Tuesday , 7 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Tangulizi

Chanjo ya corona kuingia Tanzania

  SERIKALI ya Tanzania, imeruhusu kuingizwa nchini, chanjo ya corona, miezi mitatu baada ya aliyekuwa rais wake, John Magufuli, kufariki dunia. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya ni funzo, azua mjadala

  HATUA ya Serikali ya Tanzania, kumfikisha mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, imeibua mjadala mwingine wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mambo matano yatikisa bajeti maliasili na utalii

  MAMBO matano yameteka mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii, kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022, uliotokea Ijumaa, tarehe 4...

Habari za Siasa

Anguko sekta ya utalii: Nape aibana wizara bungeni

  MBUNGE wa Mtama mkoani Lindi (CCM), Nape Nnauye, ameonya anguko la sekta ya uwindaji wa kitalii, endapo Serikali haitachukua hatua madhubuti, kukabiliana...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sabaya na wenzake wasomewa mashtaka 5, wakosa dhamana

  LENGAI Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro na wenzake watano, wamesomewa mashtaka matano, katika Mahakama ya Hakimu...

Habari za SiasaTangulizi

Jina la Hifadhi ya Burigi-Chato lapingwa bungeni

  MBUNGE wa Biharamulo (CCM), Ezra Chiwelesa, ameiomba Serikali ya Tanzania, ibadili jina la Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato, ili kuzima mjadala ulioibuliwa...

MichezoTangulizi

Mkude mikononi kwa Kamanda Kova

  KIUNGO wa klabu ya Simba J,onas Mkude kesho tarehe 5 Juni, 2021 atakwenda kujadiliwa mbele ya kamati ya nidhamu ya klabu hiyo,...

Habari za Siasa

Mbunge ang’aka wananchi Kigoma kuitwa wakimbizi, serikali yajibu

  MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (CCM), Assa Makanika, ameiomba Serikali ya Tanzania, kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo, ambao wamekuwa wakikamatwa kwa kuitwa wakimbizi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sabaya, wenzake wafikishwa kortini

  ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimajaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, tarehe 4 Juni 2021, wamefikishwa Mahakama...

Habari MchanganyikoTangulizi

THRDC yateta na Profesa Kabudi

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umekutana na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi kwa lengo la...

Habari za Siasa

Mbowe awazungumzia kina Lowassa, Sumaye

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, ametaka wafuasi wa chama hicho waliokimbilia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wasidharauliwe....

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia apokea ujumbe wa Kagame, atoa maagizo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepokea ujumbe kutoka kwa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Ujumbe huo umewasilishwa leo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Takukuru yamkalia shingoni Kakoko wa bandari

  MKURUGENZI mpya wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), Salum Hamduni, amemalizia kazi ya kuchunguza ubadhilifu wa mabilioni ya...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Lissu atia mguu Chato

  ALIYEKUWA mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, Tundu Lissu amejitosa kwenye mjadala wa kuundwa kwa mkoa mpya...

MichezoTangulizi

Bocco mchezaji bora mwezi Mei

Mshambuliaji wa klabu ya Simba John Bocco ameshinda tuzo ya kuwa mchezaji bora wa mashabiki mwezi Mei, mara baada ya kuwabwaga Thadeo Lwanga...

Habari za Siasa

Majaliwa abanwa bungeni fedha za miradi kurudi hazina

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amebanwa bungeni kuhusu utaratibu wa fedha za miradi zinazochoelewa kutumika, kurudishwa katika Mfuko Mkuu wa Hazina...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la makinikia laibuka bungeni

  MBUNGE wa Msalala mkoani Geita (CCM), Idd Kassim, amesema usafirishaji makontena ya makinikia kutoka Mgodi wa Bulyanhulu, umezua taharuki kwa wananchi ,...

Habari za SiasaTangulizi

Sugu, Mchungaji Msigwa wawapeleka kortini AG, bosi magereza

  WABUNGE wa zamani wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania- Chadema, Mchungaji Peter Msigwa na Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ wamewafungulia mashtaka Kamishna...

MichezoTangulizi

Kiongozi Yanga amkataa Ajibu

  Mara baada ya kuwepo kwa fununu nyingi ya mshambuliaji wa klabu ya Simba Ibrahim Ajibu kutaka kusaini Yanga, Arafati Haji ambaye ni...

Habari za Siasa

Samia awanyooshea kidole wateule wanaoutaka ubunge

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka waliogombea ubunge na kukosa na sasa wameteuliwa kuwa wakuu wa mikoa (RC), kutofikiria ubunge na...

Habari za Siasa

Rais Samia atoa onyo kwa Ma RC, RAS

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, ametoa onyo kwa wakuu wa mikoa (RC) na makatibu tawala wa mikoa (RAS), kufanya kazi kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awaapisha Ma RAS, Waziri Mkuchika

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS) 11 na George Mkuchika, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya...

MichezoTangulizi

Azam FC wampa mkataba mpya Dube mpaka 2024

Klabu ya Azam Fc imemuongezea mkataba miaka miwili mshambuliaji wake raia wa Zimbabwe Prince Dube ambapo utamfanya kusalia hapo hadi 2024. Anaripoti Kelvin...

Habari za Siasa

Rais Samia awataka wananchi wapige kelele changamoto za afya

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi kupaza sauti zao wanapokutana na changamoto za huduma ya afya, ili Serikali yake izifanyie...

Habari za Siasa

Uteuzi wahadhiri serikalini waibua mjadala bungeni

  ANATROPIA Theonest, Mbunge Viti Maalum asiye na chama bungeni, amehoji mkakati wa Serikali, katika kuziba pengo la wahadhiri wa vyuo vikuu, wanaoteuliwa...

