Tuesday , 14 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Anna Mgwira kumrithi Meck Sadick

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania amemteua Anna Mgwira, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, anaandika Hamisi Mguta. Mgwira ambaye alikuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Bavicha wamlaani Ndugai

SIKU moja baada ya Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, kumtoa kwa nguvu Waziri Kivuli wa Wizara ya Nishati na Madini, John...

Habari za Siasa

Kubenea awalipua Mwakyembe, Mwambalasa

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea (Chadema) amewalipua Dk. Harrison Mwakyembe na Victor Mwambalasa kuwa ni miongoni mwa watu ambao wanahusika katika kupitisha...

Habari za Siasa

Mgogoro Poli Tengefu la Loliondo wadumu miaka 25

MBUNGE wa Viti Maalum, Catherine Magige (CCM) amehoji kuhusina na ni lini serikali itatatua mgogoro wa Pori Tengefu la Loliondo uliodumu zaidi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai amtupa ‘jela’ Mnyika, Wapinzani wasusa

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameamuru askari wa Bunge wamtoe nje, John Mnyika, Mbunge wa Kibamba na iutohudhuria vikao saba la bunge hilo...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali haimjui aliyebuni Nembo ya Taifa

SERIKALI imesema mpaka sasa haijafahamika ni nani aliyebuni nembo ya taifa tofauti na ilivyokuwa ikijulikana kuwa aliyebuni nembo hiyo ni Francis Ngosha (80)...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aelezea Ndesambulo alivyofariki

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupokea kwa mshutuko mkubwa wa kifo cha Muasisi wa chama hicho na mbunge wa mstaafu wa jimbo...

Habari za Siasa

Kubenea amtoa jasho Mwijage bungeni

WAZIRI wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji,Charles Mwijage alijikuta katika wakati mgumu baada ya kushindwa kujibu swali la nyongeza la Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea...

Habari za Siasa

Serikali kurudisha viwanda vyake kutoka kwa wawekezaji

SERIKALI, iko mbioni kuvirejesha serikalini viwanda vyake vinane vilivyokuwa vinaendeshwa na wawekezaji, anaandika Dany Tibason. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri wa...

Habari za SiasaTangulizi

TANZIA: Philemon Ndesamburo afariki dunia

MBUNGE wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi,...

Habari za SiasaTangulizi

CDA wazidi kubanwa, sasa kuchunguzwa

WAKATI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, akikiri kwamba kuna utapeli unaodaiwa kutekelezwa na baadhi ya watendaji wa iliyokuwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tanzia: Mchoraji nembo ya Taifa afariki

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili imetoa taarifa za kifo cha Mzee Fransis Maige (86) aliyechora Nembo ya Taifa ya Uhuru na Umoja ambayo inatumika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Yametimia

UTEUZI uliotabiliwa na Gazeti la MwanaHALISI kuhusu kung’oka kwa aliyekuwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu umetimia, anaandika Mwandishi Wetu. Katika andika la Gazeti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mkude anusurika, mmoja afariki ajalini

Nahodha wa Simba, Jonas Mkude amepata ajali mbaya ya gari akiwa njiani kureje Dar es Salaam akitokea Dodoma, anaandika Hamisi Mguta. Mkude alikuwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tetemeko ardhi laua Polisi Mwanza

TETEMEKO la ardhi lililopita mkoani Mwanza na kudumu kwa sekunde 10 limesababisha askari Polisi WP. 114674 Joyce Jackson kupoteza maisha wakati akiwa kazini...

Habari za SiasaTangulizi

Mwijage ajifananisha na Gaddafi

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema yeye ni muumini wa Mohammed Gaddafi, kwa kueleza kuwa yeye anafanya kazi ya kujenga...

Habari za Siasa

Mchanga wa madini waondoka na Prof. Muhongo

RAIS Rais John Magufuli ameanza kutekeleza ushauri aliopewa katika ripoti ya Kamati ya kuchunguza makontena ya mchanga wa madini yaliyokamatwa kwa kumtengua uteuzi...

Habari za Siasa

Chadema kuiteka Dodoma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinategemea kupokea wageni zaidi ya 1,500 katika mji wa Dodoma ambao watahudhuria vikao vya kamati kuu na...

