Categorizing posts based on content
BODI ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba jijini Dar es Salaam, imetoa onyo kwa wachezaji na viongozi wa timu hiyo watakaokwenda kinyume...
By Kelvin MwaipunguFebruary 7, 2021WANACHAMA wa Klabu ya Simba, jijini Dar es Salaam, wamekutana kumchagua Mwenyekiti wa timu hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2021UONGOZI wa klabu ya Simba umekubaliana na Wizara ya Maliasili na Utalii kutangaza nchi kupitia jezi zao watakazotumia kwenye michuano ya Ligi...
By Kelvin MwaipunguFebruary 5, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameshtushwa na gharama kubwa za mashine za kusaidia upumuaji kwa watu wenye tatizo hilo, zinazotolewa...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2021WAPINZANI wa Simba kwenye Michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Al Ahly kutoka Misri wanatarajia kuvaana na FC Bayern Munich kutoka Ujerumani kwenye...
By Kelvin MwaipunguFebruary 5, 2021KIKOSI cha Yanga kitashuka dimbani kuikabili African Sports kwenye mchezo wa kupima nguvu utakaochezwa majira ya saa 1 usiku kwenye dimba la...
By Kelvin MwaipunguFebruary 5, 2021USHINDI wa mabao 2-1, dhidi ya Dodoma jiji FC, umeifanya Simba kuondoka na pointi tatu muhimu kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 4, 2021BENKI ya Exim (Group) imetangaza kupata faida ya jumla ya Sh.25.3 bilioni (kabla ya kodi) kwa mwaka 2020, ikilinganishwa na hasara ya...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2021SHIRIKA la Afya duniani (WHO), limeiondoa Tanzania na Burundi katika orodha ya nchi za Afrika Mashariki zikazopewa chanjo ya virusi vya corona...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2021KIUNGO wa klabu ya Simba, Jonas Mkude amerejea kambIni mara baada ya sakata lake kumalizika ndani ya klabu hiyo baada ya kutakiwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 3, 2021LIGI Kuu Tanzania Bara inarejea tena kesho kwa kupigwa michezo miwili, ambapo Simba itakuwa Ugenini kuikabili Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 3, 2021UPUNGUFU wa madawati katika baadhi ya Shule za Msingi na Sekondari nchini, umekuwa ni tatizo sugu. Je, serikali inachukua hatua gani endelevu za...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2021KASI ya kuenea kwa virusi vya corona (COVID-19) nchini Ureno, inatikisa taifa hilo. Inaripoti mitandao ya kimataifa… (endelea). Serikali ya Ureno baada ya kuona...
By Kelvin MwaipunguFebruary 1, 2021TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes wanatarajia kucheza michezo miwili ya kirafiki kwa ajili ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 1, 2021KOCHA wa timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20 (NgorongoroHeroes), Jamhuri Julio amelia na namna ya wachezaji wa timu ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 1, 2021IKIWA imebaki wiki moja kwa Cyril Ramaphosa, Rais wa Afrika Kusini kuhitimisha mwaka mmoja wa Uenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), amesema kipindi...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2021WAZIRI Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Seleman Jaffo ametangaza msimu wa tatu wa kujifukiza nyungu, ili kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2021MARA baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) kwenye hatua ya makundi, timu ya...
By Kelvin MwaipunguJanuary 30, 2021KOCHA wa kikosi cha TP Mazembe, Felix Mwamba ameonekana kuvutiwa na kiwango cha kiungo wa klabu ya Simba Laary Bwalya mara baada...
By Kelvin MwaipunguJanuary 30, 2021NAHODHA msaidizi wa klabu ya Simba, Mohammed Hussein amesema kuwa ujio wa kocha wao mpya umeongeza mzuka kwa wachezaji katika kutimiza malengo...
By Kelvin MwaipunguJanuary 30, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameagiza madaktari wanaopangiwa ajira katika hospitali za umma kisha wanakimbilia kwenye hospitali binafsi kwa kigezo cha masilahi...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2021BODI ya Ligi Tanzania Bara imetoa ratiba ya michezo iliyohairishwa kwenye mzunguko wa kwanza wa Ligi, ambapo klabu ya Simba itaanza kushuka...
By Kelvin MwaipunguJanuary 30, 2021WIZARA ya Afya nchini Tanzania, imetaka wananchi wanaokabiliwa na vitendo vya kikatili kwenye familia/nyumba zao, kuwasiliana na maofisa wa wizara hiyo moja...
By Masalu ErastoJanuary 29, 2021MSANII wa muziki nchini Tanzania, Naseeb Abdul maarufu ‘Diamond Platnum’ amesema, kiwango cha fedha anachoingiza kwa mwezi, kutokana na mikataba mbalimbali ya...
