Friday , 17 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari MchanganyikoTangulizi

THRDC yalia na changamoto za kodi, TRA yajibu

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali iondoe changamoto za kikodi zinazokabili Asasi za Kiraia nchini (Azaki). Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

NCCR-Mageuzi: Rais Samia atafakari upya uamuzi wake

  CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, NCCR-Mageuzi, kimemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, kuufikilia upya uamuzi wake kuhusu suala...

Habari za Siasa

Rais Samia ateta na bosi AfCFTA

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA)...

Habari za Siasa

Bunge laahirishwa, maswali 1,468 yaulizwa

  KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania ameahirisha shughuli za Bunge la 12 la Tanzania leo Jumatano, tarehe 30 Juni 2021, jijini Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai ‘aota’ Katiba Mpya

  WAKATI wanasiasa, wanaharakati na wasomi wa kada mbalimbali nchini Tanzania, wakitaka mchakato wa Katiba Mpya uendelee, Job Ndugai, Spika wa Bunge la...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia amlilia Mhandisi Mfugale

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru: Unafiki unakwamisha kufikia malengo

MBUNGE wa Kuteuliwa (CCM), Dk Bashiru Ally amesema, unafiki na kukosekana uzalendo kwa baadhi ya watu ni sababu ya mambo yanayokwamisha kufikia malengo....

MichezoTangulizi

Kundi la kifo lapoteana Euro

  HATUA ya 16 ya michuano ya Euro imemalizika jana, kwa kigogo mwengine wa soka barani humo, timu ya Taifa ya Ujerumani kutupwa...

MichezoTangulizi

Karia asalia peke yake uchaguzi TFF

  KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF), imepitisha jina la Wallace Karia kuwa mgombea peke kwenye uchaguzi mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo wamkunjulia makucha Rais Samia

  CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania-ACT Wazalendo, kimesikitishwa na kauli ya Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan kuwa mikutano ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mfugale wa Tanroads afariki dunia

  MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale amefariki dunia leo Jumanne, tarehe 29 Juni 2021, jijini Dodoma. Anaripoti...

Tangulizi

Mpango wa tatu wa maendeleo wazinduliwa, kutumia Trilioni 114.8

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amezindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 hadi 2025/26, utakaogharimu Sh....

Tangulizi

Majaliwa aeleza siri yake na Kikwete “kanitoa darasani”

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, ana mchango mkubwa katika safari ya maisha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Msigwa: Tutatoa leseni kwa magazeti yaliyofungiwa, Kubenea atoa neno

  MKURUGENZI wa Idara ya Habari-Maelezo nchini Tanzania, Gerson Msigwa amesema, wako tayari kutoa leseni kwa magazeti yote yaliyofungiwa ili yaanze kufanya kazi....

Habari za Siasa

Mdee ataka sensa ibaini maeneo yasiyokuwa na maji

  MBUNGE Viti Maalumu (asiye na chama bungeni), Halima Mdee, ameishauri Serikali itumie sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika 2022, kubaini hali...

Habari za Siasa

Rais Samia aweka kando Katiba Mpya, mikutano ya kisiasa

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania amewaomba wananchi kumuunga mkono katika harakati zake kufufua za uchumi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Pia amewataka wananchi...

Habari za Siasa

Mbivu, mbichi ripoti BoT wiki hii

  RIPOTI ya ukaguzi wa matumizi ya fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kwa mwezi Januari mpaka Machi mwaka huu, kuwekwa hadharani wiki...

Tangulizi

Kigogo MSD aelezea alivyosota rumande miezi 11

  LAUREAN Bwanakunu, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD), amesema Hayati Padri Privatus Karugendo ni miongoni mwa watu waliomtia moyo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia: Tunawagonjwa wa corona zaidi 100

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, zaidi ya wagonjwa 100 wa maambukizi corona (COVID-19), wamebainika nchini humo na wanaendelea na matibabu....

Habari MchanganyikoTangulizi

Mamia wamuaga Padri Karugendo

  MAMIA ya watu wameuaga mwili wa aliyekuwa mwandishi na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Padri Privatus Karugendo (65). Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Mdude wa Chadema huru, shangwe zarindima mahakamani

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi, Mkoa wa Mbeya imemwacha huru, Mdude Nyangali maarufu ‘Mdude Chadema,’ baada ya Jamhuri kushindwa kuthibitisha madai yake kuhusu...

Habari za Siasa

Kasi ya Rais Samia kwenye muziki yamkosha Wakazi

  HATUA ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuagiza wanamuziki waanze kulipwa mirabaha kutokana na nyimbo zao kupigwa kwenye redio, imemkosha msanii wa muziki...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

THRDC, LHRC zafurahia uongozi wa Rais Samia

  SIKU 100 za uongozi wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, zinaelezwa kutoa ahueni katika Mshirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) nchini humo....

Habari za SiasaTangulizi

Siku 100 za Rais Samia: Machozi, kicheko CCM

  KATIKA siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wapo wanachama wa chama hicho waliomwaga...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ndoa ya Mbunge, mtoto wa Mbunge yaingia mdudu

  NDOA ya Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava na mchumba wake, Caroline Pallangyo, ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Arumeru Mashariki,...

Habari za Siasa

Hukumu ya Mdude kutolewa Leo

  HUKUMU ya kesi ya Jinai Na. 36/2020, inayomkabili kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali, katika Mahakama ya Hakimu...

