Friday , 19 April 2024

Michezo

Michezo

MichezoTangulizi

Mfalme wa Soka duniani – Pele afariki dunia

GWIJI wa soka raia wa Brazil – Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pele amefariki dunia leo tarehe 29 Disemba, 2022 akiwa na...

KimataifaMichezo

Mjukuu wa Bob Marley afariki dunia

  BILA shaka mwaka wa 2022 utakuwa unaeleka ukingoni huku ukiacha giza nene katika familia ya mkongwe na muasisi wa muziki aina ya...

KimataifaMichezo

Chumba alicholala Messi nchini Qatar kugeuzwa makumbusho

  CHUO kimoja nchini Qatar kimetangaza kuwa kina mpango wa kugeuza chumba ambacho staa wa Argentina, Lionel Messi alikuwa akitumia kama malazi yake...

Michezo

NMB kudhamini Mapinduzi Cup 2023, Simba na Yanga…

BENKI ya NMB itakuwa mdhamini mashindano ya kombe la Mapindizi 2023 yanayotarajiwa kuanza Januari 1, 2023 katika Uwanja wa Amaan Unguja, Pemba kwa...

MichezoTangulizi

Argentina bingwa wa dunia, Messi aweka historia

  TIMU ya Taifa ya Argetina imevunja rekodi ya miaka 36 iliyopita baada ya kuinyuka Ufaransa jumla ya penalti 4 – 3 na...

Michezo

Seleman Mpepe wa Nachingwea abongeka na Bikosports

MKAZI wa Nanyumbu mkoani Mtwara, Selemani Mpepe, ameibuka na bonasi bonge ya kiasi cha Sh milioni 4 kutoka kwenye mchezo wa kubashiri matokeo...

Michezo

GBT yachangia ukuaji bahati nasibu

BODI ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imesema kuwa imekuwa na mchango mkubwa katika kuweka kanuni na sera ili kusaidia ukuaji wa michezo...

HabariMichezo

Mtangazaji wa soka azirai na kufariki akitangaza mechi Qatar

MWANDISHI wa habari aliyejizolea umaarufu kwa utangazaji mechi za soka kutoka Marekani, Grant Wahl (49) amefariki dunia nchini Qatar baada ya kuzimia alipokuwa...

MichezoTangulizi

Morocco yatinga nusu fainali, Ronaldo amwaga chozi

TIMU ya Taifa ya Morocco imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kuiondoa timu ya Taifa...

Michezo

Washindi NBC Jaza Kibubu Tusepe Qatar Wakwea ‘Pipa’ Kuishuhudia Uingireza na Ufaransa

YAMETIMIA! Hatimaye washindi wa wanne wa kampeni ya Jaza Kibubu Tusepe Qatar inayoendeshwa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wameanza safari  jana...

Michezo

Penzi la Kajala, Harmonize lavunjika tena!

YAMKINI uhusiano kati ya Msanii wa Bongo Muvi, Kajala Masanja na wa Bongofleva Rajabu Abdul ‘Harmonize’, umevunjika. Hatua hiyo inakuja baada ya jana...

MichezoTangulizi

Ihefu yavunja rekodi ya Yanga, yaipiga 2-1

  WAKULIMA wa mpunga kutoka wilayani Mbarali mkoani Mbeya, Ihefu FC wameivunja rekodi ya Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC. ya kutofungwa...

Michezo

NBC yakabidhi zawadi kwa kocha, mchezaji bora mwezi Oktoba

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambayo ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana ilikabidhi...

Michezo

FIFA waomba vita kati ya Russia, Ukraine isitishwe kupisha Kombe la Dunia

  RAIS wa shirikisho la kandanda duniani, Gianni Infantino ametoa wito wa kusitishwa kwa muda wa mwezi mmoja vita kati ya Urusi na...

Michezo

NBC yamwaga mikopo ya mabasi kwa vilabu

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambaye ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara (NBC Premier League) imesisitiza kuhusu...

Habari MchanganyikoMichezoTangulizi

Kocha Simba, Cambiasso, Matola mbaroni kwa dawa za kulevya

  JUMLA ya watuhimiwa 11 wamekamatwa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) ikiwamo Kocha wa makipa wa Klabu ya...

