Saturday , 27 April 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Michezo

Yanga vs Simba kuchezwa Uwanja wa Uhuru

MCHEZO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Simba rasmi utachezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam mara...

Michezo

Kaze: kupata matokeo ndani ya siku tano sio kitu rahisi

BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania kocha wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema kupata matokeo ndani...

Kimataifa

Waandamanaji wamiminiwa risasi za moto Nigeria

NCHINI Nigeria, zaidi ya miili 20 imepatikana baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la nchi hiyo kuwamiminia risasi waandamanaji wanaopinga ukatili wa polisi...

Kimataifa

Mauaji ya Ndadaye: Rais Burundi afungwa maisha

PIERRE Buyoya, Rais Mstaafu wa Burundi, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada kubaini kuhusika katika mauaji ya aliyekuwa rais wa taifa hilo, Melchior...

Elimu

Uhaba wa madarasa: Wanafunzi wasoma kwa zamu

WANAFUNZI wa shule ya Msingi Mkambarani iliyopo kata ya Mkambarani Halmashauri ya Wilaya na mkoa  wa Morogoro, wanalazimika kusoma kwa kupokezana madarasa kutokana na...

Michezo

Azam FC yajikita kileleni

KLABU ya Azam Fc imejikita kileleni kwenye msimamo wa Ligi Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu FC...

Michezo

Liverpool yabanwa mbavu

BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu nchini England klabu ya Liverpool imelazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Ligi nchini...

Michezo

Epl yalejea Arsenal, Liverpool, Man City vitani

BAADA ya kupoteza kwa mchezo kwa mabao 7-2 klabu ya Liverpool kesho watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Goodson Park kujiuliza dhidi ya majirani...

Michezo

Pitso Mosimane katika mtihani wa kwanza kwa Al Ahly

KOCHA mpya wa klabu ya Al Ahly, Pitso Mosimane atakuwa na kibarua kigumu kesho kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe la klabu...

Michezo

Kaze: Nimekuja kurudisha ukubwa, heshima Yanga

KOCHA mpya wa Klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema, amekuja nchini Tanzania kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria nchini humo na kuirudishia hadhi na...

Michezo

Azam Fc, Mwadui Dimbani leo

LIGI kuu Tanzania Bara itaendelea tena leo kwa jumla ya michezo miwili kupigwa kwenye viwanja tofauti ambapo klabu ya Azam Fc itashuka dimbani...

Michezo

Ligi Kuu VPL kurejea tena leo

LIGI kuu soka Tanzania Bara inaendelea tena leo kwa kupigwa jumla ya michezo minne katika viwanja tofauti mara baada ya mapumziko ya michezo...

Michezo

Bosi GSM kuongoza kamati ya ushindi Taifa Stars

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteuwa Ghalib Said Mohammed kuwa Mwenyekiti wa kamati ya ushindi ya Timu...

Michezo

Taifa Stars, Burundi kuchimbika

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Burundi Sadio Berahino amesema wako tayari kuwakabiri timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye mchezo wa kirafiki utakaopigwa...

Michezo

Bocco awekwa nje kikosi cha Taifa Stars

KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Etiene Ndayilagije amemuweka nje ya kikosi mshambuliaji wa klabu ya Simba John Bocco kutokana...

Michezo

KMC yaipeleka Yanga CCM Kirumba

TIMU ya KMC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imehamishia mchezo wake wa nyumbani dhidi ya klabu ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,...

Michezo

Simba na Yanga yaota Mbaya, sasa kupigwa Novemba 7

BODI ya Ligi imehailisha mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kati ya Yanga dhidi ya Simba uliokuwa uchezwe 18 Oktaba, 2020 na sasa...

Kimataifa

Rais Trump, mkewe waambukizwa corona 

RAIS wa Marekani, Donald Trump na mkewe Melania Trump, sasa wapo karantini baada ya kukumbwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti BBC … (endelea). Kabla...

Michezo

Pitso Mosimane aibwaga Mamelodi, atimkia Al Ahly

ALIYEKUWA kocha mkuu wa klabu ya Mamelody Sundown inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini Pitso Mosimane ameachana na klabu hiyo hii leo 30...

Michezo

Kuiona Taifa Stars kama Simba

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio katika mchezo wa kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ dhidi...

Michezo

Stars kujipima dhidi ya Burundi Oktoba 11

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa stars’ inatarajia kushuka dimbani octobar 11, 2020 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya timu yabTaifa ya Burundi....

Michezo

Yanga yalaani kufanyiwa vurugu mashabiki wa Simba

KLABU ya soka ya Yanga imelaani vikali kitendo cha mashabiki wao kuwafanyia vurugu mashabiki wa klabu ya Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu...

Michezo

Bodi ya Ligi yaupiga ‘Stop’ Uwanja wa Jamhuri

MARA baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, Bodi ya Ligi imepiga marufuku...

Michezo

Simba yaendeleza vipigo, Azam yapaa kileleni

MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vidacom Tanzania Bara 2020/21, Simba imeendelea kutoa vipigo baada ya kuofunga Gwambina FC 3-0. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Michezo

Samatta: Nawashukuru Aston Villa, nimetimiza ndoto zangu

NAHODHA wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa stars’ Mbwana Samatta ameishukuru timu ya Aston Villa kwa kumwezesha kutimiza ndoto zake za kucheza...

