Michezo
KESI ya kimkataba kati ya Feisal Salum (Fei Toto) dhidi ya klabu ya Yanga itasikilizwa kwa saa 3 na kamati ya Sheria...
By Kelvin MwaipunguJanuary 6, 2023MFALME na muasisi wa soka la kisasa kutoka Brazil, mkongwe Pele aliyefariki wiki iliyopita atazikwa katika ghorofa ya 9 ya makaburi ya...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2023RAIS wa mstaafu wa Marekani, Barack Obama ameeleza namna alivyoguswa na kifo cha Mfalme wa Soka duniani, Edson Arantes do Nascimento maarufu kama...
By Gabriel MushiDecember 30, 2022GWIJI wa soka raia wa Brazil – Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pele amefariki dunia leo tarehe 29 Disemba, 2022 akiwa na...
By Gabriel MushiDecember 29, 2022BILA shaka mwaka wa 2022 utakuwa unaeleka ukingoni huku ukiacha giza nene katika familia ya mkongwe na muasisi wa muziki aina ya...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2022CHUO kimoja nchini Qatar kimetangaza kuwa kina mpango wa kugeuza chumba ambacho staa wa Argentina, Lionel Messi alikuwa akitumia kama malazi yake...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2022BENKI ya NMB itakuwa mdhamini mashindano ya kombe la Mapindizi 2023 yanayotarajiwa kuanza Januari 1, 2023 katika Uwanja wa Amaan Unguja, Pemba kwa...
By Gabriel MushiDecember 24, 2022TIMU ya Taifa ya Argetina imevunja rekodi ya miaka 36 iliyopita baada ya kuinyuka Ufaransa jumla ya penalti 4 – 3 na...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2022MKAZI wa Nanyumbu mkoani Mtwara, Selemani Mpepe, ameibuka na bonasi bonge ya kiasi cha Sh milioni 4 kutoka kwenye mchezo wa kubashiri matokeo...
By Gabriel MushiDecember 14, 2022BODI ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imesema kuwa imekuwa na mchango mkubwa katika kuweka kanuni na sera ili kusaidia ukuaji wa michezo...
By Gabriel MushiDecember 13, 2022MWANDISHI wa habari aliyejizolea umaarufu kwa utangazaji mechi za soka kutoka Marekani, Grant Wahl (49) amefariki dunia nchini Qatar baada ya kuzimia alipokuwa...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2022TIMU ya Taifa ya Morocco imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kuiondoa timu ya Taifa...
By Mwandishi WetuDecember 10, 2022YAMETIMIA! Hatimaye washindi wa wanne wa kampeni ya Jaza Kibubu Tusepe Qatar inayoendeshwa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wameanza safari jana...
By Gabriel MushiDecember 9, 2022YAMKINI uhusiano kati ya Msanii wa Bongo Muvi, Kajala Masanja na wa Bongofleva Rajabu Abdul ‘Harmonize’, umevunjika. Hatua hiyo inakuja baada ya jana...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2022WAKULIMA wa mpunga kutoka wilayani Mbarali mkoani Mbeya, Ihefu FC wameivunja rekodi ya Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC. ya kutofungwa...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambayo ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana ilikabidhi...
By Gabriel MushiNovember 28, 2022RAIS wa shirikisho la kandanda duniani, Gianni Infantino ametoa wito wa kusitishwa kwa muda wa mwezi mmoja vita kati ya Urusi na...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambaye ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara (NBC Premier League) imesisitiza kuhusu...
By Gabriel MushiNovember 15, 2022JUMLA ya watuhimiwa 11 wamekamatwa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) ikiwamo Kocha wa makipa wa Klabu ya...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2022KLABU ya Soka la Yanga imeibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu Bara...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2022VIUNGO washambuliaji Clatous Chama raia wa Zambia (Simba) na Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso (Yanga), wamefungiwa mechi tatu kila mmoja...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2022TIMU ya watoto ya Mgusu Machinjioni imefanikiwa kutwaa taji la GGML- Toto Cup baada ya kuifunga timu ya Elimu Uwangani kwa jumla ya...
By Gabriel MushiNovember 2, 2022BAO la mkwaju wa penalti ambalo limefungwa na winga machachari, Bernard Morrison wa klabu ya Yanga katika dakika ya 45 limetosha kuwaandikia Wana-jangwani...
By Gabriel MushiOctober 29, 2022WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerwa amesema Wizara hiyo inaandaa mpango mkakakati kuhakikisha 2030 Tanzania inashiriki kombe la Dunia, huku...
By Seleman MsuyaOctober 28, 2022TANZANIA imekuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya utanashati, urembo na mtindo ya watu wenye tatizo la kusikia ‘viziwi’ (Miss & Mister...