Habari za Siasa

Halima Mdee adai haki ya wanawake kumiliki ardhi

MBUNGE wa Kawe Halima Mdee (Chadema) ameitaka serikali ieleze ni lini sheria kandamizi kwa akina mama zitaondolewa hasa katika upande wa umilikaji na...

Habari za SiasaTangulizi

CCM Mwanza watifuana, maslahi binafsi yatajwa

VIONGOZI wakubwa wa Jiji la Mwanza, James Bwire, Meya wa jiji hilo kwa tiketi ya CCM na Mkurugenzi wa jiji hilo, Kiomoni Kibamba...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mapigano ya wakulima, wafugaji yamchosha Kikwete

MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (CCM) ameitaka serikali kueleza namna ilivyojipanga kupambana na janga la mapigano baina ya wakulima na wafugaji, anaandika Dany...

Habari za SiasaTangulizi

Matajiri Dodoma watangaziwa vita

MKURUGENZI wa Manispaa ya Dodoma, Godwin Kunambi amewatangazia vita matajiri wakubwa waliopora na kujilimbikizia viwanja bila kuviendeleza kwa wakati, anaandika Dany Tibason. Kunambi amesema...

Habari za SiasaTangulizi

Mkurugenzi Mwanza matatani kutoa zabuni ‘kinyemera’

KIOMONI Kibamba, Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, ameingia katika mvutano na madiwani wa halmashauri ya jiji hilo baada ya kujenga chini ya kiwango...

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi waua majambazi watatu

WATU watatu wanaozaniwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na Polisi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza wakati walipokaidi amri ya Polisi ya kujisalimisha eneo...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Serikali inaua viwanda vya ndani

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameitaka serikali kusimamia ipasavyo sekta ya viwanda ili kuhakikisha kinachozalishwa nchini kinakuwa na maana kwa faida ya...

Habari za SiasaTangulizi

Agizo la Magufuli lawatafuna wafungwa Moro

AGIZO la Rais John  Magufuli kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kukata umeme popote hata katika taasisi ya serikali imesababisha Magereza 14 katika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mapya yaibuka mauaji ya jambazi

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Taasisi za Kiislam Tanzania ameibuka na kumtetea anayeitwa jambazi aliyeuwawa katika tukio la uvamizi wa ATM, kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wadai bima ya maisha

WABUNGE wameshangazwa kitendo cha ofisi ya bunge kupitia Jumuiya ya Madola (CPA) kushindwa kuwakatia bima ya maisha wabunge ambao wanamaliza muda wao kama...

MichezoTangulizi

Chelsea mabingwa England

KLABU ya Chelsea ya jijini London, Uingereza, imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka England msimu wa 2016/17, baada ya kuifunga West Bromwich,...

Habari za Siasa

Wabunge, Spika watoa Sh. 100 milioni kwa wafiwa

WABUNGE wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameadhimia kutoa milioni 86 pesa za posho ya kikao cha siku kwa ajili ya...

Tangulizi

Arusha, Tanzania yazizima, kuaga miili 36

TAYARI zoezi la kuaga miili 36 ambayo ni ya wanafunzi 33, walimu 2 na dereva wao waliofariki katika ajali ya gari Karatu mkoani...

Habari za Siasa

Hazina waisusia mishahara Lushoto

HALMASHAURI ya wilaya ya Lushoto inatumia zaidi ya Sh. 28 milioni kulipa mishahara ya watumishi kila mwezi Bunge limeelezwa, anaandika Dany Tibason. Mbunge...