Habari za Siasa

Kisa mavazi: Ndugai amtimua mbunge bungeni, atoa maagizo

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ametoa maagizo kwa walinzi wa Bunge hilo, kutowaruhusu wabunge wanaovaa vibaya kuingia bungeni. Anaripoti Mwandishi...

Makala & UchambuziTangulizi

Vigogo wachambua vigezo Chato kuwa mkoa

  MAPENDEKEZO ya kuundwa kwa mkoa mpya wa Chato, yametibua hali ya hewa na kuibua mjadala mzito. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari MchanganyikoTangulizi

Uongozi Soko la Karikaoo matatani, Samia aagiza uchunguzi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Waziri Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu, kuwasimamisha kazi viongozi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo,...

MichezoTangulizi

Staa Ligi Kuu England atua Bungeni

  Mlinzi wa kati wa klabu ya Crystal Palace ya nchini England Mamadou Sakho amefika Bungeni Jijini Dodoma na kuangalia shughuli za uwendeshaji...

MichezoTangulizi

Beki wa zamani wa Liverpool atua Ikulu Zanzibar

Beki wa zamani wa Liverpool na klabu ya Crystal Palace kwa sasa Mamadou Sakho amekutana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...

Habari za Siasa

Sh. 6 Bil. kujenga nyumba za viongozi Dodoma

  SERIKALI ya Tanzania, imesema itatumia Sh. 6.0 bilioni, kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 20 za viongozi, katika makao makuu ya nchi,...

Habari za Siasa

Ubadhirifu watawala mikopo ya halmashauri, Serikali kuja na kibano

  SERIKALI ya Tanzania, imesema iko mbioni kuanzisha utaratibu wa kutoa vifaa badala ya fedha, katika mikopo inayotolewa na halmashauri, kwa vikundi vya...

Habari za Siasa

Ateuliwa, atumbuliwa kabla ya kuapishwa

  SAA 48 kabla ya Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS) kuapishwa, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Azza Hilal Hamad....

Habari za Siasa

Siku 14 za Wambura kufikia U-DCI, Rais Samia…

  NYOTA ya Camilius Wambura, ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania, imeendelea kung’aa, baada ya Amri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan, kumpandisha...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua ‘Boss’ mpya FCC, WCF

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewateua watendaji wakuu katika Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC) na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua Ma-RAS, wapya 11

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, jana tarehe 29 Mei 2021, amefanya uteuzi na uhamisho wa Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS). Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aweka kambi Shinyanga

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameendelea na utekelezaji wa operesheni mpya ya chama hicho, iliyozinduliwa hivi karibuni...

Habari za SiasaTangulizi

Walimu wageuza madarasa nyumba za kuishi

  BAADHI ya walimu katika Shule ya Msingi Mwachambia mkoani Singida, wamelazimika kugeuza madarasa kuwa nyumba za kuishi. Anaripoti Hamisi Mguta, Dar es...

Habari za Siasa

Wilaya za Kagera, Kigoma kuunda mkoa wa Chato

  KAMATI ya Ushauri ya Mkoa wa Geita (RCC), imependekeza baadhi ya wilaya katika mikoa ya Kagera na Kigoma, zichukuliwe kwa ajili ya...

Habari za Siasa

Madiwani Chamwino walia uhaba kondomu za kike

  BAADHI ya madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, wameuomba uongozi wa halmashauri hiyo, usambaze kondom za kike , ili kulilinda kundi...

MichezoTangulizi

Chama, Onyango ‘out’ dhidi ya Namungo

  Wachezaji watatu wa klabu ya Simba Josh Onyango, Clatous Chama na Ame Ibrahim watakosekana kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Namungo kocha...

Habari za Siasa

Rais Samia ateta na mjumbe wa UN

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk. Phumzile Mlambo-Ngouka, kuhusu...

Habari za SiasaTangulizi

Ole Sabaya akamatwa

  ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya, ametiwa mbaroni jijini Dar es Salaam. Anaripoti Saed Kubenea, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Ubadhirifu wa Bil 1.67, wang’oa vigogo 11 wizara ya fedha

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewasimamisha kazi vigogo 11 wa Wizara ya Fedha na Mipango, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili, za matumizi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Zuio NGOs kuishtaki Serikali Afrika: Samia aonesha matumaini

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema atalifanyia kazi ombi la kuitaka Tanzania ibadili msimamo wake, wa kujitoa kwenye azimio linaloruhusu Mashirika Yasiyo ya...

MichezoTangulizi

Ligi Kuu Bara kusimama wiki mbili

   Mara baada ya kukamilika kwa mchezo wa tarehe 3 Juni, 2021 kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Simba, Ligi Kuu Tanzania Bara...

Habari za Siasa

Dk. Mpango atoa maagizo Wizara ya Kilimo

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, ameiagiza Wizara ya Kilimo, ichukue hatua za haraka kukabiliana na changamoto zinazorudisha nyuma sekta...

Habari za Siasa

Mabadiliko tabia ya nchi tishio EAC

  WATAALAM wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamekutana jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa athari za mabadiliko ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe awachongea maafisa Takukuru kwa Rais Samia

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, awachukulie hatua maafisa wa Taasisi ya Kuzuia...

Habari za Siasa

Mbunge ataka wanaume wasitengwe fursa za kiuchumi

  MBUNGE wa Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro (CCM), Priscus Tarimo, ameiomba Serikali iweke mipango ya kuwawezesha wanaume kiuchumi, kama inavyofanya kwa wanawake, vijana...

error: Content is protected !!