MichezoTangulizi

Diamond ashindwa BET na Burna Boy, atoa ujumbe

  MSANII wa Nigeria, Burna Boy ameibuka mshindi wa tuzo ya BET 2021 kama msanii bora wa kimataifa na kuwaangusha wasanii wengine akiwemo,...

MichezoTangulizi

Kikwete: Yanga itaipiga Simba

  JAKAYA Mrisho Kikwete, Rais mstaafu wa Tanzania amesema, atafurahia iwapo Yanga itaibuka na ushindi dhidi ya mtani wake, Simba. Anaripoti Kelvin Mwaipungu,...

MichezoTangulizi

Mabadiliko Yanga, Kikwete awapa ujumbe

  RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka wanachama wa Klabu ya Yanga kuwa wawazi kushauri na kukosoa ili iweze kusonga mbele. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Vyama vya siasa Tanzania vyamsubiri Rais Samia

  VIONGOZI wa vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania, wamemkumbusha Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, atekeleze ahadi yake ya kuonana...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia agonga siku 100 Ikulu

  LEO Jumapili, tarehe 27 Machi 2021, Samia Suluhu Hassan, ametimiza siku 100 tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Chongolo: UWT simamie fedha za mikopo

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewataka wabunge wanaotokana na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT), kusimamia kwa karibu utolewaji wa...

Habari za Siasa

Wafuasi Chadema wataka fedha za faini zijenge ofisi

  WAFUASI na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameshauri kiasi cha Sh. 350 milioni kilichoshauriwa na mahakama kurejeshwa kwa Freeman...

Habari za Siasa

Siku 100 Madarakani: Rais Samia hajagusa ‘mtima’

  KATIBA na baadhi ya sheria kandamizi, zimetajwa kukwamisha kiu ya haki katika uongozi wa Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan. Anaripoti...

Habari za Siasa

CUF kumkabidhi Rais Samia ilani zake

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimesema kitamkabidhi ilani za chama hicho kuanzia Uchaguzi Mkuu wa 1995 hadi 2020 pindi ombo lao la kukutana...

Habari za SiasaTangulizi

Siku 100 za Rais Samia: Fatma Karume “katika hili, ametuangusha”

  FATMA Karume, wakili na aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Tunafufua mradi Bandari Bagamoyo

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema, serikali imeanza mazungumzo ya kufufua mradi wa Bandari ya Bagamoyo pamoja na ule wa Mchuchuma na Liganga. Anaripti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Siku 100 za uhuru mahakamani

  TAREHE 27 Juni 2021, Rais Samia Suluhu Hassan atatimiza miaka 100 akiwa madarakani. Aliapishwa 19 Machi 2021, baada ya mtangulizi wake Rais...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sheikh Farid: Nilitishwa

  SHEIKH Farid Had, mmoja wa viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam visiwani Zanzibar (JUMIK) alipokuwa gerezani Zanzibar, ameeleza alitolewa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia atoa tahadhari wimbi la tatu la Covid-19

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa tatu wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Maaskofu wambebesha mizigo Rais Samia

  BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limemuomba Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan, apitie upya sera ya ushirikiano baina ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yafuta hukumu ya Mbowe, kurejeshewa mamilioni

  HUKUMU ya kesi ya Jinai Na. 112/2018 iliyotolewa na Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu, Dar es Salaam iliyomuhusu Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa...

Habari za Siasa

Adhabu ya mkwepa kodi yaanikwa

  MFANYABIASHARA ama mtoa huduma ambaye atabainika kuwepa kulipa kodi, akikamatwa atalazimika kulipa asilimia 100 ya kodi aliyotakiwa kulipa kama adhabu. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

THRDC na siku 100 za Rais Samia

SIKU 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, zimerudisha matumaini kwa Watanzania pamoja na kutibu waliokuwa na majeraha, hasa waliokutana na changamoto ya kesi...

Habari za Siasa

Mchakato uvunjaji Jiji la Dar wahojiwa bungeni

  SERIKALI imeombwa kupitia upya mchakato wa ugawaji mali za iliyokuwa Jiji la Dar es Salaam, baada ya kuvunjwa na aliyekuwa Rais wa...

Habari za SiasaTangulizi

Wakazi ataka mchakato Katiba Mpya uendelee

  MSANII wa HipHop nchini Tanzania, Webiro Wakazi Wassira maarufu ‘Wakazi,’ amesema ni muhimu kuhuisha mchakato wa Katiba Mpya. Anaripoti Matilda Peter…(endelea). Amesema, anatamani...

Habari za Siasa

Mbunge CCM: Serikali imeingizwa mkenge

  JERRY Slaa, Mbunge wa Ukonga, jijini Dar es Salaam (CCM), amesema serikali imeingizwa mkenge katika pendekezo lake la kufuta adhabu ya asilimia...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atua Kenya kuzindua kitabu chake

  TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrais na Maendeleo (Chadema), yupo nchini Kenya kwa maandalizi ya uzinduzi wa kitabu chake. Anaripoti...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi awapa ujumbe baraza la wawakilishi

  RAIS wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi, amewataka wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutanguliza uzalendo wa kweli, ili kuisaidia Serikali na wananchi wa...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yateua mrithi wa Khatib

  MOHAMMED Said Issa, ameteuliwa na Chama cha ACT-Wazalendo, kugombea Jimbo la Konde, visiwani Zanzibar, katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 18 Julai...

error: Content is protected !!