Sunday , 5 February 2023

Michezo

Michezo

HabariMichezo

Yanga kusaka pointi 35 za Ubingwa

  UONGOZI wa klabu ya Soka ya Yanga umesema kuwa, katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara wanahitaji pointi 35 tu,...

HabariMichezo

Pablo aimaliza Berkane, awapa maagizo maalumu wachezaji

  NI kama swala la muda tu kikosi cha klabu ya Soimba kushuka dimbani kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi...

Michezo

Yanga yajikita kileleni, yaibamiza Mtibwa Manungu

  KLABU ya Soka ya Yanga imeendelea kujichimbia kileleni mara baada ya kuibuka na alama tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

Michezo

Kibwana, Djuma Shaban tayari kuikabili Mtibwa

  WALINZI wa pembeni wa klabu ya Yanga, Djuma Shabani na Kibwana Shomari watakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kitakachoshuka dimba ni kwenye...

HabariMichezo

TFF yamfungia Shaffi Dauda miaka mitano

  Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania “TFF” limemfungia mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF Shaffi Dauda miaka mitano kujihusisha na soka ndani...

Michezo

Madrid, PSG vitani UEFA leo

  HATUA ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya itaendelea hii leo kwa kupigwa michezo miwili, ambapo Real Madrid itakuwa...

HabariMichezo

Wawili Yanga, kuikosa Biashara United leo

  KLABU ya Soka ya Yanga hii leo itashuka dimbani kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Biashara United kutoka mkoani...

Michezo

Ushindi waiibua Simba, yawatupia kijembe watani zao

  UONGOZI wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania imewashukuru mashabiki kwa kuchagiza ushindi wa 3-1 wa dhidi ya...

HabariMichezo

Simba ya kimtaifa hatarii, yaibamiza ASEC mabao matatu

  KLABU ya soka ya Simba imeanza vizuri kampeni yake kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika, kufuatia kuibuka na ushindi wa...

Michezo

Chelsea yashinda kombe la klabu bingwa duniani

  CHELSEA imeshinda kombe la klabu bingwa duniani jana tarehe 12 Februari, 2022 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya...

HabariMichezo

TFF yawalima faini Manara, Bumbuli

MAAFISA kutoka Idara ya Habari na mawasilinao ya klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli na Haji Manara wametozwa faini ya shilingi 500,000 na kamati...

HabariMichezo

Beki Yanga afungiwa mechi tatu na Faini

  BEKI wa kati wa klabu ya Yanga, Dikson Job amefungiwa michezo mitatu na kupigwa faini ya shilingi 500,000 kufuatia kumkanyaga kwa makusudi...

HabariMichezo

Beki wa zamani wa Yanga, Taifa Stars afariki Dunia, kuzikwa kesho

  MLINZI wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Ally Mtoni maarufu kama Sonso amefariki Dunia...

Michezo

Simba: malalamiko ya Yanga hayana tija

   MARA baaada ya klabu ya soka ya Yanga hivi karibuni kutoa malalamiko yao kuhusu mwenendo wa waamuzi kwenye baadhi ya michezo ya...

HabariMichezo

Simba waiwekea mipango mizito ASEC

  KUELEKEA mchezo wa hatua ya makundi wa michuano ya kombe la Shirikisho Afrika, klabu ya Simba imeonekana kuzamilia kufanya vizuri kwenye michezo...

HabariMichezo

Sakho mchezaji bora wa mashabiki mwezi Januari, akabithiwa tuzo yake.

  KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Simba Raia wa Senegal, Pape Sakho amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashabiki mwezi januari, (Emirate Aluminium ACP...

HabariMichezo

Zouma matatani kwa kumpiga paka teke ‘kama mpira’

  MCHEZAJI nyota wa Ligi Kuu ya Uingereza, Kurt Zouma anaweza kufunguliwa mashtaka baada ya kurekodiwa kwenye video akimpiga paka wake kama mpira...