Michezo

Mbwana Samatta ajiunga Fenerbahce ya Uturuki

NAHODHA wa timu ya soka la Tanzania ‘Taifa stars’ Mbwana Samatta amejiunga na Fenerbahce ya Uturuki kwa mkataba wa miaka minne kutoka Aston...

Michezo

Gundogan akutwa na Corona

KLABU ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu nchini England imethibitisha kuwa kiungo wake Ilkay Gundogan amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada...

Michezo

Karia ruksa kuwania uongozi FIFA

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeidhinisha kuwa rais wa sasa wa shirikisho hilo, Wallace Karia kugombea ujumbe...

Michezo

Yanga yatamba mbele ya Kagera

KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa...

Michezo

Tuisenge arejea APR, asaini miaka miwili

MSHAMBULIAJI raia wa Rwanda Jacque Tuisenge amesaini miaka miwili kuitumikia klabu ya Apr inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo akitokea klabu ya Petro Luanda...

Michezo

Ligi Kuu kuendelea kuwasha moto kesho

MICHEZO ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea wikiendi hii kwa kuchezwa jumla ya mechi tisa, zitakazo chezwa katika viwanja tofauti tofauti, huku mabingwa...

Michezo

40 kuingia kambini kuivaa Senegal

JUMLA ya wachezaji 40 wa kikosi cha timu ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite Queen kinatarajia kuingia kambini...

Michezo

Yanga yatua Kagera

KIKOSI cha Yanga kimetua kwenye Uwanja wa ndege wa Bukoba mapema hii leo asubuhi tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera...

Michezo

KCB yamwaga mamilioni Ligi Kuu

BENKI ya KCB imeingia mkataba wa mwaka mmoja na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania ‘TFF’ wenye thamani ya Tsh 500 Milioni kwa...

Elimu

Magufuli amtetea mkuu Shule iliyoteketea Kagera 

SELEMAN Abdul, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Byamungu Islamic, iliyopo Kyerwa mkoani Kagera, ametetewa na Rais John Pombe Magufuli, mgombea urais wa...

Michezo

ZFF yamlilia ‘Mr White’

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) kupitia rais wake Seif Kombo Pandu imetoa pole na kutuma salamu za rambi rambi kufuatia kifo...

Michezo

Yanga kujipima ubavu kwa Mlandege

TIMU Yanga kesho itacheza mchezo wa kujipima nguvu dhidi mabingwa wa Ligi Kuu visiwani Zanzibar, Mlandege katika kujiweka sawa kuwakabili Kagera Sugar kwenye...

Kimataifa

Mpango wa amani Afghanstan wapita pagumu

ZALMAY Khalilzad, mjumbe wa Marekani katika kutafuta amani nchini Afghanstan, bado anatetea uamuzi wa kuwachia huru maelfu ya wafungwa wa Talban, ingawa bado...

Michezo

Morrison awaponza Manara na Hanspope

KAMATI ya maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewapiga faini kiasi cha Shilingi 5 milioni, Msemaji wa klabu ya Simba,...

Michezo

Man Utd, Man City kuanza Ligi mwisho wa wiki hii

KLABU za Manchester United na Manchester City zinatarajia kuanza mbio zake kwenye Ligi Kuu nchini Uingereza mwishoni wa juma hili baada ya kupumzika...

Michezo

Yanga yaanza kukusanya pointi Ligi Kuu

GOLI la dakika ya 86 lililofungwa kwa kichwa na beki kisiki wa Yanga, Lamine Moro limetosha kuwapa furaha mashabiki wa timu hiyo. Anaripoti...

Michezo

Mtibwa yaing’ang’ania Simba

DAKIKA 90 zimemalizika dimba la Jamhuri mkoani Morogoro kwa mabingwa watetezi wa ligi kuu Vodacom Tanzania Bara 2020/21, Simba kutoshana nguvu kwa kufungana...

Michezo

Yanga wazindua jezi mpya 2020/21

MABINGWA wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam, wamezindua jezi mpya ambazo zitatumika katika msimu wa 2020/21. Anaripoti...

Michezo

Samatta njia panda Aston Villa

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Samatta anayekipiga kwenye klabu ya Astorn Villa huenda akauzwa katika dirisha hili kubwa...

Michezo

TFF yadai wasifu wa makocha

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezitaka klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kuwasilisha wasifu na vyeti vya makocha wao waliowaajili kuvinoa...

Kimataifa

Milioni 20 wapona corona duniani

WAGONJWA milioni 20.1 waliokuwa wameambukizwa virusi vya corona (COVID-19) duniani wamepona. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Mtandao wa  worldometer umeripoti leo Alhamisi...

Michezo

Magoli 14 yafungwa ligi kuu, KMC yaongoza

MICHEZO ya raundi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/21 imemalizika huku ikishuhudia magoli 14 yakifungwa katika mechi kumi. Anaripoti...

Michezo

KMC yaanza kwa kishindo ligi kuu, Kagera yapigwa

TIMU ya KMC FC ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imeanza kwa kushindo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/21 kwa kuifunga Mbeya...

Michezo

Barbara amrithi Senzo Simba

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Simba imemtangaza Barbara Gonzalez Kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endeleaa) Barbara ametangazwa...

Kimataifa

Neymar, wenzake wakumbwa na corona

NEYMAR de Santos, mshambuliaji wa timu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufaransa na wachezaji watatu wa timu hiyo, amekutwa na virusi vya...

error: Content is protected !!