Categorizing posts based on type of post
PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amezindua awamu ya pili ya mapambano dhidi ya dawa za kulevya ikiwa ni muendelezo...
By Charles WilliamFebruary 8, 2017TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kutoa maneno ya uchochezi kuhusu kuwepo kwa njaa nchini,...
By Faki SosiFebruary 7, 2017TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria wa Chadema, amekatwa na polisi nje ya Bunge na kupelekwa jijini Dar es Salaam, anaandika...
By Faki SosiFebruary 6, 2017SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa taarifa juu ya utekelezaji wa utolewaji wa mikopo kwa vijana, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa kamili...
By Mwandishi WetuFebruary 6, 2017MIZENGO Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu katika Serikali ya Awamu ya Nne ameeleza kuwa, ni ndoto serikali kufikia malengo yake ya ‘serikali ya viwanda’...
By Danson KaijageFebruary 6, 2017CHAMA cha ACT- Wazalendo kimesema chimbuko la kiwango cha kutisha cha rushwa na ufisadi uliotamalaki nchini kwa sasa, ni uamuzi wa uongozi kufuta...
By Pendo OmaryFebruary 5, 2017MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Dimani, Unguja na kwenye kata 20 Tanzania Bara, yametushutua wengi. Miongoni mwa yayosababisha mshutuko,...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2017SIKU mbili baada ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaja majina ya wasanii na askari wanaotuhumiwa kuhusika na utumiaji...
By Hamisi MgutaFebruary 4, 2017WEMA Sepetu amefika. Babuu wa Kitaa amefika. Khalid Mohamed (TID) amefika. Hamidu Chambuso (Nyandu tozi) naye amefika. Ni wasanii walioepuka ‘kiaina’ mgogoro mkubwa...
By Pendo OmaryFebruary 3, 2017JUMUIYA Vijana ya Chama cha Wananchi CUF (JUVI-CUF), imemuonya Shaka Hamidu Shaka, Kaimu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2017TAMKO la Paul Makonda Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam kuwataka watu mbalimbali wanaotuhumiwa kujihusisha biashara au matumizi ya dawa za kulevya kujisalimisha...
By Faki SosiFebruary 3, 2017NEEMA Mfugale, Katibu wa Shirikisho la Vyuo Vikuu la Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma amesema, rushwa ya ngono ni changamoto kubwa inayokwamisha...
By Danson KaijageFebruary 2, 2017PAUL Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameutaja mtandao wa wauzaji wa dawa za kulevya hapa jijini huku miongoni mwao, yakiwemo...
By Charles WilliamFebruary 2, 2017KWA mara nyingine Dk. Tulia Ackson, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameingia katika mvutano na wabunge wa vyama...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2017KIFO cha Etienne Tshisekedi kiongozi wa chama cha upinzani cha (UDPS) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kimeacha simanzi na pigo kwa wapenda...
By Masalu ErastoFebruary 2, 2017CHARLES Kuyeko, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala amefanya ziara ya kikazi katika kata ya Tabata mtaa wa tabata Kisiwani na matumbi, anaandika...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2017MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wameitaka kuwekwa wazi kwa asilimia 5 ya mapato ya halmashauri hiyo ambayo yanapaswa kutolewa kama mikopo kwa...
By Christina HauleFebruary 1, 2017ANGELINA Mabula, Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Mwanza amemtishwa na wapiga kura wake kwa madai ya kushindwa kutatua kero ya mgogoro wa ardhi,...
By Moses MsetiFebruary 1, 2017NINAPOKUMBUKA tukio la mauaji ya wananchi walioandamana katika kudai haki ya kuongozwa na kiongozi wanayemtaka, haraka inanijia sura ya mmoja wa watekelezaji wa...
By Jabir IdrissaFebruary 1, 2017UONGOZI wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), inayochapisha gazeti la MwanaHALISI, umemuomba radhi Rais Dk. John Magufuli, anaandika Faki Sosi. Hatua...
By Faki SosiJanuary 31, 2017SERIKALI ya awamu ya tano imetoa taarifa kuhusu mipango ya utekelezaji wa mambo mbalimbali yanayohusu utendaji wa serikali pamoja na utekelezaji wa Bajeti...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2017MATOKEO ya mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana (2016) yametolewa leo ambapo shule za serikali zimeendelea kufanya vibaya huku zile za...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2017MAALIM Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) amempa nafasi tena Dk. Ali Mohamed Shein ili kumaliza mgogoro wa kisiasa...
By Faki SosiJanuary 30, 2017MATOPE, magome ya miti pia maji machafu ndivyo vilikuwa vyakula vikuu katika siku tano tulizoishi chini ya kifusi huku hofu ya kupoteza maisha...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2017CHAMA cha Wananchi (CUF) kinaelekea kugota. Hofu na mashaka vimeanza kummeza Prof. Ibrahim Lipumba ambapo sasa anahitaji suluhu na Maalim Seif Shariff Hamad,...