HabariMichezo

Yanga walia na waamuzi Ligi Kuu, wataka haki itendeke

  KLABU ya soka ya Yanga imeibuka na kulalamikia mwenendo wa waamuzi kwa baadhi ya michezo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na kutaka...

Michezo

Simba, ASEC kuchimbika kombe la Shirikisho

  KLABU ya soka ya Simba itashuka dimbani Jumapili tarehe 13, dhidi ya ASEC Mimosas, kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya kombe...

Michezo

Mbeya City, wahirudisha Yanga kambini haraka

  MARA baada ya kulazimishwa sare ya bila ufungana na kikosi cha Mbeya City, wachezaji wa klabu ya soka ya Yanga wamerejea hii...

Michezo

GSM yajiondoa udhamini Ligi Kuu

  KAMPUNI ya GSM imejiondoa kwenye udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kufuatia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) pamoja na...

Michezo

Kisa Ubingwa wa AFCON, Rais Senegal atangaza mapumziko

  MARA baada ya Timu ya Taifa ya Senegal kutwaa ubingwa wa michuano ya kombe la Mataifa Afrika (AFCON), Rais wa nchi hiyo...

Michezo

Mwigulu aja na wazo la VAR 

  WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amefunguka kuwa katika bajeti  ijayo ya Serikali atashauliana na Waziri mwenye dhamana ya michezo...

Michezo

Mastaa Kylie, Travis Scott wapata mtoto wa pili

Mwanamitindo na mfanyabiashara kutoka Marekani, Kylie Jenner (24) pamoja na mpenzi wake ambaye ni Msanii wa rap, Jacques Bermon Webster maarufu kama Travis...

KimataifaMichezo

Senegal yatangaza mapumziko baada ya kushinda Afcon

  RAIS wa Senegal, Macky Sall ametangaza leo Jumatatu tarehe 7 Februari, 2022 kuwa siku ya mapumziko kusherehekea ushindi wa timu ya taifa...

Michezo

Fainali AFCON2021: Mane, Salah nani kuibuka bingwa

  NI nani kati ya Sagio Mane na Mo Salah atakayeibuka mbambe dhidi ya mwenzake katika Fainali ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON)...

HabariMichezo

Morrison Pasua Kichwa, asimamishwa kwa muda Simba

  UONGOZI wa klabu ya soka ya Simba umemsimamishwa kwa muda, kiungo mshambuliaji wake Bernad Morrison Raia wa Ghana kufuatia kuwa na matatizo...

Habari MchanganyikoMichezo

Watu 17 wakamatwa uuzwaji jezi feki

  Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limewakamata watu 17 kwa tuhuma za kuuza jezi feki za Mabingwa wa kihistoria wa...

HabariMichezo

Lampard kocha mpya Everton

  Kiungo wa kati wa zamani wa klabu ya Chelsea Frank Lampard, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Everton kwa mkataba wa...

Michezo

Nyota wa Manchester United mbaroni madai ya ubakaji

  MCHEZAJI wa Manchester United, Mason Greenwood amekamatwa kwa tuhuma za ubakaji na shambulio kutokana na taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Anaripoti...

Michezo

Ligi Kuu Bara kwenda mapumziko siku 18

LIGI kuu Tanzania Bara imendelea kushika kasi mara baada ya kupigwa michezo 13, huku timu 16 zikionekana kubanana na kwenye msimamo katika kuelekea...

HabariMichezo

Simba hali mbaya, wakubali kipigo mbele ya Kagera

  KLABU ya soka ya Simba imejikuta kwenye wakati mgumu kufuatia kupoteza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar kwa...

Michezo

Azam wamkabidhi rungu rasmi Moallin

  KLABU ya Azam Fc inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imemtangaza Abdihamid Moallin kuwa kocha mkuu wa kikosi hiko kwa mkataba wa miaka...

Michezo

Yanga, Mbao kukipiga Ccm Kirumba

  Mchezo wa mzunguko wa 32 wa michuano ya kombe la Shirikisho la Azam, kati ya Yanga dhidi ya Mbao Fc, sasa utapigwa...

