August 18, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Viongozi Chadema jela mwaka mmoja

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa

Spread the love
MAHAKAMA ya Wilaya ya Igunga   imewahukumua viongozi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutumikia  kifungo cha mwaka mmoja jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mkusanyiko usio halali, anaandika Mwandishi Wetu.
Waliohukumiwa kwenda jela ni aliyekuwa Diwani wa Kata ya Igunga ambaye kwa sasa ni Katibu Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Igunga,  Vicent Kamanga (52),  Mwenyekiti wa Chadema Tawi la Mwamsunga,  Fea Rifa (41) na Katibu wa Chadema Tawi la Mwamsunga katika Kijiji cha Mgongoro,  Luhanya Zogoma(48).
Taarifa zaidi zitakujia kwa kadri tunavyopokea kutoka wilayani Igunga, Tabora.
error: Content is protected !!