Thursday , 9 May 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Michezo

Ligi Kuu Bara kuendelea leo, michezo miwili kupigwa

  LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea tena leo, ambapo michezo miwili itapigwa kwenye viwanja tofauti. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea)....

Michezo

Simba yawasili Cairo kukamilisha ratiba na Al Ahly

  KIKOSI cha wachezaji pamoja na viongozi wa klabu ya Simba umewasili salama jijini Cairo, Misri kwa ajili wa Ligi ya Mabingwa dhidi...

Kimataifa

Vjosa Sadriu: Rais mdogo mwanamke duniani aapishwa

  VJOSA Osmani-Sadriu (38), ameapishwa kuwa Rais wa Kosovo, na kaundika historia ya kuwa mwanamke wa kwanza mwenye umri mdogo duniani kushika wadhifa...

Michezo

Chama tishio Afrika

  KIUNGO wa klabu ya Simba, Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki barani Afrika mara baada ya kuwashinda, Ricardo Goss wa Mamelodi...

Michezo

Kufungiwa Mwakalebela, Yanga yaikomalia TFF

  UONGOZI wa klabu ya Yanga umesema kuwa haujaridhishwa kufungiwa kwa miaka mitano kwa Makamu Mwenyekiti wao, Fredrick Mwakalebela baada ya kukutwa na...

Michezo

Simba kuifuata Al Ahly jioni ya leo

  KIKOSI cha wachezaji pamoja na viongozi wa klabu ya Simba wataondoka jioni ya leo tarehe 6 Aprili, 2021, kuelekea nchini Misri kwa...

Michezo

Madrid, Liverpool vitani leo

  HATUA ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA0 inataendelea hii leo, ambapo Real Madrid itashuka dimbani kuikabili Liverpool kwenye Uwanja...

Kimataifa

Wafungwa 1,800 watoroka jela

VIONGOZI wa magereza nchini Nigeria, wameeleza jumla ya wafungwa 1,800 wametoroka jela baada ya watu wenye silaha kuvamia gereza la Owerri, kusini mwa...

Michezo

Chama, Miquisone waingia kikosi bora cha wiki Afrika

  WACHEZAJI wawili wa kikosi cha Simba, Clatous Chama na Luis Miquisone wameingia kwenye kikosi cha kwanza cha wiki barani Afrika. Anaripoti Kelvin...

Kimataifa

Ni maafa Indonesia, 76 wafariki dunia

  JUMLA ya watu 76 wamefariki dunia baada ya kuvamiwa na tope la volcano, mafuriko na upepo mkali nchini Indonesia. Inaripoti mitandao ya...

Michezo

Vipimo vya corona vyachelewesha mchezo Namungo Vs Nkana

  MCHEZO wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Namungo FC ya Dar es Salaam, Tanzania na Nkana ya Zambia, umechelewa kuanza kwa...

Michezo

Ibenge: Siwezi kuogopa, tumekuja kucheza

KOCHA wa klabu ya As Vita Florent Ibenge amesema hawezi kuhofia wala kuogopa kucheza na Simba kutokana na ubora waliokuwa nao kwa sasa...

Michezo

Mwakalebela afungiwa miaka mitano, faini milioni 7

  KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia miaka mitano kujihusisha na mpira wa miguu, Makamu Mwenyekiti wa...

Michezo

Rais Samia amtwika mzigo Gekul

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtaka Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul, kutetea...

Habari

Rais Samia akemea kutumia nguvu kukusanya kodi, kuzifungia akaunti

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekerwa na kitendo cha matumizi ya nguvu katika kukusanya kodi ikiwemo kuzifungia akaunti za wafanyabiashara na...

Michezo

AS Vita kutua leo usiku

  MSAFARA wa wachezaji 33 pamoja na viongozi wa klabu ya AS Vita kutoka Jamhuri ya Congo, utawasili jijini Dar es Salaama hii...

Michezo

Simba dhidi ya AS Vita, mashabiki ruksa

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiruhusu klabu ya Simba kuingiza mashabiki kwenye mchezo wao dhidi ya AS Vita kutoka Jamhuri...

