Saturday , 4 May 2024
Home Kitengo Michezo Mwarabu mshindi wa Tsh 54m apatikana
Michezo

Mwarabu mshindi wa Tsh 54m apatikana

Spread the love

NI stori ambayo inafanya vizuri sana kwa vijana wengi wenye ndoto za kumiliki magari, nyumba na kusimamia biashara zao, habari za Mwarabu mshindi wa Tsh Milioni 54,700,000 za Meridianbet kasino ya mtandaoni, ametoka nje na kutaja njia alizotumia mpaka akashinda mtonyo huo mrefu ambao kwake ni ushindi mkubwa zaidi kuwahi kushinda.

Mwarabu ni mkazi wa Dar es Salaam ambaye Meridianbet wamemtanganza kuwa mshindi mkubwa wa Tsh 54,700,000/= (Milioni Hamsini na Nne na Laki Saba) ambapo alicheza dau dogo la Elfu Hamsini tu (50,000/=) kupitia kasino ya mtandaoni hii ni bahati iliyoje.

Gwiji huyu ambaye majina yake kamili yamehifadhiwa alicheza sloti ya 100 Burning Hot inayopatikana kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, sloti hii inalipa sana kwani ushindi ni rahisi kuupata kwa dau dogo tu la kuanzia Tsh 100/=

Alipoulizwa kwa njia ya simu kuhusu ushindi huo alijibu “Najisikia furaha sana mwanzoi nilikua nikicheza nakula pesa ndogo ndogo hatimaye leo nimepiga mkwanja huu wa Mamilioni. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet haijawahi niangusha hata siku moja ndiyo maana nacheza kila siku” 

“Naipenda sloti ya 100 Burning Hot kwa sababu inanipa sloti nyingi za kucheza na zote ni rahisi” Mshindi wa Milioni 54

Sloti ya 100 Burning Hot ni miongoni mwa michezo pendwa ya kasino inayotoa mkwanja muda wowote, lakini pia sloti nyingine rahisi kushinda ni Aviator, Poker na Titan Roulette yote unaipata kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kupitia www.meridianbet.co.tz

Je Unahitaji kufahamu Sloti hii Inakuaje?

100 Burning Hot ni sloti rahisi sana kuicheza ina mistari 5 ya ushindi huku kukiwa na mingine 100 ya ziada, sloti hii inakuja na machaguo mengi ya ushindi kama vile namba 7, alama ya dola, na alama ya ushindi mkubwa kabisa ya “Wild’ hiyo inakupa bonasi ya kushinda mara nyingi. Cheza sasa kwa dau dogo la kuanzia Tsh 100/=  kubwa Zaidi Sloti hii inakupatia mizunguko 100 ya bure.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Ligi mbalimbali za pesa kuendelea leo

Spread the love Ijumaa ya leo ambapo mechi mbalimbali zinaendelea Duniani Meridianbet...

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

error: Content is protected !!