BONIFACE Amani Gichina, Mchungaji wa Kanisa la Living Faith Church maarufu Winners’ Chapel International, nchini Kenya amefungwa jela miaka 140 kwa kuwapa mimba...

KimataifaTangulizi

Facebook wamnyoosha Museveni, ajibu mapigo

MTANDAO wa kijamii wa Facebook umefungia akaundi zinazoshabikia Chama Tawala cha Uganda, NRM kinachoongozwa na rais wa nchi hiyo, Yoweri Museveni. Inaripoti mitandao...

Michezo

Simba yaifuata Yanga fainali Kombe la Mapinduzi

MABAO ya Meddy Kagare na Miraji Athumani yalitosha kuipeleka Simba kwenye fainali ya kombe la Mapinduzi baada ya kuiondosha Namungo FC kwenye mchezo...

Michezo

Azam FC ‘out,’ Yanga yatinga fainali Kombe la Mapinduzi

KLABU ya Yanga imefanikiwa kuingia fainali ya Kombe la Mapinduzi na kuwaondosha Azam FC kwa mikwaju ya penati 5-4, baada ya kutoshana nguvu...

Michezo

Beki mpya Yanga kuikosa Congo dhidi ya Stars kesho

BEKI wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Dickson Job ataukosa mchezo wa kesho wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya DR Congo...

Elimu

Vigogo 4 Veta Lindi wasimamishwa, Takukuru wapewa rungu 

NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga amewasimamisha kazi maafisa wanne wa Chuo cha Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA)...

Michezo

Makocha 55 wajitosa kumrithi Sven Simba

KLABU ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania imesema, makocha 55 wametuma wasifu (CV) wakiwania nafasi moja ya kuwafundisha mabingwa hao...

Elimu

Prof. Ndalichako anusa harufu ya ufisadi Kagarwe

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, amemwagiza Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Peter Maduki kuunda...

KimataifaTangulizi

Ndege yenye abiria 62, yapotea

NDEGE ya Kampuni ya Sriwijaya Air, aina ya Boeing 737 imepoteza mawasiliano na haijulikani ilipo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Taarifa zinaeleza, ndege hiyo...

Kimataifa

Twitter yamfungia kabisa Rais Donald Trump

AKANUTI ya Twitter ya Rais wa Marekani, Donald Trump imefungiwa kabisa, kutokana na hatari ya kuitumia kuchochea vurugu nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Michezo

Ushindi mwembamba wamkera kocha Yanga

CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga hakufurahishwa na namna timu yake ilivyocheza dhidi ya Namungo FC, kwenye mechi ya Kombe la Mapinduzi visiwani...

Michezo

Sven atoa sababu kuikacha Simba

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema, ameondoka ndani ya timu hiyo ili kumwezesha kuwa na uwiano kati yake na kazi, familia...

Michezo

Simba uso kwa uso na Al Ahly, AS Vita na El Merreikh

KLABU ya Soka ya Simba imepangwa kundi A, kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na klabu za Al Ahly kutoka nchini...

Michezo

Namungo kuwakabili Waangola Kombe la Shirikisho

KLABU ya Soka ya Namungo imepangwa kucheza na CD 1 de Agosto kutoka nchini Angola kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika kwenye...

Michezo

Beki Yanga apata pigo, afiwa na watu wawili kwa mpigo

BEKI wa kati na nahodha msaidizi wa klabu ya Yanga, Bakari Mwamnyeto amepata pigo kwa kufiwa na mchumba wake pamoja na mtoto usiku...

Kimataifa

Trump yamemshinda, asalimu amri

DONALD Trump, Rais wa Marekani ‘amezingirwa’ na sasa amesema, “nitakabidhi madaraka kwa amani.’ Inaripoti mitandaoya kimataifa…(endelea). Kwa mara ya kwanza tangu kufanyika Uchaguzi...

Afya

Kupima corona sasa Sh. 275,000

HOSPITALI ya Aga Khan imepewa jukumu la kupima virusi vya corona (COVID-19) kwa gharama ya Sh. 275,000 kwa Mtanzania. Anaandika Hamis Mguta, Dar...

Michezo

‘Ndoa’ ya Simba, Sven yavunjika

MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba imetangaza kuachana na kocha wake mkuu, Sven Vandenbroeck. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea). Simba imetangaza...

Kimataifa

Joe Biden azidi kumuadhibu Trump

RAPHEI Warnock, ndio seneta wa kwanza mweusi katika jimbo la Georgia, nchini Marekani. Anatokea chama cha Democrat cha rais mteule, Joe Biden. Anaripoti...

error: Content is protected !!