Thursday , 2 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za SiasaTangulizi

Mdude wa Chadema huru, shangwe zarindima mahakamani

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi, Mkoa wa Mbeya imemwacha huru, Mdude Nyangali maarufu ‘Mdude Chadema,’ baada ya Jamhuri kushindwa kuthibitisha madai yake kuhusu...

Habari za Siasa

Kasi ya Rais Samia kwenye muziki yamkosha Wakazi

  HATUA ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuagiza wanamuziki waanze kulipwa mirabaha kutokana na nyimbo zao kupigwa kwenye redio, imemkosha msanii wa muziki...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

THRDC, LHRC zafurahia uongozi wa Rais Samia

  SIKU 100 za uongozi wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, zinaelezwa kutoa ahueni katika Mshirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) nchini humo....

Habari za SiasaTangulizi

Siku 100 za Rais Samia: Machozi, kicheko CCM

  KATIKA siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wapo wanachama wa chama hicho waliomwaga...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ndoa ya Mbunge, mtoto wa Mbunge yaingia mdudu

  NDOA ya Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava na mchumba wake, Caroline Pallangyo, ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Arumeru Mashariki,...

Habari za Siasa

Hukumu ya Mdude kutolewa Leo

  HUKUMU ya kesi ya Jinai Na. 36/2020, inayomkabili kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali, katika Mahakama ya Hakimu...

MichezoTangulizi

Diamond ashindwa BET na Burna Boy, atoa ujumbe

  MSANII wa Nigeria, Burna Boy ameibuka mshindi wa tuzo ya BET 2021 kama msanii bora wa kimataifa na kuwaangusha wasanii wengine akiwemo,...

MichezoTangulizi

Kikwete: Yanga itaipiga Simba

  JAKAYA Mrisho Kikwete, Rais mstaafu wa Tanzania amesema, atafurahia iwapo Yanga itaibuka na ushindi dhidi ya mtani wake, Simba. Anaripoti Kelvin Mwaipungu,...

MichezoTangulizi

Mabadiliko Yanga, Kikwete awapa ujumbe

  RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka wanachama wa Klabu ya Yanga kuwa wawazi kushauri na kukosoa ili iweze kusonga mbele. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Vyama vya siasa Tanzania vyamsubiri Rais Samia

  VIONGOZI wa vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania, wamemkumbusha Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, atekeleze ahadi yake ya kuonana...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia agonga siku 100 Ikulu

  LEO Jumapili, tarehe 27 Machi 2021, Samia Suluhu Hassan, ametimiza siku 100 tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Chongolo: UWT simamie fedha za mikopo

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewataka wabunge wanaotokana na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT), kusimamia kwa karibu utolewaji wa...

Habari za Siasa

Wafuasi Chadema wataka fedha za faini zijenge ofisi

  WAFUASI na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameshauri kiasi cha Sh. 350 milioni kilichoshauriwa na mahakama kurejeshwa kwa Freeman...

Habari za Siasa

Siku 100 Madarakani: Rais Samia hajagusa ‘mtima’

  KATIBA na baadhi ya sheria kandamizi, zimetajwa kukwamisha kiu ya haki katika uongozi wa Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan. Anaripoti...

Habari za Siasa

CUF kumkabidhi Rais Samia ilani zake

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimesema kitamkabidhi ilani za chama hicho kuanzia Uchaguzi Mkuu wa 1995 hadi 2020 pindi ombo lao la kukutana...

Habari za SiasaTangulizi

Siku 100 za Rais Samia: Fatma Karume “katika hili, ametuangusha”

  FATMA Karume, wakili na aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Tunafufua mradi Bandari Bagamoyo

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema, serikali imeanza mazungumzo ya kufufua mradi wa Bandari ya Bagamoyo pamoja na ule wa Mchuchuma na Liganga. Anaripti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Siku 100 za uhuru mahakamani

  TAREHE 27 Juni 2021, Rais Samia Suluhu Hassan atatimiza miaka 100 akiwa madarakani. Aliapishwa 19 Machi 2021, baada ya mtangulizi wake Rais...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sheikh Farid: Nilitishwa

  SHEIKH Farid Had, mmoja wa viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam visiwani Zanzibar (JUMIK) alipokuwa gerezani Zanzibar, ameeleza alitolewa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia atoa tahadhari wimbi la tatu la Covid-19

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa tatu wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Maaskofu wambebesha mizigo Rais Samia

  BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limemuomba Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan, apitie upya sera ya ushirikiano baina ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yafuta hukumu ya Mbowe, kurejeshewa mamilioni

  HUKUMU ya kesi ya Jinai Na. 112/2018 iliyotolewa na Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu, Dar es Salaam iliyomuhusu Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa...

Habari za Siasa

Adhabu ya mkwepa kodi yaanikwa

  MFANYABIASHARA ama mtoa huduma ambaye atabainika kuwepa kulipa kodi, akikamatwa atalazimika kulipa asilimia 100 ya kodi aliyotakiwa kulipa kama adhabu. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

THRDC na siku 100 za Rais Samia

SIKU 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, zimerudisha matumaini kwa Watanzania pamoja na kutibu waliokuwa na majeraha, hasa waliokutana na changamoto ya kesi...

Habari za Siasa

Mchakato uvunjaji Jiji la Dar wahojiwa bungeni

  SERIKALI imeombwa kupitia upya mchakato wa ugawaji mali za iliyokuwa Jiji la Dar es Salaam, baada ya kuvunjwa na aliyekuwa Rais wa...

Habari za SiasaTangulizi

Wakazi ataka mchakato Katiba Mpya uendelee

  MSANII wa HipHop nchini Tanzania, Webiro Wakazi Wassira maarufu ‘Wakazi,’ amesema ni muhimu kuhuisha mchakato wa Katiba Mpya. Anaripoti Matilda Peter…(endelea). Amesema, anatamani...