Michezo

Ligi Kuu Bara kurejea Aprili 8

  BAADA ya Ligi Kuu Tanzania Bara kusimama kupisha michezo ya kimataifa na maombolezo, sasa itaendelea tena Aprili 8, 2021 kwa michezo miwili...

Michezo

Al Merreikh wamtengea Manula donge nono

  KLABU ya Al Merreikh inayoshiki Ligi Kuu nchini Sudan imeonekana kutaka saini ya mlinda mlango wa klabu ya Simba na Timu ya...

Michezo

Ishu ya Mukoko na Kaizer Chiefs iko hivi

  MARA baada ya tetesi za Mokoko Tonombe kutakiwa na klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini uongozi wa klabu hiyo...

Kimataifa

Sarah Obama afariki dunia, kuzikwa leo

  SARAH Obama (99), Bibi wa Rais wa zamani wa Marekani, Barrack Obama, amefariki dunia leo Jumatatu tarehe 29 Machi 2021, katika Hospitali...

Michezo

Jeshi la wachezaji 30 kutua Equtorial Guinea

  KOCHA Kim Poulsen ameweka wazi jeshi la wachezaji 30 litakalosafiri kutoka Nairobi nchini Kenya ambapo timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’...

Burudika

Kifo cha Magufuli, Majaliwa awashukuru wasanii

  WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewashukuru na kuwapongeza wasanii wote nchini waliojitoa kutunga nyimbo mbali mbali za...

Michezo

Mamilioni ya Man United yamuibua MO

  MKATABA mpya wa udhamini wa jezi waliongia klabu ya Manchester United wenye thamani ya Shilingi 703 bilioni, umemuibua Mwenyekiti wa Bodi ya...

Michezo

Klabu za Ligi kuu za mpongeza Rais Samia

  MARA baada ya kuapishwa kuwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, klabu mbalimbali za Ligi Kuu soka Tanzania Bara...

Kimataifa

Kifo cha Magufuli: Rais Kagame “nimempoteza rafiki”

  RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema, mchango uliotolewa na aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (61) kwa taifa hilo “hauwezi kusahaulika.”...

Michezo

Klabu za Ligi Kuu zamlilia JPM

  KUFUATIA kifo cha Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dk. John Magufuli, klabu mbalimbali za Ligi Kuu Tanzania Bara zimetuma salamu...

Michezo

Kufuatia kifo cha Magufuli, TFF yasimamisha michezo kwa wiki mbili.

  SHIRIKISHO la mpira wa Miguu Tanzania limesimamisha michezo yote kwa muda wa wiki mbili kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano...

Michezo

Samatta amlilia Rais Magufuli

  NAHODHA wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta amewaomba wananchi, kushikamana katika kipindi hiki cha majonzi ya kumpoteza, Rais...

Michezo

Simba yaomboleza kifo cha Rais Magufuli

  TIMU ya Simba ya Dar es Salaam, imeomboleza kifo cha Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, kilichotokea jana Jumatano tarehe 17 Machi...

Michezo

Namungo kama mlivyosikia

  NDIYO hivyo. Kikosi cha Namungo FC kimepoteza mchezo wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids kutoka nchini Misri kwa...

Michezo

Al Ahly yampa noti Miquissone

  KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Simba, Luis Miquissone amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Februari 2021 wa klabu hiyo na kukabidhiwa fedha...

Michezo

Simba yaimngia mkataba na Emirates

  KLABU ya Simba imeingia mkataba na kampuni ya Emirates Aluminium Profile ambao watakuwa wanatoa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi, ambaue atakuwa...

Kimataifa

Mauaji Atlanta: Joto la chuki lapanda

  KATI ya raia wanane walioshambuliwa na kupoteza maisha Atlanta, Georgia nchini Marekani, sita ni Wamarekani wenye asili ya Asia. Inaripoti mitandao ya...

