Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Michezo Meridianbet yazindua duka jipya Vingunguti Relini
Michezo

Meridianbet yazindua duka jipya Vingunguti Relini

Spread the love

 

KAMPUNI ya Meridianbet yenye ODDS KUBWA imeendelea kutanua wigo wa huduma kwa wateja wake baada ya kufungua duka lingine mitaa ya Vingunguti Relini jijini Dar es Salaam ambalo litakuwa limesheheni michezo mingi ya kubashiri kuanzia mpira wa miguu, tenesi, mpira wa wavu pamoja na michezo ya kasino mitandaoni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamekuwa na kampeni ya kuhakikisha wanawafikia wateja wake kwa karibu zaidi kwa kuwasogezea huduma popote walipo na ndiyo imekuwa sababu kubwa ya kampuni hiyo kufungua maduka maeneo mengi ndani na nje ya jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kuendelea kuimarisha na kusogeza huduma kwa wateja wake.

Ukiwa na Meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubeti wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet, Matina Nkurlu amesema: “Tunayo furaha kubwa kufanya uzinduzi wa duka hili la kubashiri maeneo ya Vingunguti Relini, ni muendelezo wa kusogeza huduma kwa wateja wa michezo ya kubashiri kwa wakazi wote wa eneo hili.”

Matina alieleza wamefungua duka hilo na kuboresha zaidi huduma  wameongeza vifaa bora kwa maana ya mashine ili kuweka urahisi kwa wateja wake waweze kubashiri kwenye mazingira bora kabisa.

Vile vile baada ya uzinduzi wa duka hilo mitaa ya Vingunguti Relini wakazi wa maeneo hayo wameonesha kufurahishwa na kitendo cha kampuni hiyo kufungua duka hilo maeneo hayo, litawasaidia kubashiri kwa wepesi kwani walikuwa wakilazimika kwenda umbali mrefu kwajili ya kubashiri lakini sasa wana furaha kubwa kwakua duka limesogezwa karibu yao lenye huduma bora kabisa.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!