Wednesday , 17 April 2024

Michezo

Michezo

HabariMichezo

Yanga waiteka Dar, Pitso awavuliwa kofia

  Klabu ya soka ya Yanga, hii leo tarehe 26 Juni 2022, ilisimamisha jiji la Dar es Salaam, kwa hafla yao ya kusherekea...

HabariMichezo

Simba mambo magumu Mbeya

  KLABU ya Simba imejikuta kwenye wakati mgumu, kufuatia kupoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukubali kichapo cha bao 1-0,...

Michezo

Kill Challenge 2022 kuanza kutimua vumbi Julai 15

MASHINDANO ya Kill Challenge 2022 yanayoratibiwa na Kampuni ya Geita Gold Mine Limited (GGML) yanatarajia kuanza kutimua vumbi Julai 15 mwaka huu yakianzia...

HabariMichezo

Yanga kukabidhiwa kombe jijini Mbeya

  Mara baada ya tarehe 15 Juni 2022, kutangzwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu ya Yanga itakabidhiwa rasmi kombe...

HabariMichezo

Rasmi Mane amtikia Bayern

  MARA baada ya kuhudumu katika kipindi cha misimu sita, hatimaye klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza immemruhusu rasmi kuondoka kwenye klabu hiyo,...

Michezo

Simba waachana na Pascal Wawa, kumuaga Alhamisi

  BENKI kisiki wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, Pascal Wawa ametangazwa kuachana na timu hiyo aliyoitumikia kwa...

MichezoTangulizi

Tembo Warriors watua kishujaa bungeni, Spika awapa neno

  KWA mara ya pili, leo tarehe 16 Juni, 2022 Bunge limetengua kanuni ya 160 (1) ambayo inatoa masharti kwa wageni wasio wabunge...

HabariMichezo

Geita Gold FC yatembelea miradi inayofadhiliwa na GGML

TIMU ya mpira wa miguu ya Geita Gold Football Club inayofadhiliwa na Kampuni ya GGML imetembelea miradi ya jamii inayofadhiliwa na kampuni hiyo...

Michezo

Viwanja vitano kuwekwa nyasi bandia

  SERIKALI imesema imepanga kuweka nyasi bandia katika viwanja vitano katika mwaka wa fedha 2022/23. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Hayo yameelezwa...

Michezo

Kocha Pitso wa Al Ahly aachana na klabu yake

PITSO Mosimane ameachana na miamba ya Misri Al Ahly kwa makubaliano, miezi mitatu baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kama kocha...

HabariMichezo

GSM waiteka Yanga, Kutawala nafasi za juu za uongozi

  HARAKATI za uchaguzi mkuu wa klabu ya Yanga zimeanza kushika kasi, mara baada ya wanachama mbalimbali kujitokeza katika zoezi hilo, huku upande...

HabariMichezo

Mchakato wa kocha mpya Simba wafikia patamu, Mmorocco apewa nafasi

  NI kama mchakato wa kumtafuta kocha mpya wa klabu ya Simba umeendelea kupamba moto, kufuatia mpaka sasa uongozi wa klabu hiyo kupokea...

Michezo

Mwakalebela akubali yaishe, atangaza rasmi kutogombea kwenye uchaguzi mkuu

  MWANACHAMA mwandamizi na makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Frederick Mwakalebela ameweka wazi nia yake ya kutogombea nafasi yoyote ya uongozi ndani...

HabariMichezo

FIFA yaipongeza Serengeti Girls

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA), limeipongeza Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kwa kufanikiwa kufuzu kwenye michuano ya kombe la dunia...

Michezo

Serengeti Girls yatinga bungeni, Nahodha ahutubia

  NI heshima kubwa. Ndivyo unaweza kuelezea kile ambacho Timu ya Taifa ya soka la Wanawake chini ya miaka 17 ‘Serengeti Girls’ ya...

HabariMichezo

Rais Samia awamwagia pongezi Serengeti Girls

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza Timu ya Taifa hilo ya soka la Wanawake chini ya miaka 17 ‘Serengeti Girls’ kwa...

