Friday , 19 April 2024
Home Kitengo Michezo TFF yadai wasifu wa makocha
Michezo

TFF yadai wasifu wa makocha

Zlatko Krmpotic alipokuwa Polokwane City
Spread the love

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezitaka klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kuwasilisha wasifu na vyeti vya makocha wao waliowaajili kuvinoa vikosi vyao. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea).

Taarifa kutoka ndani ya shirikisho hilo imeeleza kuwa wasifu na vyeti vya vinavyohitajika ni vya kocha mkuu, kocha msaidizi, kocha wa viungo na kocha wa makipa.

Ikumbukwe taarifa hiyo inakuja huku baadhi ya timu zikiwa zimefanya usajili wa wachezaji na makocha kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi 2020/21 ulioanza 6 septemba, 2020.

Aidha shirikisho hilo limesema kuwa nakala hizo zinahitajika kuwasilishwa kwa ofisi ya mkurugenzi wa ufundi ndani ya Tff, huku mwisho wa zoezi hilo ikiwa 15 Septemba, 2020.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Leo ni leo nani kutinga nusu fainali UEFA?

Spread the love HATIMAYE Jumanne ya UEFA imefika ambapo leo hii michezo...

Michezo

Anza Jumatatu yako na Meridianbet

Spread the love  IKIWA ni siku nyingine mpya kabisa ya Jumatatu baadhi...

Habari MchanganyikoMichezo

NBC, Yanga wazindua kadi  za kimataifa za uanachama

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Klabu...

Michezo

TFF, Amrouche ngoma nzito

Spread the loveVIPENGELE vya mkataba wa kazi aliotia saini Kocha Mkuu wa...

error: Content is protected !!