By Masalu ErastoJanuary 28, 2021MKANG’ANYIKO wa taarifa juu ya virusi hatari vya corona (Covid-19), nchini Tanzania, unazidi kuwaweka wananchi njia panda. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2021MARA baada ya kufungiwa miaka mitatu kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu ndani na nje ya nchi na Kamati ya Maadili...
By Kelvin MwaipunguJanuary 28, 2021RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli amesema serikali yake itaendelea kuboresha sekta ya afya ili wananchi wapate huduma bora za afya. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2021TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars ) imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) baada...
By Kelvin MwaipunguJanuary 28, 2021AFISA Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa miaka mitatu kujihusisha na masuala ya mpira wa miguu baada ya...
By Kelvin MwaipunguJanuary 27, 2021UONGOZI wa klabu ya Simba umeamua kushusha viingilio kutoka Sh. 3,000 mpaka Sh. 2,000, kwenye mchezo wao dhidi ya TP Mazembe kutoka...
By Kelvin MwaipunguJanuary 27, 2021DAKIKA tatu zilizotosha kumfanya Bernard Morisson kuibuka mchezaji bora wa mechi mara baada ya kupachika mabao mawili kwenye mchezo wa Kombe la...
By Kelvin MwaipunguJanuary 27, 2021NIZAR Khalfan, ametangazwa kuwa Kocha Msaidizi wa Mabingwa wa Michuano ya Mapinduzi ya Zanzibar, Yanga ya jijini Dar es Salaam, nchini Tanzania....
By Kelvin MwaipunguJanuary 27, 2021BARAZA la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limetoa tahadhari kwa wananchi kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona na ugonjwa wa...
By Saed KubeneaJanuary 26, 2021KLABU ya Simba imekamilisha usajili wa beki wa kati, Peter Muduhwa raia wa Zimbabwe ambaye alikuwa kwenye michuano ya kombe la Mataifa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 26, 2021KIONGOZI wa kiroho wa Kanisa Katoliki la All Saints Cathedral, Nairobi nchini Kenya, Sammy Wainaina amemshangaa Rais wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2021WAKATI kikosi cha Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara kikiingia kambini hii leo kujiandaa na michezo ya mzunguko wa pili...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2021TAARIFA kutoka vyanzo mbalimbali nchini Uingereza vinasema huwenda muda wowote klabu ya Chelsea ikamtimua kocha wake wa sasa Frank Lampard kufuatia matokeo...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2021JOYCE Singano, mwanasayansi na mtafiti, amekuwa Mwafrika wa kwanza kutwaa tuzo maarufu inayotolewa kwa wataalamu wa maiamba duniani ‘Brady Meda.’ Inaripoti mitandao...
By Masalu ErastoJanuary 25, 2021KUELEKEA mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi wa michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wandani (CHAN), wachezaji watatu wa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2021BAADA ya mapumziko ya siku 10, hatimaye kikosi cha Yanga kitaanza mazoezi leo kujiandaa na michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2021SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeeleza kuumizwa na hatua ya askari wa ulinzi (SUMA – JKT)...
By Danson KaijageJanuary 24, 2021KOCHA mpya wa timu ya Simba, Didier Gomes amesema kuwa ameifuatilia kwa karibu Ligi Kuu ya Tanzania Bara na kuwafahamu baadhi ya...
By Kelvin MwaipunguJanuary 24, 2021UONGOZI wa klabu Simba umemtambulisha, Didier Gomes raia wa Ufaransa kuwa kocha mpya wa klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguJanuary 24, 2021MARA baada ya kupoteza kwa bao 1-0, mbele ya Burnley, kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ataongoza kikosi chake kwenye Uwanja Old Trafford kuwakabili...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2021ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Daniel Ngoyi Mulunda, sasa yuko gerezani anakotumikia kifungo chake. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2021KAMATI Nidhamu ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam, imemkuta na hatia kiungo wa klabu hiyo, Jonas Mkude ya utovu wa...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2021WAZIRI wa Usafirishaji wa Zimbabwe, Joel Biggie Matiza, amefariki dunia jana Ijumaa tarehe 22 Januari 2021, katika Hospitali ya St. Anne Harare...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2021TIMU ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inashuka dimbani kucheza na Namibia kwenye michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2021MTENDAJI Mkuu wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amemaliza sintofahamu juu ya winga wa timu hiyo, Bernard Morrison kuhusu taarifa zilikuwa zinaeleza...
By Kelvin MwaipunguJanuary 22, 2021HATMA ya kiungo wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Jonas Mkude juu ya tuhuma za kinidhamu zinazomkabili, itajulikana kesho...
By Kelvin MwaipunguJanuary 22, 2021