Thursday , 25 April 2024

Michezo

Michezo

Michezo

GGML waitia ndimu Geita Gold FC. vs Yanga

HATIMAYE changamoto ya usafiri kwa timu ya Geita Gold FC. imetatuliwa baada ya basi jipya la timu hiyo lililoagizwa na Kampuni ya Geita...

Michezo

Bingwa Kombe la Dunia kulamba bil 191, Meridianbet nao kumwaga mkwanja

  KOMBE la Dunia ni kombe lenye thamani kubwa zaidi kwenye mchezo wa mpira wa miguu, ukiachilia mbali mashindano mengine ya dunia kama...

BiasharaMichezo

Angalia game za Europa huku ukipiga mkwanja na Meridianbet

KIJANA wa Kitanzania kwenye safari ya kutimiza ndoto zako najua utakuwa unawaza ni lini utazifikia hizo ndoto, lakini ukiwa na Meridianbet ni rahisi...

Michezo

UEFA imekuja na maokoto yakutosha bashiri na Meridianbet sasa

UTAMU wa kubeti ule bhana, na ukitaka kula ni rahisi tuu weka dau lako dogo pata kikubwa zaidi. Mechi za Usiku wa Ligi...

BiasharaMichezo

BetPawa kuwasaidia Watanzania 20 awamu ya 2 ‘Dream Maker’

KAMPUNI  ya michezo ya kubahatisha ya BetPawa Tanzania,  jana Jumatatu imezindua awamu ya pili ya programu yake ya kuwasaidia Watanzania wenye mawazo chanya...

Michezo

Taswa wampongeza Mobhare Matinyi

  CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinampongeza Mobhare Matinyi kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari...

Michezo

Waziri madini atembelea banda la GGML, ashuhudia mradi wa uwanja wa kisasa

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini...

Michezo

Meridianbet yaibukia Tandika, yafungua duka jipya

BAADA ya kupita maeneo mbalimbali hatimae kampuni yaMeridianbet imeibukia mitaa ya Tandika jijini Dar-es-salaam na kufanya uzinduzi wa duka jipya ambalo litatoahuduma zote...

BiasharaMichezo

Ukiwa na Meridianbet ni rahisi kuwa milionea

  CARABAO Cup raundi ya 3 Uingereza inaendelea na mechi hizo zipo kwaajili ya kukupatia pesa yani kukufanya uione hii Dunia ni yako...

Michezo

Jezi ya Samatta iliyoifunga Liverpool kuuzwa Genk

  KLABU ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji imeamua kuanza kuuza jezi ya mchezaji wa kitanzania Mbwana Samatta Nahodha wa timu ya taifa...

BiasharaMichezo

Hii ndio historia ya El-Clasico, derby bora zaidi duniani

  KILA nchi ina vilabu viwili hasimu na pinzani nje ya uwanja na ndani, mfano Uingereza kuna Man Utd vs Man City (Manchester...

BiasharaMichezo

Piga pesa kupitia Derby ya London Kaskazini kwa kubadhiri na Meridianbet

NAJUA umesikia na unazijua Derby nyingi kutoka jiji la London, lakini kuna hii ambayo inakwenda kupigwawikiendi hii pale katika dimba la Emirates kati ya...

BiasharaMichezo

Wikiendi hii ushindi upo Meridianbet na si kwingine

USHINDI huu ni wako mteja wa Meridianbet kama mechi za UEFA na Europa hazikukupatia pesa basi usihfu wikendi hii inaenda kutenda maajabu yani...

BiasharaMichezo

Safari ya Gavi kutoka Academy ya Real Betis mpaka Barca

  ANITWA Pablo Martín Páez Gavira ‘Gavi’, sasa ni mchezaji wa kutegemewa katika kikosi cha Barcelona na amecheza mechi zaidi ya 100 mpaka...

BiasharaMichezo

SBL yazindua Serengeti Oktoba Festival

  KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Lite imezindua Tamasha kubwa la Serengeti Oktoba Festival litakalofanyika...

BiasharaMichezo

Hatimaye yametimia, Novatus aingia katika rekodi ya Uefa

  BAADA ya Mbwana Samatta na Sunday Manara kuandika rekodi ya kucheza Uefa Champions League ambapo Samatta alifanikiwa kuifunga Liverpool ya Jurgen Klopp,...

BiasharaMichezo

Meridianbet wafungua duka jipya Mbagala Rangi 3 Max 99

  Mteja wa Meridianbet ambaye upo Mbagala Rangi 3 na unataka kupiga mkwanja wa maana basi mimi nakupa siri eneo ni moja tuu...

