Saturday , 27 April 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mpango atoa somo Wimbo wa Taifa

MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amelazimika kuanza hotuba yake kwa kufundisha wananchi namna ya kusimama wakati wa kuimba Wimbo wa Taifa. Anaripoti...

Habari za Siasa

Basilla ataka kero za wananchi zotatuliwe

MKUU wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Basilla Mwanukuzi amewataka wakuu wa idara katika Wilaya hiyo kutatua kero za wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Samia aungana na viongozi Afrika kumpongeza Ruto

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameungana na viongozi wengine wa Bara la Afrika kwa kumpongea mshindi wa nafasi ya urais pamoja na kuwapongeza...

Habari za Siasa

Askari 818 wahitimu, wawili watimuliwa chuo cha uhamiaji

  MKUU wa Chuo cha Uhamiaji, Mrakibu Moses Lusamba, amesema jumla ya askari 818 wamehitimu mafunzo ya awali ya chuo cha uhamiaji huku...

Habari za Siasa

Dk. Makakala: Chuo cha uhamiaji chachu maendeleo, usalama

  KAMSHINA Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji Dk. Anna Makalala amesema kuanzishwa kwa Chuo cha Uhamiaji kutakua ni chachu ya maendelo na usalama...

Habari za Siasa

RC Mgumba aeleza faida chuo cha uhamiaji kuwepo mkoani Tanga

  MKUU wa mkoa wa Tanga, Omary Mgumba, amelezea faida za uwepo wa chuo cha mafunzo cha uhamiaji mkoani Tanga ikiwemo kuimarisha ulinzi...

Habari za Siasa

Samia aagiza maofisa uhamiaji waliohusika ubadhirifu viza kushughulikiwa

  RAIS wa Jamhurii ya uungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Kamishna Jenerali wa Jeshi La Uhamiaji, Dk. Anna Makakala, “kuwashughulikia” maofisa...

Habari za SiasaTangulizi

Samia akemea wazazi wanaowapa watoto ulanzi

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wazazi na walezi wa mkoa wa Iringa kuacha kuwapa watoto wao pombe ya kienyeji aina ya...

Habari za Siasa

RC Makalla aagiza mabasi yote kupita stendi ya Magufuli

  MKUU wa mkoa Dar es salaam Amosi Makala awapa siku 14, kamanda wa kikosi cha usalama barabarani kanda maalumu ya Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge waliofukuzwa CUF na kupoteza ubunge washinda kesi

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania leo tarehe 12 Agosti, 2022, imesoma Hukumu ya Kesi namba 143 ya Mwaka 2017 iliyofunguliwa na Miza Bakari...

Habari za Siasa

Barabara ya Kibena-Lupembe-Madenge-Morogoro kujengwa kwa kiwango cha lami

  WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kutokana na umuhimu wa barabara ya kuanzia Kibena-Lupembe-Madege mpaka Morogoro, Serikali imetenga kiasi...

Habari za Siasa

Mbunge wa Makambako aishukuru Serikali uboreshaji huduma za kijamii

  MBUNGE wa jimbo la Makambako nchini Tanzania, Deo Sanga, amesema kujengwa kwa vituo vya afya takribani vitano katika halmashauri ya wilaya ya...

HabariHabari za Siasa

Zitto: Kenya ipo mbele sana uwazi katika uchaguzi

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo cha nchini Tanzania, Zitto Kabwe, amesema Taifa la Kenya lipo mbele katika uwazi kwenye uchaguzi mkuu. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwigulu, Bashungwa wawekwa kikaangoni

  RAIS Samia Suluhu Hassan amewaweka mtegoni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI),...

Habari za Siasa

Samia azindua mradi wa maji wa Sh. bilioni 2.8

  RAIS Samia Suluhu Hassana amezindua mradi wa maji wenye thamani ya Sh. 2.8 bilioni uliopo katika Kata ya Makongolosi wilayani Chunya mkoani...

Habari za Siasa

Samia kuhusu bei ya mafuta: Ni tatizo la dunia nzima

  WANANCHI wa Mbalizi mkoa wa Mbeya nchini Tanzania amemuhoji Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta ambapo amewajibu kuwa...

