Wednesday , 1 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari MchanganyikoTangulizi

Gwajima akamatwa, Kamanda Sirro ‘amkana’

MUDA mchache baada ya kusambaa kwa taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya kukamatwa kwa Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na...

Habari za SiasaTangulizi

Kibatala: Mbowe hajashindwa kesi

PETER Kibatala Wakili Mwandamizi wa Chama Cha Demokrasia (Chadema), ameweka wazi kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Freeman...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea kurudi tena Ubungo

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, ataendelea na ziara yake ya kikazi – kiserikali – ndani ya jimbo lake, kuanzia Jumatatu ya tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge laazimia kumsulubu Makonda

WAKATI Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiendesha kampeni yake ya dawa za kulevya jijini Dar es Salaam, Bunge la...

Habari za Siasa

Lissu agoma kula, ashinikiza kupelekwa mahakamani

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amegoma kula chakula kutwa nzima ya leo, akishinikiza kupeleka mahakamani, anaandika Faki Sosi....

Habari MchanganyikoTangulizi

Makonda awavaa Mbowe, Gwajima amkwepa Masogange

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amezindua awamu ya pili ya mapambano dhidi ya dawa za kulevya ikiwa ni muendelezo...

Habari za SiasaTangulizi

JPM amtaabisha Lissu

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kutoa maneno ya uchochezi kuhusu kuwepo kwa njaa nchini,...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu akamatwa na Polisi, aletwa Dar

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria wa Chadema, amekatwa na polisi nje ya Bunge na kupelekwa jijini Dar es Salaam, anaandika...

Habari za Siasa

Serikali yamwaga mikopo kwa vijana

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa taarifa juu ya utekelezaji wa utolewaji wa mikopo kwa vijana, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa kamili...

Habari za SiasaTangulizi

Pinda atema ya moyoni serikali ya JPM

MIZENGO Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu katika Serikali ya Awamu ya Nne ameeleza kuwa, ni ndoto serikali kufikia malengo yake ya ‘serikali ya viwanda’...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo walilia Azimio la Arusha

CHAMA cha ACT- Wazalendo kimesema chimbuko la kiwango cha kutisha cha rushwa na ufisadi uliotamalaki nchini kwa sasa, ni uamuzi wa uongozi kufuta...

Habari za SiasaTangulizi

Safari ya mabadiliko yaweza kufia njiani  

MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Dimani, Unguja na kwenye kata 20 Tanzania Bara, yametushutua wengi. Miongoni mwa yayosababisha mshutuko,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Makonda atibua, Polisi kwawaka moto

SIKU mbili baada ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaja majina ya wasanii na askari wanaotuhumiwa kuhusika na utumiaji...

Habari MchanganyikoTangulizi

Washukiwa wa unga, wamtii Makonda

WEMA Sepetu amefika. Babuu wa Kitaa amefika. Khalid Mohamed (TID) amefika. Hamidu Chambuso (Nyandu tozi) naye amefika. Ni wasanii walioepuka ‘kiaina’ mgogoro mkubwa...

Habari za Siasa

Vijana wa CUF wamuonya Shaka Hamdu

JUMUIYA Vijana ya Chama cha Wananchi CUF (JUVI-CUF), imemuonya Shaka Hamidu Shaka, Kaimu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Washukiwa wa dawa za kulevya waanza kujisalimisha

TAMKO la Paul Makonda Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam kuwataka watu mbalimbali wanaotuhumiwa kujihusisha biashara au matumizi ya dawa za kulevya kujisalimisha...

Habari za Siasa

CCM Vyuo Vikuu walia na rushwa ya ngono

NEEMA Mfugale, Katibu wa Shirikisho la Vyuo Vikuu la Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma amesema, rushwa ya ngono ni changamoto kubwa inayokwamisha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Makonda ‘aubeep’ mtandao wa ‘wauza unga’

PAUL Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameutaja mtandao wa wauzaji wa dawa za kulevya hapa jijini huku miongoni mwao, yakiwemo...

Habari za Siasa

Tulia achafua ‘hali ya hewa’ Bungeni

KWA mara nyingine Dk. Tulia Ackson, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameingia katika mvutano na wabunge wa vyama...

Habari za SiasaKimataifa

Upinzani wapata pigo DRC

KIFO cha Etienne Tshisekedi kiongozi wa chama cha upinzani cha (UDPS) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kimeacha simanzi na pigo kwa wapenda...

Habari za Siasa

Meya Ilala ‘kazi kazi’

CHARLES Kuyeko, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala amefanya ziara ya kikazi katika kata ya Tabata mtaa wa tabata Kisiwani na matumbi, anaandika...

Habari za Siasa

Manispaa yabanwa matumizi ya fedha za vijana

MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wameitaka kuwekwa wazi kwa asilimia 5 ya mapato ya halmashauri hiyo ambayo yanapaswa kutolewa kama mikopo kwa...

Habari za Siasa

Mbunge Ilemela atishwa

ANGELINA Mabula, Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Mwanza amemtishwa na wapiga kura wake kwa madai ya kushindwa kutatua kero ya mgogoro wa ardhi,...

Habari za SiasaTangulizi

Watu wanaishi na wauaji wao

NINAPOKUMBUKA tukio la mauaji ya wananchi walioandamana katika kudai haki ya kuongozwa na kiongozi wanayemtaka, haraka inanijia sura ya mmoja wa watekelezaji wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

MwanaHALISI yamalizana na JPM

UONGOZI wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), inayochapisha gazeti la MwanaHALISI, umemuomba radhi Rais Dk. John Magufuli, anaandika Faki Sosi. Hatua...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yanena kuhusu viwanda, uvamizi Zanzibar

SERIKALI ya awamu ya tano imetoa taarifa kuhusu mipango ya utekelezaji wa mambo mbalimbali yanayohusu utendaji wa serikali pamoja na utekelezaji wa Bajeti...

