Friday , 19 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Basilla ataka kero za wananchi zotatuliwe
Habari za Siasa

Basilla ataka kero za wananchi zotatuliwe

Spread the love

MKUU wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Basilla Mwanukuzi amewataka wakuu wa idara katika Wilaya hiyo kutatua kero za wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Basilla Mwanukuzi akizungumza na wananchi wa kata ya Rwengela.

Mwanukuzi ametoa maagizi hayo leo tarehe 17 Agosti, 2022 katika ziara ya mta kwa mta katika kata ya Rwengela.

Mkuu amesema wakuu wa idara wanapaswa kusikiliza wananchi ili kuzimaliza kwa wakati.

“Lengo la ziara hii ya mta kwa mta ni kusikiliza kero zenu naomba mziseme bila woga, na wakuu wa idara naomba mzifanyie kazi,” amesema.

Aidha, Mwanukuzi amewataka wakuu wa idara na viongozi wote kutoa elimu kuhusu umuhimu wa sensa, ili kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Tanzania, Uturuki zanuia kukuza biashara, uwekezaji

Spread the loveSERIKALI za Tanzania na Uturuki zimekubaliana kuendeleza dhamira ya kuimarisha...

Habari za Siasa

Tume huru ya uchaguzi yatangaza ajira watendaji daftari wapiga kura

Spread the love  TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza nafasi...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yatangaza ruti awamu ya pili maandamano

Spread the love  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema awamu ya...

Habari za Siasa

CCM yamkana mwenyekiti UVCCM aliyetaka wapinzani wapotezwe

Spread the love  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimejitenga na kauli ya mwenyekiti...

error: Content is protected !!