Michezo
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limesema uuzaji wa bia hautaruhusiwa ndani ya uwanja wakati mechi ikiwa inaendelea isipokuwa kwa masharti maalumu...
By Gabriel MushiSeptember 4, 2022Timu ya Soka ya wanawake ya Simba (Simba Queens) leo Septemba 2 2022 imepewa basi na kampuni ya uuzaji wa magari ya...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2022WACHEZAJI wa kimataifa Tuisila Kisinda pamoja na nyota kutoka Burundi Saido Ntibanzokiza wameng’ara dakika za mwisho wakati wa kufungwa kwa dirisha la...
By Kelvin MwaipunguSeptember 1, 2022MATAJIRI wa jiji la Dar es Salaam – Azam FC leo tarehe 29 Agosti, 2022 wamethibitisha kumbadilishia majukumu kocha wao mkuu, Abdihamid...
By Masalu ErastoAugust 29, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Soka ya Simba Qeens SC kwa kutwaa ubingwa wa Afrika Mashariki wa CECAFA 2022 kwa Wanawake...
By Gabriel MushiAugust 28, 2022MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Barcelona raia wa Poland, Robert Lewandowsik amefungua rasmi akaunti ya mabao katika klabu yake mpya baada ya jana...
By Masalu ErastoAugust 22, 2022UONGOZI wa klabu ya Simba umetoa pole kwa wapinzani wao Yanga kufuatia ajali ya gari la mashabiki wa timu hiyo lililokuwa linaelekea...
By Masalu ErastoAugust 20, 2022MTU mmoja amefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana usiku tarehe 19 Agosti, 2022 katika barabara ya...
By Masalu ErastoAugust 20, 2022MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu ya soka ya Yanga hii leo Tarehe 19 Agosti 2022, imeingia rasmi kandarasi ya...
By Kelvin MwaipunguAugust 19, 2022Aliyekuwa mlinda mlango wa klabu ya Yanga Ramadhan Kabwili, rasmi amejiunga na klabu ya soka ya Rayon Sport ya nchini Rwanda kama...
By Masalu ErastoAugust 18, 2022KLABU ya soka ya Simba imefanikiwa kurudi kileleni katika msimu wa Ligi kuu Tanzania bara baada ya jana tarehe 17 Agosti 2022 kuibuka...
By Gabriel MushiAugust 18, 2022MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara klabu ya soka ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa kwanza wa...
By Kelvin MwaipunguAugust 16, 2022BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza mabadiliko ya kanuni za Ligi Kuu Tanzania Bara zitakazotumika katika msimu ujao wa 2022/23 ambapo kuanzia...
By Masalu ErastoAugust 15, 2022KIKOSI cha KMC imetua jijini Arusha kwa maandaizi ya michezo yake miwili ya Ligi Kuu ya NBC, msimu wa 2022/23 itakayopigwa tarehe...
By Masalu ErastoAugust 15, 2022Ligi kuu ya soka Tanzania Bara msimu wa 2022/23 kuanza kutimua vumbi leo 15 Agosti 2022 kwa kushuhudia mechi mbili katika viwanja viwili...
By Masalu ErastoAugust 15, 2022KLABU ya Soka ya YANGA imeanza vema msimu mpya kwa kutetea taji lao la Ngao ya Jamii kwa ushindi wa mabao 2-1...
By Masalu ErastoAugust 14, 2022MIONGONI mwa burudani zilizokuwa zinasubiriwa kwa hamu ni pamoja na kilele cha Siku ya Mwananchi na Siku ya Simba, sherehe ambazo huambatana na...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2022MCHEZAJi maarufu wa tenisi ulimwenguni, Serena Williams, amepanga kujiuzulu rasmi mchezo huo, akisema kuwa atakuwa “anaondoka ” katika mchezo huo baada ya...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2022WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezho, Mohamed Mchengerwa leo tarehe 9, 2022 amemuagiza Katibu Mkuu wizara hiyo, Dk. Hassan Abbasi kumpangia majukumu mengine...
By Gabriel MushiAugust 10, 2022KILELE cha Sherehe ya Siku ya Simba ‘Simba Day’ kimetamatika kwa kwa cheko la furaha baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2:0...
By Gabriel MushiAugust 8, 2022Walio kuwa wachezaji wa klabu ya Simba Meddie Kagere pamoja na Thadeo Lwanga wameagwa rasmi leo Agosti 6 2022 katika kilele cha...
By Masalu ErastoAugust 8, 2022SEKRETARIETI ya Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) imewafungulia mashtaka ya kimaadili Rais wa Yanga Mhandisi Hersi Said na aliyekuwa Msemaji wa...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022Mshambuliaji wa kimataifa wa raia wa Ghana Bernard Morison ameomba radhi kwa mashabiki wa klabu ya Yanga kwa yale yote yaliotokea kipindi alipoondoka...
By Masalu ErastoAugust 6, 2022MABINGWA wa Uganda, Vipers SC wamevuruga sherehe za kilele cha Siku ya Wananchi – Yanga S.C baada ya kuwaadhibu kwa bao 2 -0...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2022KLABU ya soka ya Simba imetangaza rasmi kuwa itacheza mchezo wa kirafiki na timu ya St. George ya Ethiopia katika maadhimisho ya...
