Saturday , 27 April 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Kimataifa

Mtanzania gaidi aliyejiua, alikuwa mgojwa wa akili

RASHID Charles Mberesero, Mtanzania aliyehukumiwa kifungo cha maisha kutokana na kuhusika katika shambulio la kigaidi la Garisa, Kenya mwaka 2015, amejinyonga na kufariki...

Michezo

Simba yaipiga Plateau 1-0, yaisubiri Dar

TIMU ya Simba ya Dar es Salaam nchini Tanzania, imeanza vyema michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Plateau...

Michezo

Fainali CAF, Al Ahly, Zamalek kumenyana leo

LEO tarehe 27 Novemba, 2020 ndio siku inayopigwa fainali ya klabu bingwa Afrika inayozikutanisha miamba ya soka nchini Misri, klabu ya Al Ahly...

Michezo

Dube kupelekwa Afrika Kusini kwa matibabu

MSHAMBULIAJI wa Azam FC na timu ya Taifa ya Zimbabwe, Price Dube ataondoka nchini Jumapili ya tarehe 29 Novemba, 2020, kuelekea Afrika Kusini...

Michezo

Bingwa wa bao la mkono afariki Dunia

DIEGO Maradona mchezaji wa zamani na kocha wa Timu ya Taif ya Argentina amefariki Dunia siku chache baada ya kufanyiwa upasuaji wa kichwa...

Michezo

Yanga yaipiga Azam FC, yaongoza Ligi

BAADA ya kufanikiwa kuondoka na pointi tatu dhidi ya Azam FC kwa bao 1-0, Yanga sasa inapanda mpaka nafasi ya kwanza, baada ya...

Michezo

Liverpool waongoza kinyang’anyiro Tuzo za FIFA

KLABU ya Liverpool inayoshriki Ligi Kuu England imetoa wachezaji wanne kati ya 11 waliopo kwenye kinyang’anyiro cha tuzo ya mchezaji bora wa Dunia...

Michezo

Zidane, Klopp, Flick vita tuzo ya kocha bora wa dunia

MAKOCHA Zinedine Zidane wa Real Madrid, Jurgen Klopp wa Liverpool na Hans Flick anaekinoa kikosi cha Bayern Munich wameteuliwa kati ya makocha watano...

Michezo

Mo Dewji akubali yaishe kwa Dk. Kigwangalla

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya timu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ amemwomba radhi Mbunge wa Nzega Vijijini (CCM), Dk. Hamis Kigwangalla kwa...

Michezo

Sakata la kufungiwa Rais CAF, lawaibua TFF

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi juu ya kiasi cha dola za kimarekani 20, 000 (zaidi ya Tsh 43 milioni),...

Michezo

Kocha Yanga atimkia Mamelodi Sundowns

KLABU ya Mamelodi Sundowns inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini inatarajia kumtambulisha Riedoh Berdien aliyekuwa kocha wa viungo wa Yanga kujiunga na timu hiyo...

Michezo

Tulia mgeni rasmi fainali Miss Tanzania

NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Tulia Akson atakuwa mgeni rasmi kwenye fainali ya...

Michezo

Undertaker atandika daluga

BAADA ya miaka 30 ya ubabe na purukushani katika uwanja wa mielekeka, Mark Calaway maarufu kwa jina la Undertaker ameamua kustaafu mchezo huo....

Michezo

FIFA ‘yamtupa jela’ Rais wa CAF miaka mitano

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (Fifa) limemfungia kujihusisha na shughuli za moita wa miguu kwa miaka mtano, Rais wa Shirikisho la Mpira...

Michezo

Simba yaipiga Coastal 7-0, Azam yapigwa kimoja

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Simba imetoa kipigo cha ‘mbwa koko’ cha 7-0 dhidi ya Coastal Union. Anaripoti...

Elimu

Wanafunzi kumi  bora darasa la 7

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza watahiniwa kumi bora Kitaifa katika matokeo ya kumaliza elimu ya msingi uliofanyika tarehe 7 na 8...

