
Raila Odinga
KIONGOZI wa chama cha upinzani nchini Kenya cha Orange Democratic Movement
(ODM), Raila Odinga, ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Nairobi, alipokuwa amelazwa baada ya kupimwa na kukutwa na maambukizi ya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).
Odinga, aliyewahi kuwa waziri mkuu mstaafu wa Kenya, alibainika kuambikizwa corona, Jumatano iliyopita ya tarehe 10 Machi 2021, katika hospitali hiyo na kulazimika kupumzishwa kwa matibabu zaidi.
Leo asubuhi Jumapili, tarehe 14 Machi 2021, Odinga ameruhusiwa kutoka na kurejea nyumbani, ambako ataendelea kupata matibabu, kufanya mazoezi
More Stories
Wagombea 11 waenguliwa kugombea urais
Miaka mitatu jela kwa kuwanyanyasa yatima kingono
Mwanadiplomasia wa Urusi ajiuzulu kutokana na vita nchini Ukraine