By Faki SosiOctober 27, 2022KLABU ya Soka ya Simba inatarajiwa kuwakosa nyota wake wanne kuelekea mchezo wa kesho tarehe 27 Oktoba 2022 ambapo Simba watakuwa wageni wa...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukanusha taarifa ya kuondoka kwa kocha wao Mkuu, Mohamed Nabi mara baada ya kuenea tetesi za kuachana...
By Kelvin MwaipunguOctober 25, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana iliipamba...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2022BAHATI yao! Ndilo neno lililotamalaki katika ndimi za mashabiki wa timu kongwe nchini, Simba na Yanga baada ya leo tarehe 23 Oktoba, 2022...
By Gabriel MushiOctober 23, 2022KIUNGO wa Chelsea, Matteo Kovacic jana ametenga anga soka na kugeuka gumzo katika uwanja wa Stamford Bridge -London nchini Uingereza baada ya mchezo...
By Gabriel MushiOctober 23, 2022BODI ya Klabu ya Azam FC imesitisha mkataba na Denis Lavagne, kama kocha mkuu, kuanzia leo tarehe 22 Oktoba, 2022. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amepongeza wasanii wawili wa sarakasi kutoka Tanzania, Ibrahim na Fadhili Ramdhan wanaounda kundi la The Ramadhan Brothers baada...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2022MARA baada ya kuangukia kwenye michuano ya kombe la Shirikisho, klabu ya soka ya Yanga imepangwa kumenyana dhidi ya Club Africain ya...
By Masalu ErastoOctober 18, 2022Serikali inatarajia kuanzisha mfuko maalum kwa ajili ya kuwezesha wasanii wote nchini kupata fursa ya kukopa bila riba na kujikwamua kiuchumi pamoja...
By Faki SosiOctober 18, 2022MSHAMBULIAJI hatari raia wa Ufaransa, Karim Benzema anayekipiga katika Klabu ya Real Madrid ya nchini Uhispania, ametwaa tuzo ya mchezaji soka bora...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2022KAMPUNI inayoongoza kwa utoaji wa huduma za kidijitali Tigo Tanzania na Hisense kupitia Promosheni yake ya ‘WAKISHUA TWENZETU QATAR’ na HISENSE wametoa tiketi...
By Gabriel MushiOctober 11, 2022KAMPUNI ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu Geita (GGML) imezindua mashindano ya mpira wa miguu kwa watoto wanaozunguka mgodi huo ili kukabiliana na changamoto...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2022BENKI ya NMB imetoa udhamini wa Sh. milioni 25 kwa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2022), kama...
By Gabriel MushiSeptember 22, 2022IKIWA kawa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara, imesimama kwa baadhi ya timu ili kupisha michezo ya kimataifa kwenye kalenda ya Shirikisho la...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2022MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele ameonekana kutokuwa na wasiwasi na mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya mbio za NMB Marathon 2022 yanayotarajiwa kufanyika Oktoba mosi katika viwanja vya...
By Gabriel MushiSeptember 21, 2022SERIKALI imesema licha ya kuwepo kwa idadi kubwa wa wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu Bara, itaendelea kulishauri Shirikisho la Mpira wa...
By Mwandishi WetuSeptember 13, 2022WATANI wa jadi Simba na Yanga wameanza vema kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa baada ya kuibuka na ushindi mnono ugenini katika raundi ya...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2022MATAJIRI wa madini, Klabu ya Geita Gold kesho wanatarajia kurusha karata yao ya kwanza katika michuano ya kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho Barani...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2022Klabu ya Soka ya Simba imemtangaza Juma Mgunda kuwa kocha wa muda wa klabu hiyo atakayesaidiana na Seleman Matola, kuelekea mchezo wa...
By Kelvin MwaipunguSeptember 8, 2022KLABU ya Soka ya Simba SC. imemtimua Kocha Mkuu wa kikosi cha timu hiyo, Zoran Maki baada ya kufikia makubaliano ya pande zote...
By Gabriel MushiSeptember 6, 2022MATAJIRI wa jiji la Dar es Salaam kutoka Chamazi – Timu ya soka ya Azam FC baada ya kuanza msimu mpya wa Ligi...
By Gabriel MushiSeptember 6, 2022SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limesema uuzaji wa bia hautaruhusiwa ndani ya uwanja wakati mechi ikiwa inaendelea isipokuwa kwa masharti maalumu...
By Gabriel MushiSeptember 4, 2022Timu ya Soka ya wanawake ya Simba (Simba Queens) leo Septemba 2 2022 imepewa basi na kampuni ya uuzaji wa magari ya...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2022WACHEZAJI wa kimataifa Tuisila Kisinda pamoja na nyota kutoka Burundi Saido Ntibanzokiza wameng’ara dakika za mwisho wakati wa kufungwa kwa dirisha la...
By Kelvin MwaipunguSeptember 1, 2022