Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Michezo Robo fainali ya pili ya UEFA, nani kutinga Nusu Fainali?
Michezo

Robo fainali ya pili ya UEFA, nani kutinga Nusu Fainali?

Spread the love

 

WAHENGA waliwahi kusema usiku wa deni hauchelewi, ni sasa kule kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kitaeleweka nani mbambe dhidi ya mwenzake, raundi ya pili hatua ya robo fainali, katika Uwanja wa Stamford Bridge, Chelsea vs Madrid, Napoli vs AC Milan, Bayern vs Man City. Kamata odds kubwa na machaguo mengi kutoka Meridianbet ukibashiri mechi hizi.

Meridianbet wameamua kuinogesha siku hii, wakati ambapo wengi wanasubiri kuona kama vijana wa Frank Lampard Chelsea wataweza kuwazuia vijana wa Ancelotti kufuzu nusu fainali, mchezo wa kwanza The Blues alikufa bao 2-0 huko Santiago Bernabeu bado ana nafasi ya kujiuliza nyumbani kwake.

Napoli hawatakuwa na jambo la kupoteza Zaidi ya kusaka ushindi wa Zaidi ya goli moja, ikumbukwe mechi ya kwanza alifungwa bao 1-0 ugenini, Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya ushindi Napoli, huku Milan akipewa Odds kubwa ya 4.60 ashinde kwenye dimba la Stadio Deigo Armando Maradona Je ataweza?

Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette wameongeza machaguo Zaidi 1000+ kwenye mechi hizi za Ligi ya Mabingwa. Bonyeza hapa kuona machaguo Zaidi na mchanganuo wa odds kubwa bashiri mubashara.

Dimba la Ethiad Man City walimkanda Bayern Munich mabao 3-0, leo amebadilisha uwanja lakini wachezaji ni 11 ni dimba la Allianz Arena. Odds kubwa za ushindi ni Bayern 2.69 vs 2.45 Man City, sare 3.57. Meridianbet wanakwambia CHAGUA TUKUPE iwe ni odds kubwa watakupa, Kasino ya mtandaoni, kubashiri mubashara unaweza, michezo ya sloti kama Aviator, poker na Roulette yote unaipata kubwa Zaidi ukiona jamvi lako linataka kuchanika unaweza kucash out/Kuturbo.

Inter Milan ana faida ya ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Benfica, na sasa anarudi kwenye dimba la Giuseppe Meazza Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi kwa odds kubwa 2.20 vs 3.19 ya Benfica chaguo ni lako unaenda nan ani ili mkeka wako uwe salama kwa dakika 90.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!