Habari za SiasaTangulizi

Shilingi 29 bil kujenga kituo kipya cha Ubungo

UJENZI wa kituo kipya cha Mabasi cha Ubungo kinachotarajiwa kujengwa maeneo ya Mbezi Luis kinakadiliwa kutumia Sh. 28.72 bilioni, anaandika Dany Tibason. Naibu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ajali Karatu, wanafunzi 32 wathibitishwa kupoteza maisha

KAMANDA wa Polisi, mkoani Arusha, Charles Mkumbo amethibitisha kuwa watu 32 wamefariki katika ajali iliyotokea wilayani Karatu, eneo la Rhotia Marera, anaandika Hamisi Mguta. Waliofariki...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM mdaiwa sugu

JUMANNE Kishimba, Mbunge wa Kahama mkoani Shinyanga (CCM) anatuhumiwa kushindwa kulipa kodi ya ardhi kiasi cha Sh. 2.7 milioni kwa kipindi cha mwaka...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea, Mdee huru kesi ya kumshika matiti RAS

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru wabunge wa Ukawa na madiwani wawili waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kumjeruhi Katibu Tawala wa Mkoa...

Habari za Siasa

Waziri hajui gharama za kukimbiza Mwenge

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ameshindwa kujua bajeti ya ukimbizaji...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Fedha za Bombadier zingejenga hospitali za Ocean Road tano

MBUNGE wa Tunduma, Frank Mwakajoka (Chadema) amesema anasikitisha kuona serikali inakimbilia kutoa mabilioni ya fedha kununua ndege wakati hali ya afya ni mbaya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Mwakyembe: Marufuku magazeti kuswoma kwenye redio na tv

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harison Mwakyembe amepiga marufuku watangazaji wa vipindi vya magazeti kwenye redio na televisheni kusoma habari...

Habari za Siasa

Mtatiro: Kambaya mimi sio ‘size’ yako

JULIUS Mtatiro, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi CUF, amesema hawezi kukutana na Abdul Kambaya, Naibu Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa CUF,  kujadili...

Habari za SiasaTangulizi

Halima Mdee atupwa ‘jela,’ Mbowe asamehewa

KAMATI ya Haki na Maadili ya Bunge imetoa adhabu kwa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kutohudhuria vikao vya Bunge la Bajeti vilivyobaki baada...

Habari za Siasa

Lukuvi atishia kumtoboa kitambi DED

WILLIAM Lukuvi, WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi, amemtahadhalisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, John Wanga, kwamba atakitoa pumzi kitambi chake,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM atuhumiwa kuhujumu uchumi

MBUNGE wa Kwimba, Mwanza, Shannif Mansour (CCM), anatuhumiwa kugoma kulipa kodi ya eneo lake la ardhi lenye ukubwa wa hekta 39,000, kiasi cha...

Habari za Siasa

Bunge lisiwe ndumilakuwili – Kubenea

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, amehoji uhalali wa Bunge kuwaadhibu wabunge wa upinzani na “kuwanyamazia” wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Erasto...

Habari za SiasaTangulizi

Ripoti ya vyeti feki yamlinda Makonda

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye anatuhumiwa kutumia vyeti feki amenusurika kuondolewa katika nafasi yake baada ya Waziri wa...

Habari za Siasa

Rais Magufuli achimba mkwara kiaina

RAIS John Magufuli, amesema mtu yeyote atakayejitokeza na kujaribu kuuvunja Muungano wa Tanganyika na Zazibar atavunjika yeye, anaandika Dany Tibason. Amesema kuulinda Muungano...

Habari za SiasaTangulizi

CUF: Jaji Mutungi ndiye chanzo cha vurugu

CHAMA cha Wananchi ‘CUF’ kimemshutumu Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kuwa  ndiye chanzo cha vurugu zinazoendelea ndani ya chama cha...

Habari za Siasa

TEF nao wamkaba koo Prof. Lipumba, wamtaka aombe radhi

JUKWAA la Wahariri Tanzania ‘TEF’ limemtaka Prof. Ibrahim Lipumba kutoa kauli kuhusu tukio la kupigwa kwa waandishi wa habari katika uvamizi wa mkutano...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea ahoji: Who is Makonda?

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, amemvaa Waziri Mkuu wa Jamhuri, Kassim Majaliwa kuhusiana na kauli yake kuwa “serikali inachunguza vitendo vya utekaji,”...

Habari za SiasaTangulizi

CUF wamtaka Sirro kuchukua hatua ‘mazombi’ ya Prof. Lipumba

KAMATI ya Uongozi ya Chama cha Wananchi ‘CUF’ imemtaka Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro kuchukua hatua dhidi ya...

error: Content is protected !!