MichezoTangulizi

Yanga waikamua Kagera Sugar, warejea kileleni

KLABU ya Soka la Yanga imeibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu Bara...

Michezo

Chama, Aziz Ki wafungiwa, Yanga wapigwa faini milioni 5

  VIUNGO washambuliaji Clatous Chama raia wa Zambia (Simba) na Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso (Yanga), wamefungiwa mechi tatu kila mmoja...

Michezo

Msugu-Machinjioni waibuka mabingwa wa GGML – Toto Cup

TIMU ya watoto ya Mgusu Machinjioni imefanikiwa kutwaa taji la GGML- Toto Cup baada ya kuifunga timu ya Elimu Uwangani kwa jumla ya...

Michezo

Morrison aibeba Yanga mbele ya Geita

BAO la mkwaju wa penalti ambalo limefungwa na winga machachari, Bernard Morrison wa klabu ya Yanga katika dakika ya 45 limetosha kuwaandikia Wana-jangwani...

Michezo

Tanzania kuandaa mpango kuhakikisha inashiriki Kombe la Dunia 2030

  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerwa amesema Wizara hiyo inaandaa mpango mkakakati kuhakikisha 2030 Tanzania inashiriki kombe la Dunia, huku...

Michezo

Tanzania mwenyeji mashindano ya dunia ya urembo kwa viziwi

  TANZANIA imekuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya utanashati, urembo na mtindo ya watu wenye tatizo la kusikia ‘viziwi’ (Miss & Mister...

Michezo

Nyota wanne Simba kuikosa Azam kesho

KLABU ya Soka ya Simba inatarajiwa kuwakosa nyota wake wanne kuelekea mchezo wa kesho tarehe 27 Oktoba 2022 ambapo Simba watakuwa wageni wa...

HabariMichezo

Yanga yajitokeza Sakata la Nabi

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukanusha taarifa ya kuondoka kwa kocha wao Mkuu, Mohamed Nabi mara baada ya kuenea tetesi za kuachana...

Michezo

Benki ya NBC ilivyoipamba Derby ya Kariakoo

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana iliipamba...

MichezoTangulizi

Simba, Yanga hakuna mbabe

BAHATI yao! Ndilo neno lililotamalaki katika ndimi za mashabiki wa timu kongwe nchini, Simba na Yanga baada ya leo tarehe 23 Oktoba, 2022...

Michezo

Vituko vya Morrison vyatua Stanford Bridge

KIUNGO wa Chelsea, Matteo Kovacic jana ametenga anga soka na kugeuka gumzo katika uwanja wa Stamford Bridge -London nchini Uingereza baada ya mchezo...

Michezo

Breaking news! Azam FC yamtimua Kocha Mkuu

  BODI ya Klabu ya Azam FC imesitisha mkataba na Denis Lavagne, kama kocha mkuu, kuanzia leo tarehe 22 Oktoba, 2022. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Rais Samia awapongeza Ramadhan Brothers

  RAIS Samia Suluhu Hassan amepongeza wasanii wawili wa sarakasi kutoka Tanzania, Ibrahim na Fadhili Ramdhan wanaounda kundi la The Ramadhan Brothers baada...

HabariMichezoTangulizi

Yanga wapewa wababe wa Kipanga kombe la Shirikisho.

  MARA baada ya kuangukia kwenye michuano ya kombe la Shirikisho, klabu ya soka ya Yanga imepangwa kumenyana dhidi ya Club Africain ya...

Michezo

Serikali yaja na mfuko wa kukopesha wasanii bila riba

  Serikali inatarajia kuanzisha mfuko maalum kwa ajili ya kuwezesha wasanii wote nchini kupata fursa ya kukopa bila riba na kujikwamua kiuchumi pamoja...

MichezoTangulizi

Benzema amaliza tambo za Ronaldo, Messi, abeba Ballon d’Or

  MSHAMBULIAJI hatari raia wa Ufaransa, Karim Benzema anayekipiga katika Klabu ya Real Madrid ya nchini Uhispania, ametwaa tuzo ya mchezaji soka bora...

Michezo

Tigo, Hisense wapeleka watatu Kombe la Dunia

KAMPUNI inayoongoza kwa utoaji wa huduma za kidijitali Tigo Tanzania na Hisense kupitia Promosheni yake ya ‘WAKISHUA TWENZETU QATAR’ na HISENSE wametoa tiketi...

