Tuesday , 14 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za SiasaTangulizi

Lissu akamatwa tena, polisi watoa ufafanuzi

SIKU moja baada ya polisi kumhakikishia Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema kuwa yupo huru na hakuna mpango wa kumkamata, hatimaye leo Jeshi...

Habari za Siasa

Mbunge wa CUF aburuzwa mahakamani

ABDALLAH  Mtolea, Mbunge wa Jimbo la Temeke (CUF), amefikishwa  mahakamani kwa kosa la usalama barabarani, anaandika Hamisi Mguta. Kamanda mkoa wa Polisi Temeke,...

Habari za SiasaTangulizi

Upelelezi wa Lowassa bado pasua kichwa

JESHI la Polisi Tanzania bado halijakamilisha upelelezi wa tuhuma zinazomkabiri Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, hivyo wamelazimika kumwachia na kumtaka arudi tena...

Habari za Siasa

Kubenea: Nitauza hata kiatu kumwondoa Lipumba

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, amesema yupo tayari kuuza chochote alichonacho hadi afanikishwe operesheni ya kumwondoa ofisini Prof. Ibrahim Lipumba...

Habari za Siasa

Mbunge Kubenea kuhojiwa Polisi Dar 

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo (Chadema), Saed Kubenea  amemtaka mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambulika na Msajili wa Vyama Vya Siasa Nchini...

Habari za Siasa

Lissu azua kizazaa mahakamani Dodoma

MWANASHERIA wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu leo ametumia zaidi ya saa nne akiwa katika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Baada ya kufungiwa vituo vyake, Diallo aburuzwa mahakamani

ANTONY Diallo, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sahara Media Group (SMG), inayomiliki kituo cha televisheni Star TV, Redio Free Africa (RFA) na Kiss...

Habari za Siasa

Polisi walikoroga Ruvuma, wazuia vikao vya ndani vya Chadema

JESHI la Polisi mkoani Ruvuma limekizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufanya mikutano ya ndani, anaandika Irene David. Katazo hilo limekuja siku...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jaji aliyejiuzulu afariki

ALIYEKUWA  Jaji wa Mahakama Kuu, Upendo Msuya, amefariki dunia  leo Julai 19 katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa baada...

Habari za SiasaTangulizi

Hiki ndicho anachokitamani Tundu Lissu

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amewaeleza Watanzania kuwa kitu pekee ambacho kinaweza kuikomboa nchi kutoingia katika machafuko, anaandika Hellen Sisya. Fuatilia VIDEO HII...

Habari za Siasa

Meya wa jiji atoa siku 12 kwa wakwepa kodi

MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Issaya Mwita ametoa siku 12 kwa wafanyabiashara wasiolipa kodi katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani cha...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wazidi kuwahenyesha wapinzani

HALI ya kisiasa kwa vyama vya upinzani nchini inazidi kuwa mbaya kutoka na makada wa vyama hivyo kuendelea kukamatwa na kuswekwa rumande na...

Habari za Siasa

 Lissu amtetea Dk. Mashinji 

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) ameikosoa serikali kuhusu namna inavyoshughulikia suala la uchochezi   katika serikali ya awamu ya tano,...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Anayebisha Rais Magufuli siyo dikteta hana akili timamu

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amezidi kusisitiza kuwa Rais John Magufuli ni dikteta na anayebisha hana akili...

Habari za Siasa

Vongozi Chadema waachiwa

VICENT Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema, wabunge wawili na viongozi wengine waliokamatwa juzi na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma leo wameachiwa, anaandika Mwandishi...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ashutumiwa na ukabila

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema amemvaa tena Rais John Magufuli na sasa amemshutumu kwa kuendesha nchi kwa misingi ya upendeleo wa kikabila...

Habari za SiasaKimataifa

Biwott kuzikiwa jeneza lisopitisha risasi

MWANASIASA mkongwe aliyekuwa na nguvu kubwa nchini Kenya, Nicolas Biwott atazikwa kwa kutumia jeneza lililosarifiwa kwa dhahabu na ambalo lina uwezo wa kutopenya...

