Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Michezo Meridianbet yatoboa siri ya kushinda kirahisi kupitia BlackJack Live
Michezo

Meridianbet yatoboa siri ya kushinda kirahisi kupitia BlackJack Live

Spread the love


MOJA
kati ya michezo pendwa na wengi ni Sloti ya BlackJack Live, mchezo huu unapatikana kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ambapo huu unakuwa na karata 8 tu, ili ushinde unapaswa utoe karata zisizozidi namba 21, lakini pia zikiwa chini ya hapo unaweza kushinda endapo karata za mchezeshaji zitazidi namba 21. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa nakuchezwa ulimwenguni. Kasino ya mtandaoni yaMeridianbet inakupa burudani na ushindi kupitia sloti ya Blackjack Live huku ukiwa na fursa ya faida hadi mara 100papo hapo ya dau uliloliweka.

Unachotakiwa kukifanya ni kubashiri karata gani mchezeshaji (dealer) ataiweka mezani na kuifunua. Tofauti ya BlackjackLive na Blackjack nyingine ni kwamba, hii ina bunda lenyekarata 8 na sio 52. Vilevile, mchezo huu unachezwamubashara kabisa kutoka kwenye studio za Riga.

Kuwa makini na mchezeshaji wa Blackjack kwani, ushindi upo hapo! Pamoja na hayo, ubashiri wa karata unalipwa kwa viwango. Sloti ya Blackjack Live inachezwa kwenye mezazaidi ya moja na kila meza inaweza kuwahudumia wachezaji 7. Chaguo la Bet Behind litakupa fursa ya wewe kuweka dau hatakama umechelewa kuanza na mchezeshaji atakuelekeza niniunachotakiwa kukifanya kwenye mchezo huo.

Una sekunde 15 tu za kuweka ubashiri na mchezeshaji ataanzakuchezesha karata. Mchezeshaji atasimama kwenye 17 naBlackjack italipa 3 na zikiwa kwenye uwiano wa mara 6:1, 12:1 au 25.

Kujua kama umeshinda ni kwamba namba au herufi za karatazako zikijumlishwa hazitakiwa kuzidi 21 na zikiwa chini yahapo unaweza kushinda endapo mchezaji karata zake zitazidi21.

Shinda kistaa kupitia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet namchezo wa Blackjack Live.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!