Friday , 3 May 2024

Michezo

Michezo

Michezo

Emirates wamfuta jasho msemaji Simba, wamzawadia Mil 2

  Kampuni ya Emirates Aluminium Profile imemzawadia kiasi cha shilingi Milioni mbili, Meneja Habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally, kwa...

Michezo

Kauli ya udhaifu wa Ligi yamuibua Ally Mayay

  Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Ally Mayay amefunga juu ya ubora wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kusema kuwa wanaosema...

Michezo

Siku 17, Yanga kumaliza Kazi, yasisitiza ubingwa ni suala la muda tu.

  KLABU ya Soka ya Yanga ndani ya siku 17 zijazo, huwenda ikamaliza mchezo kwa kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu soka...

HabariMichezoTangulizi

Kombe la Dunia FIFA kutua Tanzania

Kampuni ya vinjwaji Baridi ya Coca Cola kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA), linatarajia kulileta nchini kombe la Dunia...

HabariMichezo

Kanoute ‘Out’ dhidi ya Namungo

   KIUNGO mkabaji wa klabu ya Simba Raia wa Mali, Sadio Kanoute  hatokuwa sehemu ya kikosi cha klabu ya Simba kitakachoshuka dimbani kwenye...

HabariMichezo

Simba, Yanga zalimwa faini shilingi Mil. 4

  KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu (Kamati ya Saa 72), imezipiga faini klabu za Simba na...

HabariMichezo

Mkazi wa Ruvuma ashinda Sh 50Mil za BetPawa

  FRED ambaye Mkazi wa Ruvuma amejishindia Sh 50Mil kutoka Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya BetPawa baada ya kupatia idadi ya mipira...

MichezoNgumi

Tyson Fury amtwanga Dillian Whyte

BINGWA wa masumbwi, Tyson Fury alimemtandika kwa KO mbabe mwenzie Dillian Whyte katika raundi ya sita na kutwaa taji lake la uzito wa...

Makala & UchambuziMichezo

Wachezaji Simba onesheni ukubwa

WEKUNDU wa Msimbazi, Timu ya Simba kesho inacheza mchezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho barani...

HabariMichezo

Simba yawasili Afrika kusini, walia kunyimwa Askari

  KLABU ya Simba imewasili salama nchini Afrika Kusini kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Orlando Pirates, huku wakilalamika kuwa wenyeji...

HabariMichezo

Stars mdomoni mwa Algeria na Uganda

  TIMU ya Taifa ya Tanzania imepangwa kundi F, sambamba na timu za Taifa za Uganda na Algeria katika kuwania tiketi ya kufuzu...

Michezo

Simba: mechi ya Yanga ni nyepesi

  KLABU ya soka ya Simba imeonekana kutouwazia mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya wapinzani wa karibu klabu ya Yanga, kwa...

Michezo

Mchumba wa Maunda Zoro: Tulitarajia kufunga ndoa Julai

  MCHUMBA wa aliyekuwa Msanii wa Bongo fleva, Maunda Zoro ambaye amefariki dunia jana Kigamboni jijini Dar es Salaam, amefunguka kwamba alitarajia kufunga...

HabariMichezo

Orlando Pirates yaikaushia Simba

  KLABU ya Orlando Pirates ya nchi Afrika Kusini, mpaka sasa haijatoa taarifa kuwa ni lini inatarajia kuingia nchini, kwa ajili ya mchezo...

HabariMichezo

Simba yazindua kampeni ya hamasa kuimaliza Orlando

  KLABU ya soka ya Simba imezindua rasmi kampeni ya hamasa kuelekea mchezo wa hatua ya robo fainali wa michuano ya kombe la...

HabariMichezo

Ahmed Ally afunguka ubora wa Fiston Mayele

  MARA baada ya kuibuka mjadala kwenye mitandao ya kijamii juu ya ubora wa mshambuliaji wa klabu Yanga Fiston Mayele, Meneja Habari na...

Michezo

Nabi kuikosa Simba

  KOCHA mkuu wa Yanga, Mohammed Nabi hatokuwa sehemu ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Simba kufuatia kuoneshwa kadi nyekundu kwenye mchezo...

