May 25, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Simba yaomboleza kifo cha Rais Magufuli

Spread the love

 

TIMU ya Simba ya Dar es Salaam, imeomboleza kifo cha Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, kilichotokea jana Jumatano tarehe 17 Machi 2021, Katika Hospital ya Mzena, mkoani Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Taarifa za kifo hicho, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan ambaye ametangaza siku 14 za maombolezo na bendere zitapepea nusu mlingoni.

Taarifa kamili ya Simba hii hapa;

error: Content is protected !!