MichezoTangulizi

Simba yanusa robo fainali, As Vital yapigwa

  SAFARI ya timu ya Simba ya Tanzania, katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, imeshika kasi, baada ya kuibuka na ushindi wa 3-0,...

Michezo

Pyramids waipiga mkwara Namungo FC

  KUELEKEA mchezo wao dhidi ya Namungo FC, kocha wa kikosi cha Pyramids FC, Rodolfo Arrubarrena pamoja na nahodha wake, Abdallah El Said...

Kimataifa

Al shabab wavamia kijiji, wachinja watoto

  WANAMGAMBO wa kundi la Al shabab wanatajwa kuchinja watoto kadhaa katika Mkoa wa Cabo Delgado, nchini Msumbiji. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …...

Michezo

Kenya yaichapa Stars 2-1

  TIMU ya soka ya Kenya ‘Harambee Stars’ imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya timu ya Tanzania ‘Taifa Stars.’ Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

BurudikaTangulizi

Wizkid, Burnaboy wan’gara tuzo za grammy, Beyonce aweka rekodi

  TUZO kubwa ulimwenguni, zinazotolewa nchini Marekani maarufu ‘Grammy,’ zimeshuhudia gwiji wa muziki, Beyonce akiweka rekodi kwa kushinda na kufikisha tuzo 28 tangu...

Michezo

Kocha Simba: Lazima tuifunge Al Merrikh, Wawa nje

  KOCHA wa Simba ya Dar es Salaam, Didier Gomes amesema, mchezo wao dhidi ya Al Merrikh ya Sudan, utakuwa mgumu lakini “lazima...

Kimataifa

COVID-19: DRC yasitisha chanjo ya AstraZeneca

  SERIKALI ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imeahirisha kampeni ya kutoa chanjo ya AstraZeneca, ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya...

Kimataifa

Corona: Raila Odinga atoka hospitalini

  KIONGOZI wa chama cha upinzani nchini Kenya cha Orange Democratic Movement (ODM), Raila Odinga, ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Nairobi, alipokuwa amelazwa baada...

Afya

Dk. Gwajima ahimiza lishe bora, mazoezi

  WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amewahimiza Watanzania kula lishe bora. Anaripoti Mwandishi Wetu, Katavi…(endelea)....

Michezo

Bilionea Patrice Motsepe, rais mpya CAF

  RAIS mpya wa shirikisho la kandanda barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe, ameomba umoja wakati akitafuta kurejesha sifa ya shirika hilo. Anaandika Mwandishi...

Michezo

Simba Vs Al-Merrikh kwa Mkapa bila mashabiki

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF), limeagiza mechi kati ya Simba SC na Al-Merrikh ya Sudani, inayotarajiwa kufanyika tarehe 16...

Kimataifa

COVID-19 yaichakaza Kenya, yapoteza trilioni 11

  SERIKALI ya Kenya, imepoteza jumla ya Ksh. 560 Bilioni (zaidi ya Tsh. 11 trilioni), tangu ilipokumbwa na mlipuko wa uonjwa wa corona...

Michezo

Motsepe Rais mpya CAF

  MMILIKI wa klabu ya Mamelod Sundown Patrice Motsepe amechaguliwa kuwa Rais mpya wa shirikisho la mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) akichukua...

Elimu

Shule iliyoshika mkia Sengerema, yazinduka

  SHULE ya Sekondari ya Kome, iliyopo Buchosa, Wilaya ya Sengerema, Mkoani Mwanza, iliyokuwa ikishika nafasi ya mwisho kwa matokeo mabovu ya katika...

Kimataifa

Raila aambukizwa corona

  KIONGOZI wa chama cha upinzani nchini Kenya cha ODM, Raila Odinga amepimwa na kukutwa na maambukvirusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu...

Kimataifa

Mshirika wa Rais Assaad, afungwa Ujerumani

  MAHAKAMA nchini Ujerumani, imemhukumu kifungo cha miaka minne na nusu gerezani, afisa wa zamani wa Idara ya Usalama wa taifa wa Syria....

error: Content is protected !!