Friday , 19 April 2024
Home Kitengo Michezo Meridianbet wamwaga Reflectors katika kampeni ya Mtaa kwa Mtaa
Michezo

Meridianbet wamwaga Reflectors katika kampeni ya Mtaa kwa Mtaa

Spread the love

 

KAMPUNI ya ubashiri Meridianbet Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani limeanzisha kampeni ya Mtaa kwa Mtaa na Meridianbet yenye lengo la kuwasaidia bodaboda wote wa maeneo ya Dar es Salaam kwa kuwapatia elimu ya usalama barabarani na kutoa vifaa kazi kama Reflectors. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet, Matina Nkurlu amesema mbali na Meridianbet kuweza kubashiri mubashara odds kubwa zaidi, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Nkurlu ambaye aliyeambatana na timu ya masoko kutoka Meridianbet alisema wameamua kushirikiana na Jeshi la Polisi la Usalama Barabarani kutoa elimu ya Usalama barabarani pamoja na kugawa reflectors kwa madereva bodaboda.

Matina Nkurlu akimvalisha reflectors mmoja wa dereva wa bodaboda

Amesema sababu ya kufanya hayo kupunguza ajali nyingi sana hususani nyakati za usiku na ndiyo maana wameamua kutoa reflectors kwa madereva wa bodaboda wote waliopo jijini Dar es Salam, maeneo yaliyofikiwa mpaka sasa ni Kawe, Kinondoni, Sinza, Mwenge na Tangibovu huku lengo ni kuwafikia madereva bodaboda wote wa jiji lote la   Dar es Salaam.

“Meridianbet tuna msemo wetu wa CHAGUA TUKUPE, huu ni maalum kwa wateja wetu wote kuwa tunawapatia kile wanachotaka, baada ya kusikia kilio cha madereva hawa wa Bodaboda tumeamua kuwapatia Reflectors hizi maalum ili kujikinga na majanga ya barabarani kama ajali lakini pia ni kuimarisha usafi na utanashati wao binafsi,” alisema Nkurlu.

Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, kusanya mizunguko yako na odds kubwa za soka hapa.

 

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Leo ni leo nani kutinga nusu fainali UEFA?

Spread the love HATIMAYE Jumanne ya UEFA imefika ambapo leo hii michezo...

Michezo

Anza Jumatatu yako na Meridianbet

Spread the love  IKIWA ni siku nyingine mpya kabisa ya Jumatatu baadhi...

Habari MchanganyikoMichezo

NBC, Yanga wazindua kadi  za kimataifa za uanachama

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Klabu...

Michezo

TFF, Amrouche ngoma nzito

Spread the loveVIPENGELE vya mkataba wa kazi aliotia saini Kocha Mkuu wa...

error: Content is protected !!