Habari za Siasa

Mbunge CCM: Serikali imeingizwa mkenge

  JERRY Slaa, Mbunge wa Ukonga, jijini Dar es Salaam (CCM), amesema serikali imeingizwa mkenge katika pendekezo lake la kufuta adhabu ya asilimia...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atua Kenya kuzindua kitabu chake

  TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrais na Maendeleo (Chadema), yupo nchini Kenya kwa maandalizi ya uzinduzi wa kitabu chake. Anaripoti...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi awapa ujumbe baraza la wawakilishi

  RAIS wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi, amewataka wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutanguliza uzalendo wa kweli, ili kuisaidia Serikali na wananchi wa...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yateua mrithi wa Khatib

  MOHAMMED Said Issa, ameteuliwa na Chama cha ACT-Wazalendo, kugombea Jimbo la Konde, visiwani Zanzibar, katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 18 Julai...

MichezoTangulizi

Dk. Mwinyi amteuwa kiongozi Yanga

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ally Mwinyi amemteuwa Arafat Ally Haji ambaye ni mjumbe wa kamati...

Makala & Uchambuzi

Tunajadili bila hatua, tunaangamia

MOJA ya nchi yenye mfumo bora katika elimu ni Indonesia. Kila mwaka hutenga zaidi ya asilimia 21 katika elimu peke yake. Anaandika Yusuph...

Habari za SiasaTangulizi

Bajeti yamuibua Rungwe, amshangaa Spika Ndugai

  MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe, amestaajabishwa na hatua ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kushangilia Bajeti Kuu...

Habari za SiasaTangulizi

Rungwe apeleka sera ya ‘ubwabwa’ Ikulu

  HASHIMU Rungwe, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) mwaka 2020, ameshauri Rais Samia Suluhu Hassan aifanyie...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ashiriki mkutano wa SADC Msumbiji

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshiriki mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...

Habari za Siasa

Bunge lambana Dk. Mwigulu ‘msala’ wa ATCL

  DAKTARI Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, ameshindwa kutoa malelezo kuhusu namna ya kulitoa Shirika la Ndege la Tanzania...

Habari za Siasa

Bawacha bado si shwari, waliovuliwa uongozi, warejeshwa

  KATIBU Mkuu wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge, amevunja uongozi wa baraza hilo, kwenye majimbo...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo matatani tuhuma dawa za kulevya

  MAOFISA wandamizi katika jeshi la polisi na taasisi nyingine za umma nchini Tanzania, wanatuhumiwa kusaidia mtandao wa wafanyabiashara wa dawa za kulevya...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua Ma- DC 2

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya (DC) wawili. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Uteuzi huo, umetangazwa jana Jumanne,...

Habari za Siasa

CCM yaanza safari kulisaka jimbo la Konde

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemteua Sheha Mpemba Faki, kuwa mgombea wake katika uchaguzi mdogo wa Konde, visiwani Zanzibar, unaotarajiwa kufanyika tarehe 18...

Tangulizi

Samatta, Edo kumwembe, Mobetto watoa neno, mara baada ya kuteuliwa kuwa mabalozi

MARA baada ya kuteuliwa kuwa mabalozi wa kuamasisha ulipaji kodi na Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, mwanandika Mbwana Samatta, mchambuzi...

AfyaTangulizi

COVID-19: Muhimbili yaweka sharti uvaaji barakoa

  HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH)- Upanga na Mlonganzila, Mkoa wa Dar es Salaam, imeweka sharti kwa wananchi, wafanyakazi na wanafunzi wanaokuwa...

Habari za SiasaTangulizi

UVCCM yaanza kusukwa upya

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kusuka upya uongozi wa umoja wake wa vijana (UVCCM). Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

RC Mtaka awafunda Ma-DC ‘epukeni balehe ya madaraka’

  MKUU wa Mkoa wa Dodoma (RC), Antony Mtaka amewataka wakuu wa wilaya (DC), kufanya kazi kwa mujibu wa sheria na kuachana na...

Habari za SiasaTangulizi

Bajeti 2021/2022: Wabunge 94% wasema ‘Ndiooo’

  ASILIMIA 94 ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri Tanzania, jijini Dodoma wamepitisha Bajeti Kuu ya serikali ya Sh. 36.3 Trilioni kwa mwaka...

Habari za Siasa

Mdee, wenzake wapata kwikwi bungeni

  BAJETI ya Serikali ya Tanzania kwa mwaka 2021/22 ya Sh.36.3 Trilioni, imepitishwa na Bunge huku wabunge 23 wakishindwa kuikubali au kuikataa ‘abstain.’...

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Mwigulu aeleza makato lini za simu yatakavyokuwa

  WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amefafanua jinsi kodi ya lini ya simu itakavyolipwa na watumiaji huku akiwaomba...

Tangulizi

Spika Ndugai afura bungeni

  KUKITHIRI kwa malalamiko yanaelekezwa kwa Askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), yamemchefua Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya...

MichezoTangulizi

Chama arejea, Manula, Lwanga ‘Out’ dhidi ya Mbeya City

Mara baada ya kukosekana Uwanjani kwa wiki tatu, kiungo wa klabu ya Simba, Clatous Chama amerejea Uwanjani, huku mlinda mlango wa klabu hiyo...

Makala & Uchambuzi

Balozi Seif Ali Idi ana hali gani?

  MNIJUZE wakazi wa Zanzibar, taswira halisi ya Balozi Seif Ali Idi, Makamu wa Pili Mstaafu visiwani humo ilivyo kwa sasa, je ni...

error: Content is protected !!