Michezo

Paul Pogba hatihati kufungiwa miaka minne

KIUNGO Mshambuliaji wa klabu ya Juventus ya Italia, Paul Pogba huenda akakumbana na adhabu ya kufungiwa hadi miaka minne kujihusisha na masuala ya...

Michezo

Kampuni ya ndondi yaiburuza mahakamani Azam Media, yataka fidia Sh. 2 bil.

KAMPUNI inayojihusisha na uandaaji wa mapambano ya ngumi za kulipwa, Hall of Fame Boxing and Promotion, imeiburuza mahakamani Kampuni ya Azam Media, ikitaka...

Michezo

Taifa Stars yatua salama, yapokelewa kwa shangwe na mashabiki

TIMU ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) imetua salama alfajiri ya leo tarehe 9 Septemba 2023 katika Uwanja wa Ndege wa...

MichezoTangulizi

Taifa Stars yawaduwaza Mbweha wa Jangwani, watinga fainali AFCON

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeandika historia baada ya kufuza kwa mara ya tatu kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya...

BiasharaMichezo

Wakuu wa Majeshi Tanzania, Malawi waipongeza NMB udhamini CDF Trophy

WAKATI Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Malawi (MDF), Jenerali Jacob Mkunda na Jenerali Vicent Nundwe...

Michezo

Fatuma Nyangasa awafagiria Corefa kuanzisha vituo vya michezo

MKUU wa wilaya ya Kisarawe, Fatuma Almas Nyangasa amesema amefarijika na kasi ya uongozi wa Chama cha Mpira wa Miguu mkoa wa Pwani...

BiasharaMichezo

Hot Spin Deluxe inakupa uwezo wa kuchagua malipo kwenye mistari 20

  MCHEZO wa kasino mtandaoni wenye nguvu wa Hot Spin Deluxe kutoka kwa watoa huduma wa iSoftBet unakuleta ulimwengu wa kipekee wa bonasi...

BiasharaMichezo

Meridianbet ndiyo sehemu ya kupiga mkwanja wikiendi hii

  HAKUNA kujiuliza tena wala kuumiza kichwa tena utapata wapi mkwanja na kumaliza wikiendi yake kibabe ni hivi Meridianbet ndio sehemu pekee unaweza...

BiasharaMichezo

NMB yatumia milioni 130 kusaidia bonanza la wabunge 

BENKI ya NMB imekabidhi vifaa vya michezo vyenye thamani ya Sh90 milioni kwa Timu ya Bunge huku wakisisitiza umuhimu wa ushirikiano. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Mkuu wa wilaya Kisarawe kuzindua kituo cha michezo wilayani humo

MKUU wa wilaya ya Kisarawe, Fatuma Almas Nyangasa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kituo cha michezo wilaya ya Kisarawe kesho smptemba...

ElimuMichezo

Tunda Man azishauri shule kuwa na programu za kuibua vipaji

  MWANAMUZIKI Khaleed Ramadhan maarufu kama Tunda Man alifanya onyesho la aina yake kwenye shule ya Brilliant na kuzishauri shule ziwe na profamu...

Michezo

Mkewe Messi amkumbatia Jordi Alba kimakosa akidhani ni mumewe

BAADA ya ushindi wa timu anayochezea Lionel Messi, Inter Miami dhidi ya FC Cincinnatti kwa matuta ya penalty nchini Marekani, uwanja ulifurika kwa...

Michezo

Mkurugenzi Special Olympics Tanzania aivuruga taasisi

MKURUGENZI wa Taasisi ya Special Olympics Tanzania (SOT), Charles Rays anaivuruga taasisi hiyo inayojishughulisha na michezo kwa watu wenye ulemavu wa akili kwa...

Michezo

NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

BENKI ya NMB imetangaza udhamini wa Sh. 30 milioni wa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2023), yanayotumika...

Michezo

Mandonga nje miezi 6, kufanyiwa vipimo Muhimbili

BONDIA wa ngumi za kulipwa, Karim Mandonga anatarajiwa kufanyiwa kipimo cha kichwa baada ya kupata jeraha kutokana na kipigo alichokipokea tarehe 29 Julai...

Michezo

Wanne kuiwakilisha Tanzania chaguo la awali Future Face

  WANAMITINDO wanne kati ya 200 waliojitokeza kwenye usaili wa Shindano la Future Face 2023 wameteuliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye chaguo la awali la...

Michezo

Mabondia wa Tanzania kunolewa Cuba

  TANZANIA kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Serikali ya Cuba kupitia Taasisi ya INDER ya nchini humo zimekubaliana kushirikiana katika...