ElimuTangulizi

Matokeo kidato cha nne, Shule za serikali hoi

MATOKEO ya mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana (2016) yametolewa leo ambapo shule za serikali zimeendelea kufanya vibaya huku zile za...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif amfungulia mlango Dk. Shein

MAALIM Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) amempa nafasi tena Dk. Ali Mohamed Shein ili kumaliza mgogoro wa kisiasa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Simulizi msisimko waliofukiwa mgodini 

MATOPE, magome ya miti pia maji machafu ndivyo vilikuwa vyakula vikuu katika siku tano tulizoishi chini ya kifusi huku hofu ya kupoteza maisha...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba aomba ‘talaka rejea’ CUF

CHAMA cha Wananchi (CUF) kinaelekea kugota. Hofu na mashaka vimeanza kummeza Prof. Ibrahim Lipumba ambapo sasa anahitaji suluhu na Maalim Seif Shariff Hamad,...

ElimuHabari MchanganyikoTangulizi

JPM njia panda kuhusu ‘ugaidi Shule za Feza’

TUHUMA kuwa Shule za Feza zilizopo hapa nchini zinamilikiwa na watu wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi nchini Uturuki na kwamba zinapaswa kufutwa, zinaweza...

SiasaTangulizi

Mabilioni yaibwa kwa Jaji Mutungi

MAMILIONI ya shilingi ndani ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa yaliyotengwa kwa ajili ya kuwajengea uwezo wanawake ndani ya vyama vya...

KimataifaTangulizi

Jammeh akomba fedha, atokomea Guinea

YAYHA Jammeh aliyekuwa rais wa Gambia ameliacha taifa hilo kwenye machungu, baada ya kukomba fedha katika hazina na kwenda uhamishoni nchini Guinea ya...

Habari za SiasaTangulizi

Jecha: Maalim Seif alidanganya

MIEZI 15 tangu alipofuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar na kushutumiwa kuwa amekibeba Chama Cha Mapinduzi (CCM), mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC),...

Habari za Siasa

Mbowe: Tuna hofu kubwa

TUNA hofu kubwa ya kutotendewa haki ndani ya nchi. Ni kauli ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

CUF, Chadema wagawa kura

ATHARI ya mtifuano ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) zinaendelea ambapo sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinawinda kura za CUF, anaandika...

KimataifaTangulizi

Jammeh anyosha mikono

HATIMAYE Yahya Jammeh, Rais wa Gambia aliyetaka kubaki Ikulu kwa hila ametangaza kuachia madaraka bila shuruti, anaandika Wolfram Mwalongo. Jammeh ametangazia umma kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Viongozi Chadema kufungwa ni mkakati wa Serikali

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa kufungwa kwa baadhi ya viongozi wao akiwemo Diwani na Mbunge ni sehemu...

KimataifaTangulizi

Makamu wa Rais Gambia ajiuzulu

ISATOU Njie, Makamu wa Rais wa Gambia ametangaza wazi kuachia ngazi hiyo kufuatia sintofahamu ya hali ya kisiasa iliyotanda katika Taifa hilo la...

Habari za SiasaTangulizi

ACT yazidi kuikaba serikali

CHAMA Cha ACT-Wazalendo sasa kinataka serikali imwelekeze Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum kwenye utoaji wa vibali...

Habari za Siasa

Kigogo Chadema alia na kodi

ONGEZEKO la kodi limetajwa kuchochea hali ngumu ya maisha inayolalamikiwa na wananchi wengi hapa nchini, anaandika Pendo Omary. Casimir Mabina, Mratibu wa Chama...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kesi ya wahariri Mawio, Lissu yaahirishwa, kusikilizwa kesho

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imehairisha usikilizwaji wa awali wa kesi ya uchochozi inayowakabili wahariri wa gazeti la Mawio, mbunge...

Habari za Siasa

Waziri wa Nyerere ‘amchana’ Magufuli

ARCADO Ntagazwa, aliyekuwa Waziri katika Serikali ya Awamu ya Kwanza, Pili na Tatu amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Njaa yaweka rehani ubunge wa Zitto

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge pekee wa chama hicho ametangaza kujiuzulu ubunge wake iwapo serikali ya Chama Cha...

Habari za Siasa

Chadema, CCM vyaonywa

VYAMA vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mdogo wa udiwani katika Kata ya Kiwanja cha Ndege, Manispaa ya Morogoro vimeonywa, anaandika Christina Haule. Vyama hivyo...

Habari za SiasaTangulizi

Njaa yaitoa mafichoni serikali

MKUBWA hasutwi. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Serikali ya Rais John Magufuli kuruhusu tani milioni 1.5 za chakula kilichokuwa kimehifadhiwa kianze kuuzwa ili...

Habari za Siasa

Magufuli awapa ulaji Prof. Kabudi, Bulembo

RAIS John Magufuli ametangaza kumteua Profesa Palamagamba Kabudi, na Abdallah Bulembo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa wabunge wa...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa atiwa mbaroni Geita

EDWARD Lowassa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa amtia majaribuni JPM

WAKATI Rais John Magufuli akigoma kutambua hali ya upungufu wa chakula na baa la njaa kwa baadhi ya maeneo nchini, Edward Lowassa anamtia...

Habari MchanganyikoTangulizi

Njaa yaligusa kanisa katoliki

KILIO cha uhaba wa chakula katika mikoa mbalimbali hapa nchini, kutokana na ukame kimelifikia kanisa Katoliki na sasa limeagiza maombi mazito yaanze ili...

error: Content is protected !!