Habari za Siasa

Samia: Tone moja la maji ni Sh 3,000

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema maji yangeuzwa kwa kuangalia gharama za miradi tone moja la maji lingeuzwa kwa Sh 3,000. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Hamissi arejeshwa MSCL baada ya kuondolewa TPA

  RAIS Samia Suluhu Hassan amemrejesha Eric Hamissi kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) baada ya kumwondoa Mamlaka ya Usimamizi...

Habari za SiasaTangulizi

Makada 6 Chadema waliokaa mahabusu miaka 3 waachiwa huru

HATIMAYE Mahakama Kuu Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, imemuachia huru aliyekuwa diwani wa Chadema katika Kata ya Isengule wilaya ya Tanganyika mkoa...

Habari za SiasaTangulizi

Marekani yaiasa Z’bar

MAREKANI imeipa nasaha Zanzibar kuendeleza moyo wa maridhiano ya kisiasa kwa kuamini kuwa ni fursa nzuri ya kuimarisha umoja na mshikamano ambao ni...

Habari za Siasa

Tanzania, Zambia zakubaliana kujenga TAZARA kwa kiwango cha SGR

  TANZANIA na Zambia zimekubaliana kuanzisha mradi wa pamoja wa kuboresha reli ya TAZARA kwa kiwango cha kisasa (SGR). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Samia ampa onyo RC Chalamila: Nategemea umekua sasa

  RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amempa onyo Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila, ambaye amerejesha uongozini baada ya kumwondoa Juni...

Habari za Siasa

Dk. Mpango: Bashe acha ubahili toa hela za utafiti

MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuacha ubahili na kuhakikisha wizara hiyo inatoa fedha za kutosha kufanya...

Habari za Siasa

8000 wajiandikisha kampeni kupinga ukatili wa kijinsia

  JUMLA ya Watanzania 8000 wamejisajili kujiunga na kampeni ya Shujaa wa maendeleo na ustawi wa jamii (SMAUJATA) yenye lengo la kupinga na...

Habari za Siasa

Samia ateua makatibu tawala wa mikoa wapya, saba watemwa

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 28 Julai, 2022 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa wapya saba na kuwahamisha vituo vya...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Halima Mdee na Wenzake kuanza kusikilizwa kesho

KESI ya waliokuwa wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, ya kupinga kuvuliwa uanachama wa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awaibua Chegeni, Serukamba, Chalamila, Hapi atupwa nje

RAIS Samia Suluhu Hassan, amewateuwa Raphael Chegeni, aliyekuwa Mbunge wa Busega na Peter Serukamba, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Mjini, kwenye wadhifa wa ukuu...

Habari za Siasa

Mbunge amuangukia Samia ujenzi barabara kuelekea Burundi

  MBUNGE wa Buyungu, wilayani Kakonko, Mkoa wa Kigoma, Aloyce Kamamba, ameiomba Serikali itoe fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara inayounganisha mkoa...

Habari za Siasa

Kinana awapigia debe wanawake, vijana uchaguzi CCM

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, ametaka wanachama wanawake wapewe kipaumbele katika chaguzi za nafasi mbalimbali za uongozi wa...

Habari za Siasa

‘Mbunge’ Mtambile aaga dunia

KIONGOZI Mwandamizi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani wa muda mrefu wa Mtambile, Masoud Abdalla Salim amefariki dunia leo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo: CCM ikileta Katiba pendekezwa tutahamasisha wananchi waikatae

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitatumia Rasimu ya Katiba Pendekezwa katika mchakato wa upatikanaji Katiba mpya, watahamasisha wananchi waikatae...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee, wenzake wafungua kesi rasmi kupinga uamuzi wa Chadema

  HALIMA Mdee na wenzake 18, wamefungua kesi katika Mahakama Kuu Masijala Kuu ya Dar es Salaam kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, baada...

Habari za SiasaTangulizi

Kenyatta: Dunia itatuheshimu EAC tukipata maendeleo kwa umoja wetu

  RAIS wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Uhuru Kenyatta amesema wananchi wa Jumuiya hiyo wakiungana na kushirikiana...