ElimuTangulizi

Matokeo Darasa la saba 2020 haya hapa  

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) Jumamosi tarehe 21 Novemba 2020, limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Michezo

Kigwangalla aomba suruhu kwa MO Dewji

ALIYEKUWA Waziri wa Maliasili na Utalii kwenye Serikali ya awamu ya Tano, Dk. Hamis Kigwangallah ameomba kumaliza tofauti zake na mfanyabiashara maarufu nchini...

Michezo

Simba yajibu mapigo FCC, yatoa ufafanuzi wa Bil. 20

KLABU ya soka ya Simba imetolea ufafanuzi taarifa iliyotolewa na Tume ya Ushindani ya Kibiashara (FCC) na kueleza mwekezaji wao, Mohammed Dewji (MO)...

Michezo

Yanga waliamsha tena sakata la Morrison

MAKAMU Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Frederick Mwakalebela ameibuka tena na sakata la mchezaji Bernard Morrison katika kesi walizowasilisha mbele ya Shirikisho la...

Michezo

FCC yaikana Simba, kuifanyia uchunguzi

TUME ya Taifa ya Ushindani (FCC) imeleza kuwa haihusiki na kucheleshwa kwa mfumo wa mabadiliko wa uendeshaji wa klabu ya Simba bali kuchelewa...

Michezo

Rais Hussein Mwinyi: Nipo tayari kukaa na wadau wa michezo Z’bar

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Hussein Alli Mwinyi amesema kuwa kuwa yupo tayari kukaa na wadau wa michezo visiwani humo...

ElimuHabari Mchanganyiko

Klabu ya Udasa yafungwa

JUKWAA la wakufunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa) nchini Tanzania, limekana madai kuwa limefunga shughuli zake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Michezo

Kigogo Yanga asimamishwa kazi

KAMATI ya Utendaji ya klabu ya Yanga imemsimamisha kazi Kaimu Katibu Kkuu wa klabu hiyo, Wakili Simon Patrick ambaye pia alikuwa mkurugenzi wa...

Michezo

Tunisia yachungulia fainali za AFCON, Stars njia panda

TIMU ya Taifa wa Tunisia imejiweka pazuri kueleka katika Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) baada ya kutoka sare katika mchezo wake wa ugenini...

Michezo

CECAFA vijana kupigwa 22 Novemba

MICHUANO ya Baraza la mashirikisho ya soka Afrika mashariki na kati ‘CECAFA’ kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 yatafanyika 22 Novemba...

Michezo

TFF yaeleza sababu Stars Vs Tunisia kucheza saa 4 usiku

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, (TFF) Wilfred Kidao amesema, haki za matangazo ya Televisheni ndio iliyosababisha mchezo kati ya...

Michezo

MO Dewji: Chama kwenda Yanga? ‘tumemaliza naye’

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘MO Dewji’ amesema, mchezaji wao, Clatous Chama ataendelea kuhudumu klabuni hapo hadi mwaka 2022. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

UEFA yapanga makundi Euro 2021

SHIRIKISHO la soka Barani Ulaya UEFA imeendesha droo kwa timu 24 ili kupata makundi kwa ajili ya michuano ya kombe la EURO ambayo...

Michezo

Magufuli kuitengea fedha Taifa Stars, aitakia heri dhidi ya Tunisia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo serikali itajitahidi kutenga kiasi cha fedha kwa...

Michezo

Yanga yasikitishwa kushilikiwa Senzo, Polisi yanena

KLABU ya Soka ya Yanga imesikitishwa na kushtushwa na tukio la kushikiliwa na kuhojiwa kwa mshauli wao mkuu, Senzo Masingiza jana kwenye kituo...

Michezo

Mwakinyo amtangazia vita Muargentina

BONDIA mtanzania Hassani Mwakinyo anatarajia kushuka ulingoni 13 Novemba, 2020 kutetea mianda wake wa chama cha WBF dhidi ya bondia Raia wa Argentina,...

Michezo

Stars, Tunisia mashabiki ruksa

SHIRIKISHO la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limeruhusu mashabiki kuingia uwanjani kwenye mchezo kati ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)...