Michezo

Simba yaweka Ubingwa rehani, yalazimishwa sare na Polisi

  KLABU ya Simba ni kama imeweka ubingwa wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara rehani, baada ya kulizimishwa suluhu na kikosi cha Polisi...

Michezo

Simba, Yanga kushuka dimbani leo

  MIAMBA ya soka ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania ya Simba na Yanga inashuka dimbani katika michuano na muda tofauti leo...

HabariMichezo

Pablo amgalagaza Nabi

  KOCHA wa klabu ya Simba Pablo Franco amechaguliwa kuwa kocha bora wa LigI Kuu Tanzania Bara mwezi Machi mara baada ya kumshinda...

HabariMichezo

Chama amfunika Mayele

KIUNGO wa klabu ya Simba Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara mwezi Machi kufuatia kuonesha kiwango bora akiwa...

HabariMichezo

Majaliwa: Simba wameupiga mwingi

  WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Kassim Majaliwa, ameipongeza klabu ya soka ya Simba kwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania...

HabariMichezo

Barbara afunguka sakata la Morrison kuzuiliwa Afrika kusini

  MTENDAJI mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez amekili kuwa, huwenda winga wao Bernad Morisson atakosekana kwenye mchezo wa marudiano wa kombe...

HabariMichezo

Simba vitani tena na wasauzi Robo fainali ya shirikisho Afrika

  Klabu ya soka ya Simba Tanzania imepangiwa kukutana na Orlando Pirates ya nchini Afrika kusini katika robo fainali ya kombe la shirikisho...

HabariMichezo

Aucho, Fei Toto kuikosa Azam FC, Bangala Farid hati hati

  VIUNGO wa klabu ya Yanga Feisal Salum ‘Fei Toto’ sambamba na Khalid Aucho hawatakuwa sehemu ya kikosi cha klabu hiyo kitakachoshuka dimbani...

Michezo

Simba yatinga robo fainali kombe la Shirikisho kibabe

USHINDI wa mabao 4-0, ulitosha kuifanya klabu ya Simba kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika mara...

Michezo

Ruud Van Nistelrooy aula PSV Eindhoven

MSHAMBULIAJI, wa zamani wa Manchester United, Ruud Van Nistelroy ameteuliwa kuwa kocha Mkuu wa Klabu ya PSV Eidhoven inayoshiriki Ligi Kuu nchini Uholanzi....

Michezo

Steve  Nyerere  akubali yaishe, ajiuzulu usemaji SMT

  STEVEN Mangele maarufu Steve Nyerere ametangaza kujizulu nafasi ya Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT). Anaripoti Rhoda Kanuti, Dar es Salaam...

Michezo

Italia yang’olewa kombe la dunia

  MABINGWA wa Ulaya, Italia hawatacheza Kombe la Dunia la mwaka 2022 baada ya kushangazwa na Macedonia Kaskazini katika mechi yao ya mchujo...

HabariMichezo

Kim Poulsen akoshwa na bao la Samatta

  KOCHA wa Timiu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Kim Polusen ameonekana kukoshwa na bao la pili kwenye mchezo wa kimataifa wa...

HabariMichezo

Waziri Ndumbaro ataja faida za klabu ya Simba kutangaza utalii

  WAZIRI wa Maliasiri na utalii Dkt Damas Ndumbalo ameimwagia sifa klabu ya Simba katika jitihada zao za kutangaza utalii na kuefunguka juu...

Michezo

Waziri Mchengerwa atoa maagizo sakata la Steve Nyerere, wasanii

  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Mohamed Mchengerwa ameingilia kati sakata linaloendelea la msemaji mpya wa Shiriko la Muziki Tanzania,...

Michezo

Yanga taamu! Yairarua KMC mbele ya JK

VIGOGO – Yanga wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuizabua Klabu ya KMC mabao 2-0 usiku huu...

GazetiHabariMichezo

Yanga yamwalika Rais Samia Uwanjani, mchezo dhidi ya Kmc

KLABU ya soka ya Yanga, imemualika Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Suluhu Hassan, kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

Habari MchanganyikoMichezo

Serikali yafuta ada leseni za Youtube kwa wasanii, wanamichezo, wanahabari, kicheko

  SERIKALI imetoa ahueni kwa vyombo vya habari vya mtandaoni kwa kupunguza malipo ya ada ya leseni ya mwaka na kuwaondolea ada watoa...