Habari za Siasa

ADC yamtonya Kubenea kuingilia CUF

CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema kauli za kisiasa zinazoendelea kutolewa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhusiana...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe awafunda viongozi Chadema

SAA chache baada ya Dkt. Vincent Mashinji, Katibu  Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wenzake kukamatwa na Polisi kwa mahojiano...

Habari za Siasa

Viongozi wa Chadema washikiliwa polisi

DKT. Vincent Mashinji, Katibu  Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil Mwambe ambaye pia ni...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wavuruga mkutano wa Chadema Mwanza

JESHI la Polisi mkoani Mwanza limevamia ukumbi wa Hill Front Hotel uliopo Igoma, katika Manispaa ya Nyamagana, kuvunja kongamano la vijana lililoandaliwa na...

Habari za Siasa

Sumaye – sasa tunaelekea vijijini

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, amesema chama chake kitazunguka nchi nzima kuelimisha wananchi juu ya...

Habari za Siasa

Mrithi wa Anna Mghwira ACT huyu hapa

CHAMA Cha ACT-Wazalendo, kimemtangaza Yeremia Maganja kukaimu nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho, iliyokuwa imeachwa wazi na Anna Mghwira, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye akemea serikali kunyanyasa wapinzani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimekemea serikali kwa matumizi mabaya ya sheria za nchi dhidi ya viongozi na wanachama...

Habari za Siasa

Bunge limepoteza sifa yake-Mngwali

RIZIKI Shahari Mngwali, Mbunge wa Mafia- viti maalum kwa tiketi ya Chama cha Wananchi- CUF amesema Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepoteza...

Habari za SiasaTangulizi

TRA kupiga mnada jengo la Star TV

KAMPUNI ya Sahara Media Group (SMG), inayomiliki kituo cha Televisheni Star tv, Redio Free Africa (RFA) na Kiss FM imefungwa na Mamlaka ya...

Habari za Siasa

Mkapa sasa aonywa

VIONGOZI wandamizi serikalini wameonywa kutojihusisha na matamshi ya kejeli na matusi dhidi ya wananchi, kwa kuwa yanachochea chuki na uhasama nchini, anaandika Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamgwaya Lowassa, atakiwa kurudi Alhamisi

JESHI Polisi limezidi kumpiga kalenda Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa baada ya leo tena kushindwa kumhoji na kumtaka arudi tena Alhamisi ijayo, anaandika Hamisi...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu amchongea Ngeleja Takukuru

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) amemuwakia William Ngeleja, Mbunge wa Sengerema baada ya kurudisha...

Habari za SiasaTangulizi

Halima Mdee ashtakiwa kwa matusi, aachiwa kwa dhamana

HALIMA Mdee,Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shtaka la...

Habari za Siasa

Wanafunzi wajawazito wamganda Rais Magufuli

WANAFUNZI wa wanaopata ujauzito kutorudi shuleni wamezidi kumkera Rais John Magufuli kwani pamoja na kupiga marufuku, amekuwa akiendelea kuchimba ‘mkwara’ kila anapopata nafasi,...

Habari za Siasa

Chadema wajitosa kumng’oa Prof. Lipumba Buguruni

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani kimeanzisha operesheni maalumu ya kusaidia Chama cha Wananchi (CUF) kumwondoa Profesa Ibrahim Lipumba katika...

Habari za SiasaTangulizi

Maswali sita Ngeleja kurudisha fedha za Rugemalira

KITENDO cha William Ngeleja, Mbunge wa Sengerema kurudisha fedha alizopewa miaka mitatu iliyopita na mfanyabiashara James Rugemalira, kimezua maswali sita ambayo hayawezi kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Tusiruhusu kutawaliwa na mademagogi

BAADA ya mkasa uliomkuta Halima Mdee, Mbunge wa Kawe, wiki iliyopita, nimekumbuka kwa uchungu, mazungumzo yangu na waandishi wa habari tarehe 12 Februari...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo waitetea kauli ya Halima Mdee

NGOME ya Vijana ya chama cha ACT-Wazalendo, imesema kuna hatari ya utawala wa sheria nchini kuporomoka endapo watanzania hawatapigania sheria na amani ya...