Michezo

GGML wazindua mashindano ya soka kwa watoto wanaozunguka mgodi

KAMPUNI ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu Geita (GGML) imezindua mashindano ya mpira wa miguu kwa watoto wanaozunguka mgodi huo ili kukabiliana na changamoto...

Michezo

NMB yadhamini milioni 25 michuano ya Golf- Lugalo

BENKI ya NMB imetoa udhamini wa Sh. milioni 25 kwa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2022), kama...

HabariMichezo

Michezo mwezi Oktoba, Simba ni jasho na damu

  IKIWA kawa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara, imesimama kwa baadhi ya timu ili kupisha michezo ya kimataifa kwenye kalenda ya Shirikisho la...

Michezo

Umemsikia Mayele, hana wasiwasi na Al Hilal

  MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele ameonekana kutokuwa na wasiwasi na mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...

Michezo

Majaliwa mgeni rasmi mbio za NMB Marathon 2022

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya mbio za NMB Marathon 2022 yanayotarajiwa kufanyika Oktoba mosi katika viwanja vya...

Michezo

Sakata la idadi ya wachezaji wa kigeni laibuka bungeni

  SERIKALI imesema licha ya kuwepo kwa idadi kubwa wa wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu Bara, itaendelea kulishauri Shirikisho la Mpira wa...

MichezoTangulizi

Yanga, Simba wang’ara kimataifa

WATANI wa jadi Simba na Yanga wameanza vema kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa baada ya kuibuka na ushindi mnono ugenini katika raundi ya...

Michezo

Geita Gold FC. matumaini kibao wakiwavaa Wasudan

MATAJIRI wa madini, Klabu ya Geita Gold kesho wanatarajia kurusha karata yao ya kwanza katika michuano ya kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho Barani...

HabariMichezoTangulizi

Mgunda kuiongoza Simba Ligi ya Mabingwa Afrika.

  Klabu ya Soka ya Simba imemtangaza Juma Mgunda kuwa kocha wa muda wa klabu hiyo atakayesaidiana na Seleman Matola, kuelekea mchezo wa...

MichezoTangulizi

Simba SC. wamtimua kocha mkuu Zoran Maki

KLABU ya Soka ya Simba SC. imemtimua Kocha Mkuu wa kikosi cha timu hiyo, Zoran Maki baada ya kufikia makubaliano ya pande zote...

Michezo

Azam FC yapata kocha mpya, apewa mwaka 1

MATAJIRI wa jiji la Dar es Salaam kutoka  Chamazi – Timu ya soka ya Azam FC baada ya kuanza msimu mpya wa Ligi...

MichezoTangulizi

Wanywa bia Kombe la Dunia wapewa masharti

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA)  limesema uuzaji wa bia hautaruhusiwa ndani ya uwanja wakati mechi ikiwa inaendelea isipokuwa kwa masharti maalumu...

HabariMichezo

Simba Queen wapewa basi kwa Safari za ndani

  Timu ya Soka ya wanawake ya Simba (Simba Queens) leo  Septemba 2 2022 imepewa basi na kampuni ya  uuzaji wa magari ya...

HabariMichezo

Kisinda, Ntibazonkiza wafunga dirisha la usajili Tanzania

  WACHEZAJI wa kimataifa Tuisila Kisinda pamoja na nyota kutoka Burundi Saido Ntibanzokiza wameng’ara dakika za mwisho wakati wa kufungwa kwa dirisha la...

Michezo

Azam FC wambadilishia majukumu kocha wao

  MATAJIRI wa jiji la Dar es Salaam – Azam FC leo tarehe 29 Agosti, 2022 wamethibitisha kumbadilishia majukumu kocha wao mkuu, Abdihamid...

Michezo

Samia awapongeza Simba Queen kutwaa CECAFA

RAIS Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Soka ya Simba Qeens SC kwa kutwaa ubingwa wa Afrika Mashariki wa CECAFA 2022 kwa Wanawake...

Michezo

Lewandowski afungua akaunti ya mabao Barcelona

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Barcelona raia wa Poland, Robert Lewandowsik amefungua rasmi akaunti ya mabao katika klabu yake mpya baada ya jana...

error: Content is protected !!