HabariMichezo

Tanzania yatinga kombe la Dunia kwa mara ya kwanza

  TIMU ya Taifa ya Wasichana chini ya umri wa miaka 17, (Serengeti Gilrs), imefanikiwa kutinga kwa mara ya kwanza kwenye fainali za...

HabariMichezo

Uchebe azua hofu kurejea Simba, alia upweke

KOCHA mkuu wa klabu ya AFC Leopards inayoshiriki Ligi Kuu nchini Kenya, Patrick Aussems maarufu kama ‘Uchebe’ ameondoka nchini humo kabla ya msimu...

HabariMichezo

Lacazette aaga Arsenal, awaachia ujumbe mzito

MSHAMBULIAJI matata wa Arsenal, Alexandre Lacazette amewaachia ujumbe mzito mashabiki wa timu hiyo ya Ligi Kuu England baada ya klabu hiyo kutangaza kuwa...

HabariMichezo

Antonio Rudiger atua Real Madrid

BEKI matata kutoka Ujerumani, Antonio Rudiger amekamilisha uhamisho wake kutoka Chelsea kuelekea Real Madrid. Tarehe 2 Juni, 2022 The Blues walimuaga Rudiger baada...

Michezo

Try Again: Simba tunarudi kwa kishindo

  MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa timu ya Simba nchini Tanzania, Salim Abdallah maarufu ‘Try Again’ amesema, wamejipanga kufanya mabadiliko makubwa kwenye...

HabariMichezo

Rasmi Pogba aondoka Manchester United

  KLABU ya Manchester United imeachana rasmi na kiungo wake Paul Pogba, mara baada ya kumaliza mkataba wake ndani ya klabu hiyo ambayo...

MichezoTangulizi

Simba yaachana na Pablo

  MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, klabu ya soka ya Simba imeachana rasmi na kocha wake Pablo Franco Martni mara...

Michezo

Mourinho aingia kwenye rekodi mpya barani Ulaya

  KOCHA wa zamani wa Chelsea na Manchester United za Uingereza, Jose Mourinho ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha AS Roma ameimeingia kwenye...

Michezo

Mayele atetema Mwanza, mabao 14 sawa na Mpole

BAO la dakika 74 lililowekwa kambani na Fiston Mayele kwenye mchezo dhidi ya Biashara United lilitosha kumfanya mshambuliaji huyo wa klabu ya Yanga...

HabariMichezo

Kim aita 28 Stars

  KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Kim Poulsen ameita wachezaji 28 watakaojiunga na kambi, kwa ajili ya maandalizi ya...

HabariMichezo

Mauya miwili tena Yanga

  KIUNGO mkabaji wa klabu ya Yanga Zawadi Mauya ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga utakaomfanya kusalia ndani ya...

HabariMichezo

Nabi: ubingwa bado, subirini kidogo

  Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Mohammed Nasredine Nabi amewataka mashabiki wa klabu hiyo kutulia kwa sasa kuhusu suala la ubingwa, kwani...

HabariMichezo

Frankfurt mabigwa wapya wa Europe League

  Klabu ya soka ya Frankfurt ya nchini Ujerumani imefanikiwa kutwaa ubigwa wa Europa League msimu huu wa 2021/2022 baada ya jana kuifunga...

MichezoTangulizi

Simba, Azam FC hakuna mbabe, Yanga ubingwa njia nyeupe

  KLABU za Simba na Azam FC zimetoshana nguvu kwa sare ya mabao 1-1, kwenye mchezo wa mzunguko wa 24 wa Ligi Kuu...

HabariMichezo

Yanga waiweka Simba mtegoni

WAKATI ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ukingoni, huku bado kukiwa na vita ya ubingwa Kati ya mafahari wawili wa soka la Tanzania, kkabu...

HabariMichezo

Kocha Mbeya Kwanza afungiwa miaka mitano

  KOCHA wa klabu ya Mbeya Kwanza inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, Mbwana Makata pamoja na meneja wa kikosi hiko David Naftari wamefungiwa...

Michezo

Mayele alia kukamiwa na mabeki Ligi Kuu

  MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga, Fiston Mayele amefunguka sababu zilizofanya kushindwa kupachika bao lolote katika michezo minne ya Ligi Kuu Tanzania Bara,...