Habari za Siasa

Rais Samia mgeni rasmi siku ya mashujaa

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani anatarajiwa kuwa ngeni rasmi katika sherehe za kumbukumbu ya mashujaa itakayofanyika kitaifa...

Habari za SiasaTangulizi

Wakuu wa EAC wataka miundombinu bora kuwezesha soko huru

  WAKUU wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamesema ili mataifa hayo yaendelee inatakiwa kuwe na miundombinu bora ya usafirishaji pamoja...

Habari za Siasa

Rais Samia ataja mbinu kuinua kilimo Afrika Mashariki

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezihimiza nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Masharik (EAC), kuboresha sekta ya kilimo, ili uzalishaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Wadau wataka ushirikishwaji kamati kufumua vyombo vya dola

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameshauriwa kushirikisha wadau katika uundaji wa kamati ya kushauri namna bora ya ufumuaji wa vyombo vya haki jinai...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Ndumbaro: Katiba iliyopo ina mapungufu

  WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Damas Ndumbaro amesema  licha ya kuwa Katiba iliyopo inafaa lakini ina mapungufu yake ndio maana Serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aunda Kamati kufumua vyombo vya haki jinai

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati ya watu 12 na sekretarieti ya watu watano kwaajili ya kuchunguza na kumshauri muundo mzuri wa...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Ndumbaro: Katiba iliyopo ina mapungufu

WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Damas Ndumbaro amesema  licha ya kuwa Katiba iliyopo inafaa lakini ina mapungufu yake ndio maana Serikali imetoa...

Habari za SiasaTangulizi

Msuya: Mjadala wa Katiba uishe

WAZIRI Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya amesema ingependeza iwapo mchakato wa Katiba mpya ungefikia mwisho, ili kuruhusu Watanzania kufanya kazi, huku akisisitiza elimu ya...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi aipa JKU kazi alizowatimua wakandarasi binafsi

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amesema ameridhishwa na kazi zinazofanywa na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) na kuahidi kutoa kazi nytingi...

Habari za SiasaTangulizi

Lipumba amchambua Rais Samia, ampa 75%

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechambua uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassana ambapo amesema kwa kipindi cha mwaka mmoja...

Habari za SiasaTangulizi

NCCR-Mageuzi kuvishtaki vyombo vya habari

CHAMA cha NCCR-Mageuzi upande unaongozwa Haji Ambar Khamis umesema chombo cha habari kinachomtambua James Mbatia kama Mwenyekiti, watakishtaki. Anaripoti Faki Ubwa… ( endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Chenge aunga mkono Rasimu ya Katiba kuhusu Tume Huru

  MWANASHERIA Mkuu mstaafu wa Tanzania(AG), Andrew Chenge, amesema mapendekezo ya mfumo na muundo uliopendekezwa kwenye rasimu ya Katiba mpya kupata wajumbe wa...

Habari za Siasa

Lugangira ataka usawa kijinsia Sheria Vyama vya Siasa, Uchaguzi

  MBUNGE wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira ameshauri Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Uchaguzi kupitiwa upya ili kuleta usawa...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenyekiti Jumuiya Wazazi CCM asema kipindi cha nyuma walikalia msumari

  MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Dk. Edmund Mndolwa, meupiga madogo uongozi uliopita kwa kile alichoeleza kuwa ni kupitia kipindi kigumu...

Habari za SiasaTangulizi

Mrema ataka Tume Huru, “Katiba mpya sio mwarobaini”

  MWENYEKITI wa Chama cha (TLP), Augustine Mrema amesema ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki ni lazima kuwepo tume huru ya uchaguzi,...

Habari za Siasa

Rais Samia kufuata nyayo za Mkapa ushirikishaji sekta binafsi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameitaka jamii ibadili mtizamo wa kwamba Serikali inaweza kufanya kila kitu peke yake, bila ya ushirikishwaji...

Habari za Siasa

Washauri uchaguzi, mikutano ya siasa ifanyike kidigitali

  SERIKALI imeshauriwa kutumia teknolojia katika chaguzi na mikutano ya vyama vya siasa ili kupunguza gharama za uendeshaji wa shuguli hizo. Anaripoti Selemani...

error: Content is protected !!