Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Michezo Shinda Sh. 2.5 milioni za Meridianbet Kasino ya mtandaoni
Michezo

Shinda Sh. 2.5 milioni za Meridianbet Kasino ya mtandaoni

Spread the love

 

KUTOKA nyumba ya mabingwa Meridianbet Kasino ya mtandaoni yaja na promosheni nyingine, baada ya kutambulisha Drops &Wins sasa kuna hii ya Spring Mascot inakupa mgao wa Sh. 2,500,000/= kwa dau la Sh. 500. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Shindano la Spring Mascot linafanyika kuanzia tarehe 21 hadi 27 Aprili kupitia kasino ya mtandaoni ambapo litakupa sababu halisi ya kwa nini Spring ni msimu mzuri zaidi.

Jumla ya alama inahesabiwa kwa kujumlisha jumla ya mizunguko iliyochezwa na mchezaji kwenye michezo ifuatayo ya Fruit Machine x25, Fruit Vegas, Fruit Disco: Mega Stacks, Double-Triple Fruits, Riot, Trump Card: Queen, Fairytale Coven, Bamboo Bear, Book of Amaterasu na The Candy Crush.

Wachezaji 10 waliofanikiwa zaidi watagawana TZS 2,500,000 kwa mshindi wa nafasi ya kwanza Sh. 750,000, nafasi ya pili Sh. 500,000, nafasi ya tatu Sh. 375,000 wakati atakayeshinda nafasi ya nne mpaka ya 10 watapata Sh. 125,000 kila mmoja

Anza safari yako ya kusisismua ya Spring na ufurahie ushindi wako kutoka kasino ya mtandaoni kwa kuzingatia vigezo na masharti.

Promosheni itadumu kwa siku saba ambapo inaanza leo tarehe 21 Aprili hadi 27 Aprili mwaka huu.

Promosheni itapatikana tu kwa wachezaji kwenye tovuti na programu ya meridianbet.me, meridianbet.rs, meridianbet.co.tz, meridianbet.pe.

Wakati wa promosheni hii ya kasino ya mtandaoni, wachezaji watashindana katika michezo ya sloti ifuatayo ya Mascot ambayo ni Fruit Machine x25, Fruit Vegas, Fruit Disco: Mega Stacks, Double-Triple Fruits, Riot, Trump Card: Queen, Fairytale Coven, Bamboo Bear, Book of Amaterasu & The Candy Crush.

Dau la chini la promosheni hiyo Sh. 500 na promosheni hii ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet  itahusisha pesa halisi pekee na wachezaji watashindana kwa jumla ya mizunguko iliyochezwa.

Wachezaji wanaweza kuangalia nafasi zao kwenye jedwali ambalo litawekwa kila siku ifikapo saa 10:00 jioni.

Orodha ya mwisho ya washindi itatangazwa tarehe 28 Aprili, 2023 na zawadi ya fedha itawekwa kwenye akaunti ya mchezaji tarehe 28 Aprili, mwaka huu siku moja baada ya kumalizika kwa promosheni. Washindi watapewa taarifa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!