Categorizing posts based on type of post
KIKUNDI kinachojipambanua katika kupigania rasilimali na uhuru wa nchi, Sauti ya Watanzania, kimesema kimechagua kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...
By Mwandishi WetuApril 27, 2024JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewaachia kwa masharti, Mkurugenzi wa Shirika la Haki, Godlisten Malisa na kada wa...
By Mwandishi WetuApril 27, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Somalia zimekubaliana kuibua maeneo mapya ya kimkakati ya ushirikiano ili kudumisha mahusiano ya kidiplomasia...
By Masalu ErastoApril 27, 2024CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali kuhakikisha inasimamia maslahi stahiki ya waongoza watalii nchini. Anaripoti Faki Sosi, Kilimanjaro … (endelea). Hayo yamesemwa leo tarehe...
By Faki SosiApril 26, 2024MWENYEKITI wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Prof. Ibrahim Lipumba, amekiwakilisha kituo hicho katika mkutano maalum wa kuvishawishi vyama vya siasa nchini...
By Mwandishi WetuApril 26, 2024Rais wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuendeleza Muungano kwa kuitekeleza falsafa ya maridhiano, ustahmilivu, kuleta mageuzi na kujenga nchi yetu (4R). Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 26, 2024MBUNGE wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo, ameendelea kuishauri Serikali ijikite katika vyanzo vya umeme vinavyotokana na nishati jadidifu akisema vinaweza...
By Mwandishi WetuApril 25, 2024KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Godfrey Mzava amezitaka Halmashauri zote Nchini kuhakikisha zinatekeleza miradi ya kimaendeleo kwa kufuata sheria na kuzingatia...
By Mwandishi WetuApril 24, 2024NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametaja vipaumbele saba vya bajeti ya wizara yake ambavyo ni pamoja na...
By Mwandishi WetuApril 24, 2024Kampuni ya Mineral Access System Limited (MAST) inayoiwakilishwa kampuni ya Akmenite Limited Lithuania, inatarajia kutumia dola za Marekani milioni 15 (Sh 38.9 bilioni)...
By Gabriel MushiApril 23, 2024JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu wawili akiwamo mpwa wa hayati John Magufuli, Furaha Dominic kwa tuhuma za...
By Mwandishi WetuApril 23, 2024Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema katika mwaka wa fedha wa 2024/2025, Serikali inatarajia kuajiri mtaalam mshauri atakayefanya upembuzi yakinifu wa mpango wa...
By Mwandishi WetuApril 23, 2024MKONGWE wa siasa nchini, John Shibuda amemshukia kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Mulembo, aliyempinga Mbunge wa Kisesa, Lwaga Mpina. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 23, 2024Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewapongeza mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa...
By Gabriel MushiApril 22, 2024BENKI ya NMB, imekabidhi hundi yenye thamani ya Sh. 120 milioni kudhamini Mkutano Mkuu wa 38 wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za...
By Mwandishi WetuApril 22, 2024WIZARA ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, imeliomba Bunge liidhinishe bajeti yake ya kiasi cha Sh. 121.3 bilioni, katika mwaka ujao wa...
By Mwandishi WetuApril 22, 2024MBUNGE wa Mlalo (CCM), Rashid Shangazi, ameishauri Serikali ipunguze kasi ya uzalishaji wahitimu katika taaluma ambazo nafasi za ajira zimepungua ikiwemo walimu, badala...
By Mwandishi WetuApril 22, 2024MBUNGE wa Mlalo (CCM), Rashid Shangazi, ameishauri Serikali ipunguze kasi ya uzalishaji wahitimu katika taaluma ambazo nafasi za ajira zimepungua ikiwemo walimu,...
By Mwandishi WetuApril 22, 2024WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ametumia takribani saa moja kuelezea maeneo ambayo yatajajadiliwa katika warsha...
By Mwandishi WetuApril 21, 2024MWANASIASA mkongwe nchini, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema mjadala wa muundo wa Serikali ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliposhika kasi 1998, wazanzibar...
By Mwandishi WetuApril 20, 2024Wakati Tanzania na Uturuki zikidhamiria kuongeza kiwango cha biashara hadi kufikia Dola za Kimarekani bilioni moja (Sh trilioni 2.5), ndani ya mwaka mmoja...
By Gabriel MushiApril 20, 2024Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameipongeza Kampuni ya Perseus kwa kufanikiwa kukamilisha wa mchakato wa ununuzi wa hisa za Kampuni ya Ore Corp...
By Gabriel MushiApril 19, 2024MWANACHAMA wa Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob, amedai kuna baadhi ya vigogo serikalini wana mitandao ya uchotaji fedha katika mapato na...
By Mwandishi WetuApril 19, 2024BAADHI ya wabunge wamelia na changamoto za utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), wakidai imekuwa chanzo cha vitendo...