Michezo

Rais Samia mgeni Rasmi Tamasha la Simba Day

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni Rasmi katika Tamasha la Michezo Simba Day litakalofanyika Jumapili...

Michezo

Ukarabati Uwanja wa Mkapa: Sababu, mantiki na umuhimu

  BAADA ya Serikali kutangaza gharama za ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa zilizokadiriwa kufikia shilingi bilioni 31, baadhi ya wadau wa michezo...

Michezo

Jinsi Watanzania wanavyoweza kuvuna mamilioni na Bikoboost

ULINGO wa fursa za kiuchumi kupitia mchezo wa kubahatisha wa Biko Tanzania, umezidi kuboreshwa baada ya kampuni hiyo kuzindua promosheni yao inayojulikana kama...

Michezo

NBC Benki yawapa fursa wakazi wa Mwanza kulishuhudia kombe la Ligi kuu ya NBC

Wadhamini wakuu wa ligi ya Tanzania bara maarufu kama Ligi ya NBC, Benki ya Taifa ya Biashara(NBC), imewapelekea wakazi wa jiji la Mwanza...

BiasharaMichezo

NMB, Simba SC. waja na ‘Ukaribu wa Nguvu’ kusajili wanachama, jezi kuzinduliwa kileleni mwa Kilimanjaro

BENKI ya NMB na Klabu ya Simba, zimezindua ushirikiano wa kibiashara uliopewa jina la ‘Ukaribu wa Nguvu,’ kwa lengo la kuongeza ufanisi katika...

ElimuHabari MchanganyikoMichezo

Ubongo yatimiza miaka 10, yawafikia makazi mil 32 Afrika, nchi 22

  KAMPUNI ya Ubongo inayozalisha vipindi vya elimu burudani Afrika, ina furaha kuwatangazia maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, ikisherehekea muongo mmoja...

BiasharaMichezo

NMB kuanza kusajili wanachama Yanga Julai 10

BENKI ya NMB kupitia matawi yake yote nchini inatarajiwa kuanza rasmi Jumatatu tarahe 10 Julai 2023, kusajili na kutoa kadi za uanachama wa...

Michezo

Tunduma watenga billioni 1.5 kujenga uwanja

KUTOKANA na ukosefu wa eneo sahihi la kufanyia michezo halmashauri ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe imetenga kiasi cha Sh.1.5 bilioni kujenga...

Michezo

Dk Mpango mgeni rasmi tamasha la washairi

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufungaji wa tamasha la ushairi lililoandaliwa na Taasisi ya Usanifu wa Kiswahili...

Michezo

NMB, Yanga SC. waingia makubaliano kuimarisha huduma za kidijitali, kusajili wanachama

KWA kutambua umuhimu wa sekta ya michezo nchini, Benki ya NMB imeingia makubaliano na timu ya Yanga SC. na kuwa benki ya kwanza...

Michezo

Mamdonga atambulisha ngumi yake mpya sabasaba

BONDIA machachari nchini Karim Said maarufu ‘Mandonga Mtu kazi’ ametembelea banda la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na kutangaza ngumi mpya iitwayo...

Michezo

SBL: Taifa Stars ina matumaini ya kufuzu AFCON

  MDHAMINI Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Serengeti Breweries Limited (SBL) ina matumaini kuwa timu hiyo itafanikiwa kufuzu kucheza...

ElimuMichezo

Ubongo Kids sasa waja na Nuzo na Namia

UBONGO Kids waliotamba na katuni za watoto za Ubongo Kids na Akili na Me, sasa wamekuja na hadithi mpya za watoto wa Afrika...

Michezo

Bonanza la NMB vuta nikuvute lafana Zanzibar

BENKI ya NMB ikiwa inaendeea kusherehekea safari yake ya mafanikio ya miaka 25, iliandaa bonanza la Michezo waliloliita Vuta Nikuvute visiwani Zanzibar. Kikosi...

Michezo

Timu ya walemavu wa akili yapaa Ujerumani kushiriki Kombe la Dunia

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michezo ya Dunia kwa watu wenye ulemavu wa akili wameondoka kuelekea Ujerumani kushiriki michezo hiyo itakayoanza Juni 17 hadi...

MichezoTangulizi

Benki ya NBC yakabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu kwa Yanga

MDHAMINI Mkuu wa ligi ya NBC, Benki ya Taifa ya Biashara(NBC) leo Ijumaa aimekabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu ya soka Tanzania...

error: Content is protected !!