HabariMichezo

Simba wampa mkono wa kwaheri Morrison

  HATIMAYE klabu ya Simba imempa mkono wa kwaheri kiungo wake mshambuliaji Bernard Morrison, Raia wa Ghana ambaye atakauwa nje ya kikosi hiko...

Michezo

Dakika 270, Yanga bila bao

  MARA baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana dhidi ya Tanzania Prison, klabu ya Soka ya Yanga imetikiza dakika 27o sawa na...

HabariMichezo

Inonga akabadhiwa Tuzo na Emirates mchezaji bora Aprili

  Mlinzi wa kati wa klabu ya Simba, Henock Inonga amekabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki (Emirate Aluminium Simba ACP Fans Player...

Michezo

Emirates wamfuta jasho msemaji Simba, wamzawadia Mil 2

  Kampuni ya Emirates Aluminium Profile imemzawadia kiasi cha shilingi Milioni mbili, Meneja Habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally, kwa...

Michezo

Kauli ya udhaifu wa Ligi yamuibua Ally Mayay

  Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Ally Mayay amefunga juu ya ubora wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kusema kuwa wanaosema...

Michezo

Siku 17, Yanga kumaliza Kazi, yasisitiza ubingwa ni suala la muda tu.

  KLABU ya Soka ya Yanga ndani ya siku 17 zijazo, huwenda ikamaliza mchezo kwa kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu soka...

HabariMichezoTangulizi

Kombe la Dunia FIFA kutua Tanzania

Kampuni ya vinjwaji Baridi ya Coca Cola kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA), linatarajia kulileta nchini kombe la Dunia...

HabariMichezo

Kanoute ‘Out’ dhidi ya Namungo

   KIUNGO mkabaji wa klabu ya Simba Raia wa Mali, Sadio Kanoute  hatokuwa sehemu ya kikosi cha klabu ya Simba kitakachoshuka dimbani kwenye...

HabariMichezo

Simba, Yanga zalimwa faini shilingi Mil. 4

  KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu (Kamati ya Saa 72), imezipiga faini klabu za Simba na...

HabariMichezo

Mkazi wa Ruvuma ashinda Sh 50Mil za BetPawa

  FRED ambaye Mkazi wa Ruvuma amejishindia Sh 50Mil kutoka Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya BetPawa baada ya kupatia idadi ya mipira...

MichezoNgumi

Tyson Fury amtwanga Dillian Whyte

BINGWA wa masumbwi, Tyson Fury alimemtandika kwa KO mbabe mwenzie Dillian Whyte katika raundi ya sita na kutwaa taji lake la uzito wa...

Makala & UchambuziMichezo

Wachezaji Simba onesheni ukubwa

WEKUNDU wa Msimbazi, Timu ya Simba kesho inacheza mchezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho barani...

HabariMichezo

Simba yawasili Afrika kusini, walia kunyimwa Askari

  KLABU ya Simba imewasili salama nchini Afrika Kusini kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Orlando Pirates, huku wakilalamika kuwa wenyeji...

HabariMichezo

Stars mdomoni mwa Algeria na Uganda

  TIMU ya Taifa ya Tanzania imepangwa kundi F, sambamba na timu za Taifa za Uganda na Algeria katika kuwania tiketi ya kufuzu...

Michezo

Simba: mechi ya Yanga ni nyepesi

  KLABU ya soka ya Simba imeonekana kutouwazia mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya wapinzani wa karibu klabu ya Yanga, kwa...

Michezo

Mchumba wa Maunda Zoro: Tulitarajia kufunga ndoa Julai

  MCHUMBA wa aliyekuwa Msanii wa Bongo fleva, Maunda Zoro ambaye amefariki dunia jana Kigamboni jijini Dar es Salaam, amefunguka kwamba alitarajia kufunga...

HabariMichezo

Orlando Pirates yaikaushia Simba

  KLABU ya Orlando Pirates ya nchi Afrika Kusini, mpaka sasa haijatoa taarifa kuwa ni lini inatarajia kuingia nchini, kwa ajili ya mchezo...

error: Content is protected !!