By Faki SosiJanuary 28, 2017TUHUMA kuwa Shule za Feza zilizopo hapa nchini zinamilikiwa na watu wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi nchini Uturuki na kwamba zinapaswa kufutwa, zinaweza...
By Charles WilliamJanuary 27, 2017MAMILIONI ya shilingi ndani ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa yaliyotengwa kwa ajili ya kuwajengea uwezo wanawake ndani ya vyama vya...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2017YAYHA Jammeh aliyekuwa rais wa Gambia ameliacha taifa hilo kwenye machungu, baada ya kukomba fedha katika hazina na kwenda uhamishoni nchini Guinea ya...
By Masalu ErastoJanuary 23, 2017MIEZI 15 tangu alipofuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar na kushutumiwa kuwa amekibeba Chama Cha Mapinduzi (CCM), mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC),...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2017TUNA hofu kubwa ya kutotendewa haki ndani ya nchi. Ni kauli ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2017ATHARI ya mtifuano ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) zinaendelea ambapo sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinawinda kura za CUF, anaandika...
By Christina HauleJanuary 21, 2017HATIMAYE Yahya Jammeh, Rais wa Gambia aliyetaka kubaki Ikulu kwa hila ametangaza kuachia madaraka bila shuruti, anaandika Wolfram Mwalongo. Jammeh ametangazia umma kwa...
By Masalu ErastoJanuary 21, 2017FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa kufungwa kwa baadhi ya viongozi wao akiwemo Diwani na Mbunge ni sehemu...
By Moses MsetiJanuary 19, 2017ISATOU Njie, Makamu wa Rais wa Gambia ametangaza wazi kuachia ngazi hiyo kufuatia sintofahamu ya hali ya kisiasa iliyotanda katika Taifa hilo la...
By Masalu ErastoJanuary 19, 2017CHAMA Cha ACT-Wazalendo sasa kinataka serikali imwelekeze Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum kwenye utoaji wa vibali...
By Pendo OmaryJanuary 18, 2017ONGEZEKO la kodi limetajwa kuchochea hali ngumu ya maisha inayolalamikiwa na wananchi wengi hapa nchini, anaandika Pendo Omary. Casimir Mabina, Mratibu wa Chama...
By Pendo OmaryJanuary 18, 2017MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imehairisha usikilizwaji wa awali wa kesi ya uchochozi inayowakabili wahariri wa gazeti la Mawio, mbunge...
By Faki SosiJanuary 18, 2017ARCADO Ntagazwa, aliyekuwa Waziri katika Serikali ya Awamu ya Kwanza, Pili na Tatu amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais...
By Moses MsetiJanuary 17, 2017ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge pekee wa chama hicho ametangaza kujiuzulu ubunge wake iwapo serikali ya Chama Cha...
By Charles WilliamJanuary 17, 2017VYAMA vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mdogo wa udiwani katika Kata ya Kiwanja cha Ndege, Manispaa ya Morogoro vimeonywa, anaandika Christina Haule. Vyama hivyo...
By Christina HauleJanuary 17, 2017MKUBWA hasutwi. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Serikali ya Rais John Magufuli kuruhusu tani milioni 1.5 za chakula kilichokuwa kimehifadhiwa kianze kuuzwa ili...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2017RAIS John Magufuli ametangaza kumteua Profesa Palamagamba Kabudi, na Abdallah Bulembo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa wabunge wa...
By Charles WilliamJanuary 16, 2017EDWARD Lowassa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
By Charles WilliamJanuary 16, 2017WAKATI Rais John Magufuli akigoma kutambua hali ya upungufu wa chakula na baa la njaa kwa baadhi ya maeneo nchini, Edward Lowassa anamtia...
By Masalu ErastoJanuary 16, 2017KILIO cha uhaba wa chakula katika mikoa mbalimbali hapa nchini, kutokana na ukame kimelifikia kanisa Katoliki na sasa limeagiza maombi mazito yaanze ili...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2017SIKU, saa na dakika zinahesabika kwa Timu Maalim Seif Sharif Hamad kufungua ofisi mpya nje ya ile ya Buguruni jijini Dar es Salaam,...
By Faki SosiJanuary 14, 2017CHUKI na visasi kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeendelea kumea baada ya wafuasi wa vyama...
By Christina HauleJanuary 14, 2017RAIS John Magufuli amesema kwamba utawala wake upo mbioni kuyachukulia hatua kali magazeti mawili hapa nchini kwa madai kuwa yamekuwa yakifanya uchochezi, anaandika...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2017DK. Ali Mohamed Shein Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, amesema ataendelea kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuimarisha...
By Masalu ErastoJanuary 12, 2017HATUA ya Mahakama ya Wilaya ya Kilombero, Morogoro kumfunga Peter Lijualikali, Mbunge wa Jimbo la Kilombero miezi sita jela, inatokana na visa vya...
By Pendo OmaryJanuary 12, 2017