HabariMichezo

8 wapoteza maisha mechi ya Cameroon vs Comoro

  Watu nane wameripotiwa kufariki na mamia kujeruhiwa katika msongamano uliotokea nje ya uwanja uliotumika katika kinyang’anyaro cha wenyeji Cameroon na Comoro waliofuzu...

HabariMichezoTangulizi

Mukoko atimkia Mazembe, Yanga yampa mkono wa kwaheri

  KIUNGO mkabaji Raia wa Jamhuri ya Congo, Mukoko Tonombe amekamilisha usajili wake na kijiunga na klabu ya Tp Mazembe ya nchini mwao,...

HabariMichezo

KMC waitangazia vita Ruvu shooting kombe la FA

  MARA baada ya kuvuna pointi nne kwenye michezo miwili ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya Kwanza na Tanzania Prison, kikosi...

Michezo

Wataalam 422 wapigwa msasa anwani za makazi

  KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Jim Yonazi amefunga mafunzo ya utekelezaji wa anwani za makazi...

Michezo

Ambundo aipaisha Yanga kileleni, wavunja mwiko wa kutoapa ushindi ugenini dhidi ya Polisi Tanzania

  KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kuondoka na pointi tatu, mara baada ya kuondoka na ushindi wa bao 1-0, kwenye mchezo wa...

Michezo

Simba yabanwa mbavu na Mtibwa Sugar

WEKUNDU wa Misimbazi Simba leo tarehe 22, Januari 2022 wameshindwa kutamba mbele ya Mtibwa Sugar baada ya kutoka suluhu 0-0 katika mchezo uliopigwa...

Michezo

10 wa kwanza kuchanja kuiona Simba, Mtibwa buree!

  WAKATI homa ya mtanange unaotarajiwa kupigwa kesho tarehe 22 Januari, 2022 kati ya Simba SC. na Mtibwa Sugar, mashabiki wa timu hizo...

Michezo

Mapinduzi arejea uwanjani Yanga ikiibuka na ushindi

  KLABU ya Soka ya Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0, kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni FC ya mkoani Arusha...

Michezo

Shabiki Simba ajinyonga, siku ya mchezo dhidi ya Mbeya city

  SHABIKI wa klabu ya Simba Khalfan Mwambena mwenye umri wa miaka 17, mkazi wa kata ya Kholobe mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga muda...

Michezo

Man U kwawaka moto, Martial amvaa kocha mpya

  Mshambuliaji wa mashetani wekundu, Anthony Martial amekanusha madai kuwa alikataa kujumuishwa kwenye kikosi cha Manchester United kilichocheza dhidi ya Aston Villa. Anaripoti...

Michezo

Simba wapoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Mbeya City

  KLABU ya soka ya Simba imepoteza mchezo wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu Tanzania mara baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0,...

Michezo

Simba kuikabili Dar City, Yanga kujikumbusha na Mbao 32 bora kombe la Shirikisho

  DROO ya 32 ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam imechezeshwa hii leo, ambapo bingwa mtetezi wa michuano hiyo klabu ya...

Michezo

Mobeto, Tanasha wazidi kuoneshana mahaba, wala bata pamoja…

  ACHANA na habari za kuwa Ma-Exa wa Staa wa Bongo fleva, Diamond Platnumz… habari ya mjini ni kwamba Mashosti ambao nao pia...

Michezo

Yanga yafunga usajili na ushindi

CHIKO Ushindi aliyekuwa winga wa klabu ya TP Mazembe ya nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo amekamilisha usajIli wa kujiunga na klabu ya...

Michezo

Mayele akamatiki, aiongoza Yanga kwenye ushindi dhidi ya Coastal

  FISTON Kalala Mayele kwa sasa ni moja ya washambuliaji ambao hawakamiti kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara mara baada ya kuingoza Yanga kwenye...

MichezoTangulizi

Chama arejea Simba, atangazwa rasmi

  KLABU ya soka ya Simba imetangaza rasmi kumrejesha kiungo wake raia wa Zambia Clatous Chama, mara baada ya kufanikiwa kumsajili tena akitokea...

error: Content is protected !!