By Masalu ErastoAugust 5, 2022MSANII maarufu nchini Tanzania Nandy ameelezea kwa uwazi vituko anavyofanya kutokana na hali yake ya ujauzito. Anaripoti Juliana Assenga, UDSM … (endelea)....
By Masalu ErastoAugust 5, 2022KLABU ya soka ya Simba yenye makazi yake mitaa ya Msimbazi jijini Dar es Salaam wanatarajia kurejea nchini leo tarehe 4 Agosti,...
By Masalu ErastoAugust 4, 2022MECHI inayo vikutanisha vigogo wa soka la Tanzania Simba na Yanga (Kariakoo Derby) katika Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2022/23, inatarajiwa...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2022KLABU ya soka ya Simba inayoshiriki Ligi kuu Tanzania Bara, imesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya kubashiri ya M-Bet kama...
By Masalu ErastoAugust 1, 2022klabu ya soka ya Yanga yenye makazi yake mitaa ya Jagwani na Twiga jijini Dar es salaam imetangaza rasmi viingilio vyote vitakavyotumika katika ...
By Masalu ErastoAugust 1, 2022Mabjngwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara klabu ya soka ya Yanga, imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja beki wake wa kulia Raia wa...
By Kelvin MwaipunguJuly 31, 2022KLABU ya Soka ya Simba hii leo tarehe 31 Julai 2022, imezindua rasmi wiki yao kuelekea kwenye tamasha kubwa la Siku ya...
By Kelvin MwaipunguJuly 31, 2022Mwanariadha Alphonce Simbu amekuwa Mtanzania wa kwanza kutwaa medali kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola msimu huu inayoendelea Uingereza. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Gabriel MushiJuly 31, 2022MARA baada ya kupoteza mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu, kocha mkuu wa klabu ya Simba Zoran Maki ameanza tena kulifanyia kazio...
By Kelvin MwaipunguJuly 29, 2022ZIKIWA zimebaki wiki mbili sawa na siku 14, kabla ya klabu za Simba na Yanga kushuka dimbani kwenye mchezo wa ufunguzi wa...
By Kelvin MwaipunguJuly 26, 2022TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya Somal;ia katika kutafuta tiketi ya kufuzu...
By Kelvin MwaipunguJuly 23, 2022KAMATI ya maadili ya shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemfungia msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara, kujihusisha na mchezo...
By Kelvin MwaipunguJuly 21, 2022‘COUPLE’ maarufu wa Bongofleva, William Lyimo ‘Billnass’ na Faustina Mfinanga ‘Nandy’ leo tarehe 16 Julai, 2022 wamefunga ndoa takatifu katika Kanisa la...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2022KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzani (Taifa Stars) kimeingia kambini hii leo tarehe 15 Julai, kujiandaa na mchezo wa kufuzu kwa...
By Kelvin MwaipunguJuly 16, 2022KLABU ya soka ya Simba imeondoka nchini hii leo tarehe 14 Julai 2022 kuelekea nchini Misri kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu...
By Kelvin MwaipunguJuly 14, 2022KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania Kim Poulsen amita wachezaji 24, wa timu ya Taifa ya Tanzania watakaoingia kambini kwa ajili...
By Kelvin MwaipunguJuly 13, 2022KLABU ya Simba imeendelea kushika kasi kwenye usajili wa wachezaji mbalimbali, kufuatia hii leo tarehe 13 Julai 2022, kutmabulisha kiungop mshambuliaji Agustine...
By Kelvin MwaipunguJuly 13, 2022KLABU ya soka ya Simba inatarajia kuondoka nchini kwenda nchini Miosri kwa ajili ya kufanya maandalizi ya msimu mpya ujao wa mashindano...
By Kelvin MwaipunguJuly 12, 2022WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohammedi Mchengerwa amesema kifo cha muigizaji mkongwe Chuma Suleiman maarufu kama Bi Hindu kimeacha pengo kubwa...
By Faki SosiJuly 11, 2022IKIWA katikati ya mkutano mkuu wa mwaka wa klabu hiyo, ambao umebeba ajenda kubwa ya Uchaguzi, Rais mteule wa klabu hiyo Mhandisi...
By Kelvin MwaipunguJuly 9, 2022FAMILIA ya Muigizaji mkongwe nchini, Chuma Selemani maarufu kama ‘Bi Hindu’, imeweka wazi maradhi yaliyosababisha umauti wa mkongwe huyo kwenye sanaa ya...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2022Klabu ya soka ya Yanga Mabigwa wa Ligi ya NBC usiku wa jana 7 julai 2022 wameibuka vinara baada ya kutwaa tuzo...
By Masalu ErastoJuly 8, 2022RAIS wa zamani wa Fifa Sepp Blatter na makamu wa rais Michel Platini wote wamepatikana bila hatia kufuatia kesi yao ya ulaghai. Anaripoti...
By Gabriel MushiJuly 8, 2022Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa amezitaka klabu nchini kuhakikisha wanamili viwanja vyao ili kukuza ustawi wa soka nchini, ambapo...
By Masalu ErastoJuly 8, 2022Mgombea wa nafasi ya Urais katika klabu ya soka ya Yanga ya Jijini Dar es salaam Injinia Hersi Saidi leo 5 julai,...
By Masalu ErastoJuly 5, 2022