By Mwandishi WetuApril 19, 2024MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, amemtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ajiuzulu kwa madai kuwa maagizo 12 aliyoyatoa mwaka 2023 kuhusu migogoro ya...
By Regina MkondeApril 19, 2024CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekemea vitendo vya ubadhirifu wa fedha za miradi inayoendelea kujengwa nchini, huku ikiiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...
By Mwandishi WetuApril 19, 2024WIZARA ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imeliomba Bunge liidhinishe bajeti yake ya kiasi cha Sh....
By Mwandishi WetuApril 19, 2024Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu kuanzia kesho Ijumaa kutokana na kifo cha Mkuu wa Majeshi nchini hiyo CDF-...
By Gabriel MushiApril 18, 2024SERIKALI za Tanzania na Uturuki zimekubaliana kuendeleza dhamira ya kuimarisha uhusiano wenye manufaa kwa pande zote mbili ili kuendelea kufungua milango ya fursa...
By Gabriel MushiApril 18, 2024Mafanikio inayozidi kupata Tanzania katika kupunguza vifo vya mama na mtoto ni moja ya matokeo makubwa ya kuimarika kwa huduma za afya nchini...
By Mwandishi WetuApril 18, 2024TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza nafasi za kazi za muda kwa watendaji wa vituo vya uboreshai daftari la kudumu...
By Mwandishi WetuApril 18, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema awamu ya pili ya maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika tarehe 22 hadi 30 Aprili 2024,...
By Mwandishi WetuApril 18, 2024CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimejitenga na kauli ya mwenyekiti wa umoja wake wa vijana (UVCCM), mkoani Kagera, Faris Buruhan, ya kuwapoteza wapinzani...
By Masalu ErastoApril 18, 2024Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara, ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Uturuki linatarajiwa kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
By Gabriel MushiApril 17, 2024Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano amewasili nchini Uturuki kwa ziara ya kitaifa yenye lengo la kukuza uhusiano wa diplomasia ya siasa, uchumi...
By Gabriel MushiApril 17, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amerejesha utaratibu wa utoaji mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya halmashauri kwa vikundi vya wanawake, vijana...
By Regina MkondeApril 16, 2024Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumanne amempa pole Mwanakheri Mussa Yussuf, Mjane wa Marehemu Mzee Mussa Abdulrahman ambaye alikuwa rafiki wa familia na...
By Mwandishi WetuApril 16, 2024Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye ametoa wito kwa wafanyabiashara, wanasiasa na wanahabari wamtetee Rais Dk. Samia...
By Mwandishi WetuApril 16, 2024RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka 2022/2023 imbeinisha kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania ilitoa hati...
By Gabriel MushiApril 16, 2024WIZARA Ofisi ya Rais-TAMISEMI, imetenga fedha kiasi cha Sh. 17.79 bilioni, kwa ajili ya uratibu na kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa...
By Regina MkondeApril 16, 2024UKAGUZI wa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichele, kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023, umebaini madudu katika vyama...
By Regina MkondeApril 15, 2024MAPEMA wiki hii, baadhi ya viongozi walioapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan, 4 Aprili 2024, Ikulu jijini Dar es Salaam, waliripoti kwenye vituo...
By Mwandishi WetuApril 15, 2024MIMI siamini kwamba yupo mtu mwenye nia ya kuua ambaye amepanga mashambulizi kwa kutumia bunduki anayeweza kumrushia risasi Christopher Ole Sendeka na akamkosa,...
By Mwandishi WetuApril 15, 2024WATU wanaodai kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni sikivu, basi wafuatilie kuona ilivyofunga masikio yake kusikiliza malalamiko ya wananchi zaidi ya 1,800...
By Regina MkondeApril 15, 2024UWEZEKANO wa Paul Makonda, kuendelea na wadhifa wake wa mkuu wa mkoa wa Arusha, ni mdogo mno, Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa...
By Mwandishi WetuApril 15, 2024WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza meneja wa Wakala wa barabara mkoa wa Dar es Salaam kufika katika barabara ya Gomvu – Kimbiji...
By Gabriel MushiApril 15, 2024MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amevunja ukimya kwa kumtaka aliyekuwa mkuu wa majeshi, Jenerali Venance Mabeyo, kuwataja...
By Mwandishi WetuApril 15, 2024WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stargomena Tax amesema Juni mwaka huu wizara hiyo kwa kushirikiana na wizara ya fedha inatarajia...
By Gabriel MushiApril 15, 2024RIPOTI kuu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2023, imewasilishwa bungeni...
By Regina MkondeApril 15, 2024SERIKALI imeunda kamati ya kitaifa kwenda kushughulikia mauaji ya raia yanayodaiwa kufanyika katika maeneo ya Hifadhi ya Serengeti, mkoani Mara. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuApril 15, 2024