Saturday , 20 April 2024
Home Kitengo Michezo Bodi ya Ligi yaupiga ‘Stop’ Uwanja wa Jamhuri
Michezo

Bodi ya Ligi yaupiga ‘Stop’ Uwanja wa Jamhuri

Spread the love

MARA baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, Bodi ya Ligi imepiga marufuku kutumika kwa Uwanja wa Jamhuri uliopo mkoani Morogoro kutumika katika michezo yote ya kimashindano. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Morogoro … (endelea).

Bodi ya Ligi imewataka wahusika wa uwanja huo kufanya marekebisho katika eneo la kuchezea (pitch), vyumba vya kubadilishia nguo na sehemu za kukaa wachezaji wa akiba.

Kiwanja hicho ambacho leo kimechezwa mchezo wa ligi na kushuhudia Yanga ikiibuka na pointi tatu kwa ushindi wa bao 1-0.

Mpaka sasa bodi hiyo imefungia jumla ya viwanja vimne kutumika katika michezo ya kimashindano ambavyo ni Ushirika Moshi, Mabatini Pwani, Highland Estates uliokuwa ukitumiwa na Klabu ya Ihefu uliopo Mbalizi, Mbeya na Uwanja wa Gwambina

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Tusua mkwanja na mechi za Ijumaa leo

Spread the love  LEO hii mechi zinaendelea kote na wewe kama unataka...

Michezo

Piga pesa na mechi za EUROPA leo hii

Spread the love Hatimaye Alhamisi ya EUROPA imefika ambapo leo hii mechi...

Michezo

Leo ni leo nani kutinga nusu fainali UEFA?

Spread the love HATIMAYE Jumanne ya UEFA imefika ambapo leo hii michezo...

Michezo

Anza Jumatatu yako na Meridianbet

Spread the love  IKIWA ni siku nyingine mpya kabisa ya Jumatatu baadhi...

error: Content is protected !!