December 3, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Stars kujipima dhidi ya Burundi Oktoba 11

Spread the love

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa stars’ inatarajia kushuka dimbani octobar 11, 2020 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya timu yabTaifa ya Burundi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea).

Mchezo huo ambao unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 10 jioni kwenye Uwanja wa mkapa jijini Dar es Salaam.

Taarifa kutoka ndani ya shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Tff imeeleza kuwa kocha mkuu wa kikosi cha Stars Etien Ndailagije anatarajia kutangaza kikosi hiko octoba 2 mwaka huu.

Mchezo huu ambao utachezwa kwa mujibu wa kalenda ya FIFA kwa timu za taifa kucheza michezo ya kirafiki na kimashindano.

error: Content is protected !!