Michezo

Klabu Bingwa Afrika, Simba kuivaa Plateau United ya Nigeria

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba itaivaa klabu ya Plateau United kutoka nchini Nigeria kwenye michezo ya awali ya michuano ya klabu...

Kimataifa

Ushindi wa Biden: Korea, China ‘zakuna  vichwa’

WAKATI dunia ikidhani imepumua baada ya Donald Trump, Rais wa Marekani (2016-2020) kuangushwa, China na Korea Kaskazini zinaweza ‘kukasirishwa’ na uamuzi wa raia...

Michezo

Mpinzani wa Simba Klabu Bingwa Afrika kujulikana leo

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), leo 9 Novemba 2020, linatarajia kupanga droo ya michezo ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa...

Michezo

Kocha Simba: Yanga walikuwa wanazuia

KOCHA wa Simba, Sven Vandebroeck amesema “kuLikuwa  na timu moja inacheza mpira na nyingine inazuia, nawapongeza wachezaji wangu kwa kucheza vizuri na ninafuraha...

Michezo

Kocha Yanga:Matokeo yametuachia kitu cha kujutia

BAADA ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Simba kocha wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa matokeo haya yamewaachia kitu...

Michezo

Nahodha Yanga: Tupo tayari

LAMINE Moro, Nahodha wa klabu ya Yanga amesema kuwa wako tayari kwa ajili ya kuwakabili klabu ya Simba kwenye mchezo wa kesho ikiwa...

Michezo

Bocco: Kuifunga Yanga ni kazi ngumu

KUELEKEA mchezo wa kesho Jumamosi dhidi ya Yanga, Nahodha wa klabu ya Simba, John Bocco amesema wamejipanga vizuri kwa ajili ya mchezo huo,...

Michezo

Chama, Kagere, Niyonzima Carlinhos waikosa Yanga vs Simba  

MABINGWA watetesi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba imesema katika mchezo wa kesho Jumamosi dhidi ya watani zao Yanga watakosa huduma...

Michezo

Etienne aita 27 Stars, Kaseke, Ninja ndani

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania Etienne Ndayilagije ameita kikosi chenye wachezaji 27 kitakacho ingia kambini kwa ajili ya kujiwinda na mchezo...

Michezo

Al Ahly, Zamalek watinga fainal klabu Bingwa

BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Raja Casablanca, klabu ya soka ya Zamalek imetinga hatua ya fainali ya kombe...

Michezo

Simba yaipiga Kagera Sugar, yatuma salamu Jangwani

MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar. Anaripoti Kelvin Mwaipunga, Dar...

Michezo

Simba kuivaa Kagera, Yanga yarejea Dar

KLABU ya Simba leo Jumatano tarehe 4 Novemba 2020 itashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara 2020/21 dhidi ya Kagera...

Michezo

Sh. 7,000 kuziona Simba na Yanga

BODI inayosimamia Ligi Kuu Tanzania Bara imetangaza viingilio kwenye mchezo utakaowakutanisha Yanga dhidi ya Simba ambapo kiingilio cha chini kitakuwa Tsh. 7,000 kwa...

Michezo

Bodi ya Ligi yafungia viwanja saba

BODI ya Ligi imevifungia viwanja vya Majimaji (songea), Mkwakwani (Tanga), Sabasaba (Njombe), Ali Hassan Mwinyi (Tabora), Kipija (Mbeya), Nagwanda Sijaona (Mtwara) na Jamhuri...

Michezo

Morrison apigwa rungu, kuikosa mechi ya Simba na Yanga

KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi (kamati ya Saa 72) imemfungia michezo mitatu mchezaji wa klabu ya Simba, Bernad Morrison na kumpiga...

Michezo

Simba yapigwa tena, Azam hoi  

MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba wamekubali kipigo cha pili mfululizo kutoka kwa Ruvu Shooting cha 1-0. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Cavani kuiongoza Man Utd dhidi ya Chelsea

MSHAMBULIAJI mpya wa klabu ya Manchester United Edson Cavani ataiongoza safu ya ushambuliaji ya Manchester United kwa mara ya kwanza dhidi ya Cheksea...

error: Content is protected !!