Categorizing posts based on content
MICHUANO ya Baraza la mashirikisho ya soka Afrika mashariki na kati ‘CECAFA’ kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 yatafanyika 22 Novemba...
By Kelvin MwaipunguNovember 17, 2020KATIBU Mkuu wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, (TFF) Wilfred Kidao amesema, haki za matangazo ya Televisheni ndio iliyosababisha mchezo kati ya...
By Kelvin MwaipunguNovember 16, 2020MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘MO Dewji’ amesema, mchezaji wao, Clatous Chama ataendelea kuhudumu klabuni hapo hadi mwaka 2022. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2020SHIRIKISHO la soka Barani Ulaya UEFA imeendesha droo kwa timu 24 ili kupata makundi kwa ajili ya michuano ya kombe la EURO ambayo...
By Kelvin MwaipunguNovember 13, 2020RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo serikali itajitahidi kutenga kiasi cha fedha kwa...
By Kelvin MwaipunguNovember 13, 2020KLABU ya Soka ya Yanga imesikitishwa na kushtushwa na tukio la kushikiliwa na kuhojiwa kwa mshauli wao mkuu, Senzo Masingiza jana kwenye kituo...
By Kelvin MwaipunguNovember 12, 2020BONDIA mtanzania Hassani Mwakinyo anatarajia kushuka ulingoni 13 Novemba, 2020 kutetea mianda wake wa chama cha WBF dhidi ya bondia Raia wa Argentina,...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2020SHIRIKISHO la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limeruhusu mashabiki kuingia uwanjani kwenye mchezo kati ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)...
By Kelvin MwaipunguNovember 10, 2020MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba itaivaa klabu ya Plateau United kutoka nchini Nigeria kwenye michezo ya awali ya michuano ya klabu...
By Kelvin MwaipunguNovember 9, 2020WAKATI dunia ikidhani imepumua baada ya Donald Trump, Rais wa Marekani (2016-2020) kuangushwa, China na Korea Kaskazini zinaweza ‘kukasirishwa’ na uamuzi wa raia...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2020SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), leo 9 Novemba 2020, linatarajia kupanga droo ya michezo ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa...
By Kelvin MwaipunguNovember 9, 2020KOCHA wa Simba, Sven Vandebroeck amesema “kuLikuwa na timu moja inacheza mpira na nyingine inazuia, nawapongeza wachezaji wangu kwa kucheza vizuri na ninafuraha...
By Kelvin MwaipunguNovember 7, 2020BAADA ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Simba kocha wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa matokeo haya yamewaachia kitu...
By Kelvin MwaipunguNovember 7, 2020LAMINE Moro, Nahodha wa klabu ya Yanga amesema kuwa wako tayari kwa ajili ya kuwakabili klabu ya Simba kwenye mchezo wa kesho ikiwa...
By Kelvin MwaipunguNovember 6, 2020KUELEKEA mchezo wa kesho Jumamosi dhidi ya Yanga, Nahodha wa klabu ya Simba, John Bocco amesema wamejipanga vizuri kwa ajili ya mchezo huo,...
By Kelvin MwaipunguNovember 6, 2020MABINGWA watetesi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba imesema katika mchezo wa kesho Jumamosi dhidi ya watani zao Yanga watakosa huduma...
By Kelvin MwaipunguNovember 6, 2020KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania Etienne Ndayilagije ameita kikosi chenye wachezaji 27 kitakacho ingia kambini kwa ajili ya kujiwinda na mchezo...
By Hamisi MgutaNovember 5, 2020BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Raja Casablanca, klabu ya soka ya Zamalek imetinga hatua ya fainali ya kombe...
By Hamisi MgutaNovember 5, 2020MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar. Anaripoti Kelvin Mwaipunga, Dar...
By Kelvin MwaipunguNovember 4, 2020KLABU ya Simba leo Jumatano tarehe 4 Novemba 2020 itashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara 2020/21 dhidi ya Kagera...
By Kelvin MwaipunguNovember 4, 2020BODI inayosimamia Ligi Kuu Tanzania Bara imetangaza viingilio kwenye mchezo utakaowakutanisha Yanga dhidi ya Simba ambapo kiingilio cha chini kitakuwa Tsh. 7,000 kwa...
By Kelvin MwaipunguNovember 2, 2020BODI ya Ligi imevifungia viwanja vya Majimaji (songea), Mkwakwani (Tanga), Sabasaba (Njombe), Ali Hassan Mwinyi (Tabora), Kipija (Mbeya), Nagwanda Sijaona (Mtwara) na Jamhuri...
By Kelvin MwaipunguNovember 2, 2020KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi (kamati ya Saa 72) imemfungia michezo mitatu mchezaji wa klabu ya Simba, Bernad Morrison na kumpiga...