Habari za SiasaRipoti

Rais Magufuli: Mtoto akipata mimba asirudi shule

RAIS John Magufuli amepiga marufuku wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito wakiwa shuleni, kurejea na kuendelea na masomo baada ya kujifungua, anaandika Saed Kubenea....

Habari za SiasaTangulizi

Lipumba, Maalim Seif siku zinahesabika

KESI ya Madai Na. 21 ya mwaka 2017 iliyopangwa kusikilizwa leo katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, mbele ya Jaji Wilfred Dyansobera...

Habari za Siasa

Madiwani CUF ‘wamzodoa’ Lipumba

JUMLA ya madiwani 19 kati ya 21 wa Chama cha Wananchi (CUF), katika jiji la Dar es Salaam, wameunga mkono msimamo wa Katibu Mkuu...

Habari za Siasa

DC mwingine wa Rais Magufuli ajiuzuru

DK. Leonard Masale, Mkuu wa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza, ametangaza kujiuzuru nafasi hiyo kwa hiari yake mwenyewe baada ya kumwandikia...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea apandishwa kizimbani Dodoma

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Dodoma na kusomewa shtaka la kumshambulia mbunge Juliana Shonza...

Habari za Siasa

Bavicha wamnanga Rais Magufuli

BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) limemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli apunguze kutoa kauli...

Habari za Siasa

Dk. Tulia amdhibiti Mbunge wa CCM

TULIA Ackson, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemtaka Rashidi Shangazi, Mbunge wa Mlalo, mkoani Tanga kufuta kauli yake...

Habari za Siasa

Mbatia alia na ajira mpya za walimu

JAMES Mbatia, Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro (NCCR-Mageuzi), amesema kuwa tatizo la walimu nchini badoni kubwa sana kwa sasa tofauto na...

Habari za Siasa

Wabunge wa Chadema wahojiwa Polisi

BAADA ya wabunge nane wa Chadema kukamatwa na kuachiwa kwa dhamana jana usiku, leo wametakiwa kuripoti Polisi mjini Dodoma kwa mahojiano zaidi, anaandika...

Habari za Siasa

Mdee kutupwa mahabusu kwa saa 48

ALLY Hapi, Mkuu wa Wilaya Kinondoni,  amemuagiza Suzan Kaganda, Kamanda wa Polisi  wa Kinondoni (RPC) kumkamata Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kutokana na...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi Chadema jela mwaka mmoja

MAHAKAMA ya Wilaya ya Igunga   imewahukumua viongozi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutumikia  kifungo cha mwaka mmoja jela kila...

Habari za Siasa

Chadema wamkemea JPM

KAULI ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  John Magufuli kuwa wakati wa utawala wake hakuna wanafunzi wataopata ujauzito wataruhusiwa kurejea masomoni baada...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge wa CCM anusurika kipigo bungeni

JULIANA Shonza, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) amenusurika kuangushiwa kipigo kikali na wabunge wa Chadema mara baada kuwatambia kuwa atahakikisha Halima Mdee, Mbunge...

Habari za Siasa

Mdee ampuuza Ndugai

HALIMA James Mdee, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kauli ya Job Ndugai kwamba wabunge waliopewa...

Habari za Siasa

Mbunge wa Kibiti afunguka kuhusu mauaji

ALLY Seif Ungando, Mbunge wa Jimbo la Kibiti, mkoani Pwani amesema mapambano ya kudhibiti mauaji yanayoendelea jimboni kwake yanaweza kurahishishwa kwa serikali kupeleka...

error: Content is protected !!