MichezoTangulizi

Simba hatari, Ibenge hafui dafu kwa Mkapa

  BAO la dakika 42, lililowekwa kamabi na Pape Ousamne Sakho dhidi ya RS Berkane, lilitosha kuifanya klabu ya Simba kuwa kileleni kwenye...

Michezo

Rayvanny akiwasha Ufaransa, Mondi akizindua EP

MSANII wa Bongofleva kutoka lebo ya Wasafi, Raymond Mwakyusa ‘ Rayvanny’ amezidi kuzikwea ngazi za kimuziki duniani baada ya kuangusha bonge la shoo...

Michezo

MO afunguka usajili Simba, kuanza na Adebayor na Phiri

  RAIS wa heshima na mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji “MO” amefunguka kuwa klabu hiyo tayari imeshaanza mazungumzo na baadhi ya...

KimataifaMichezo

Muigizaji Jussie Smollett ahukumiwa jela siku 150

  MAHAKAMA nchini Marekani imemuhukumu mwigizaji, Jussie Smollett, kifungo cha siku 150 jela ,baada ya jopo la majaji kugundua kuwa alidanganya polisi kuhusu...

Michezo

Benzema amuweka Pochettino kikaangoni, Messi, Neymar aibu yao

KICHAPO cha goli 3 -1 ilichopokea Klabu ya PSG kutoka kwa wababe Real Madrid kimemuweka matatani kocha Mauricio Pochettino baada ya ndoto ya...

Michezo

Bilionea Uganda ajitosa kuinunua Chelsea

  BILIONEA Joel Jaffer A’ita raia wa Uganda ameibua gumzo baada ya kuwasilisha ombi la kutaka kuinunua Klabu ya Soka ya Chelsea inayoshiriki...

KimataifaMichezo

Mechi ya Uskochi na Ukrenia kufuzu kombe la dunia yaahirishwa

  MECHI ya nusu fainali katika michuano ya kufuzu fainali za kombe la dunia kati ya Uskochi na Ukrenia imeahirishwa. Inaripoti BBC …...

Michezo

Harmonize akanusha kumnyang’anya Country Boy gari

MKALI wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ na uongozi mzima wa rekodi lebo ya Konde Gang sio kweli kwamba walimpokonya msanii Country Boy...

Michezo

Mayele aibeba Yanga mbele ya Geita Gold

MFUMANIA nyavu wa Yanga Sc. Fiston Mayele anaweza kuweka rekodi ya kuwa mfungaji aliyefunga goli mapema zaidi ikiwa ni sekunde ya 50 tangu...

Michezo

Kocha Biashara: Tuna timu ya kupambana na Simba

  KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya klabu ya Simba, kocha mkuu wa kikosi cha Biashara United Vivie Bahati, amefunguka...

Michezo

Wanamichezo Urusi, Belarus wapigwa marufuku Paralimpiki

WANAMICHEZO wote waliotarajia kushiriki michezo ya Paralimpiki msimu wa baridi, inayotarajiwa kuanza rasmi kesho Beijing nchini China, wamepigwa marufuku. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Taarifa...

KimataifaMichezo

Grand P amvisha pete mchumba wake live kwenye TV

  MWIMBAJI mwenye umbo la mbilikimo kutoka nchini Guinnea, Moussa Kaba maarufu kama Grand P amemvalisha pete mpenzi wake mwenye umbo matata raia...

HabariMichezo

GSM wapata pigo

BABA mzazi wa mfanyabiashara maarufu na mfadhiri wa klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohammed (GSM), mzee Said Mohamed amefariki Dunia leo Jumanne tarehe...

Michezo

Kapombe, Inonga, Banda kuchuana

  MABEKI wa klabu ya Simba Shomary Kapombe na Henock Inonga sambamba na kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Peter Banda wamewekwa kwenye kinyang’anyiro...

Michezo

Nabi: Ni bahati kuwa na mchezaji kama Mayele

  KOCHA mkuu wa kikosi cha Yanga, Mohammed Nasredin Nabi hakusita kumwagia sifa mshambuliaji wake kiongozi, Fiston Mayele raia wa Jamhuri ya Congo...

error: Content is protected !!