By Kelvin MwaipunguOctober 29, 2020MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba wamekubali kipigo cha pili mfululizo kutoka kwa Ruvu Shooting cha 1-0. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2020MSHAMBULIAJI mpya wa klabu ya Manchester United Edson Cavani ataiongoza safu ya ushambuliaji ya Manchester United kwa mara ya kwanza dhidi ya Cheksea...
By Kelvin MwaipunguOctober 24, 2020MCHEZO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Simba rasmi utachezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam mara...
By Kelvin MwaipunguOctober 23, 2020BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania kocha wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema kupata matokeo ndani...
By Kelvin MwaipunguOctober 22, 2020NCHINI Nigeria, zaidi ya miili 20 imepatikana baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la nchi hiyo kuwamiminia risasi waandamanaji wanaopinga ukatili wa polisi...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2020PIERRE Buyoya, Rais Mstaafu wa Burundi, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada kubaini kuhusika katika mauaji ya aliyekuwa rais wa taifa hilo, Melchior...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2020WANAFUNZI wa shule ya Msingi Mkambarani iliyopo kata ya Mkambarani Halmashauri ya Wilaya na mkoa wa Morogoro, wanalazimika kusoma kwa kupokezana madarasa kutokana na...
By Christina HauleOctober 20, 2020KLABU ya Azam Fc imejikita kileleni kwenye msimamo wa Ligi Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu FC...
By Kelvin MwaipunguOctober 20, 2020BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu nchini England klabu ya Liverpool imelazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Ligi nchini...
By Masalu ErastoOctober 17, 2020BAADA ya kupoteza kwa mchezo kwa mabao 7-2 klabu ya Liverpool kesho watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Goodson Park kujiuliza dhidi ya majirani...
By Kelvin MwaipunguOctober 16, 2020KOCHA mpya wa klabu ya Al Ahly, Pitso Mosimane atakuwa na kibarua kigumu kesho kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe la klabu...
By Kelvin MwaipunguOctober 16, 2020KOCHA mpya wa Klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema, amekuja nchini Tanzania kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria nchini humo na kuirudishia hadhi na...
By Kelvin MwaipunguOctober 16, 2020LIGI kuu Tanzania Bara itaendelea tena leo kwa jumla ya michezo miwili kupigwa kwenye viwanja tofauti ambapo klabu ya Azam Fc itashuka dimbani...
By Kelvin MwaipunguOctober 15, 2020LIGI kuu soka Tanzania Bara inaendelea tena leo kwa kupigwa jumla ya michezo minne katika viwanja tofauti mara baada ya mapumziko ya michezo...
By Kelvin MwaipunguOctober 14, 2020RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteuwa Ghalib Said Mohammed kuwa Mwenyekiti wa kamati ya ushindi ya Timu...
By Kelvin MwaipunguOctober 13, 2020NAHODHA wa timu ya Taifa ya Burundi Sadio Berahino amesema wako tayari kuwakabiri timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye mchezo wa kirafiki utakaopigwa...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2020KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Etiene Ndayilagije amemuweka nje ya kikosi mshambuliaji wa klabu ya Simba John Bocco kutokana...
By Kelvin MwaipunguOctober 8, 2020TIMU ya KMC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imehamishia mchezo wake wa nyumbani dhidi ya klabu ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,...
By Kelvin MwaipunguOctober 8, 2020BODI ya Ligi imehailisha mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kati ya Yanga dhidi ya Simba uliokuwa uchezwe 18 Oktaba, 2020 na sasa...
By Kelvin MwaipunguOctober 7, 2020RAIS wa Marekani, Donald Trump na mkewe Melania Trump, sasa wapo karantini baada ya kukumbwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti BBC … (endelea). Kabla...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020ALIYEKUWA kocha mkuu wa klabu ya Mamelody Sundown inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini Pitso Mosimane ameachana na klabu hiyo hii leo 30...
By Kelvin MwaipunguSeptember 30, 2020SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio katika mchezo wa kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ dhidi...
By Kelvin MwaipunguSeptember 30, 2020TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa stars’ inatarajia kushuka dimbani octobar 11, 2020 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya timu yabTaifa ya Burundi....
By Kelvin MwaipunguSeptember 28, 2020KLABU ya soka ya Yanga imelaani vikali kitendo cha mashabiki wao kuwafanyia vurugu mashabiki wa klabu ya Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2020MARA baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, Bodi ya Ligi imepiga marufuku...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2020MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vidacom Tanzania Bara 2020/21, Simba imeendelea kutoa vipigo baada ya kuofunga Gwambina FC 3-0. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2020NAHODHA wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa stars’ Mbwana Samatta ameishukuru timu ya Aston Villa kwa kumwezesha kutimiza ndoto zake za kucheza...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2020