Sunday , 5 May 2024

Michezo

Michezo

Michezo

Yanga yafunga usajili na ushindi

CHIKO Ushindi aliyekuwa winga wa klabu ya TP Mazembe ya nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo amekamilisha usajIli wa kujiunga na klabu ya...

Michezo

Mayele akamatiki, aiongoza Yanga kwenye ushindi dhidi ya Coastal

  FISTON Kalala Mayele kwa sasa ni moja ya washambuliaji ambao hawakamiti kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara mara baada ya kuingoza Yanga kwenye...

MichezoTangulizi

Chama arejea Simba, atangazwa rasmi

  KLABU ya soka ya Simba imetangaza rasmi kumrejesha kiungo wake raia wa Zambia Clatous Chama, mara baada ya kufanikiwa kumsajili tena akitokea...

Michezo

Simba yatawala tuzo kombe la Mapinduzi

  LICHA ya kutwaa taji la kombe la Mapinduzi, klabu ya soka ya Simba imetwaa tuzo tatu muhimu kwenye michuano hiyo ambayo imeunguruma...

HabariMichezo

JANNY SIKAZWE: Huyu ndiye mwamuzi wa ‘mauzauza’ AFCON 2021

  Janny Sikazwe ni mwamuzi ambaye ameyatia doa mashinadano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2021) yanayoendelea huko nchini Cameroon baada ya kuitibua timu...

HabariMichezo

Kiporo cha Simba dhidi ya Kagera Sugar kupigwa Januari 26

  Bodi ya Ligi imefanya marekebisho kwa michezo 12 ya Ligi Kuu Tanzania Bara, ukiwemo mchezo ulioahirishwa kati ya Kagera Sugar dhidi ya...

Michezo

Simba kuikabili Azam FC fainali kombe la Mapinduzi

  KLABU ya soka ya Simba imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi inayofanyika visiwani Zanzibar kufuatia kuondoka na ushindi wa...

Michezo

Kocha Yanga amtetea kipa wake aliyefungwa penati 9

  KOCHA wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze amemtetea mlinda mlango wake Erick Johora aliyeingia kuchukua nafasi ya Aboutwalib Mshery na kufungwa penati...

MichezoTangulizi

Yanga hoi kombe la Mapinduzi wavuliwa ubingwa, Azam FC yatinga fainali

  KLABU ya Soka ya Yanga imevuliwa rasmi ubingwa wa kombe la Mapinduzi mara baada ya kuondolewa na Azam Fc katika mchezo wa...

Michezo

Cameroon, Cape Verde waanza vema michuano AFCON

  WENYEJI wa mashindano ya Kombel la Mataifa ya Afrika, Cameroon jana usiku walitoka nyuma na kuwalaza Burkina Faso bao 2-1 katika mechi...

Michezo

Kisa Corona wachezaji wanne Morocco kuikosa Ghana AFCON

  Wachezaji wanne wa timu ya Taifa ya Morocco wataukosa mchezo wa leo dhidi ya timu ya Taifa ya Ghana, kwenye michuano ya...

Michezo

Simba Queen waichabanga Yanga Princess 4-1

  DABI ya watani wa jadi kwa upande wa akina dada, Simba Queens na Yanga Princess imemaliza kwa wekundu hao wa Msimbazi kuwaadabisha...

KimataifaMichezo

KUELEKEA AFCON: Cheki mchezaji alivyoagwa na mkewe kwa mabusu ‘mubashara’

  Musah Noah Kamara, mchezaji kandanda wa Sierra Leone, ameagwa kwa mapenzi na bashasha la kipekee kutoka kwa mkewe wakati akijiandaa kuelekea katika...

Michezo

Msemaji mpya Simba aanza vijembe

  MKUU mpya wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa timu ya Simba nchini Tanzania, Ahmed Ally ameanza majukumu yake kwa ‘kuwazodoa’ watani...

Michezo

Simba yamtambulisha mrithi wa Haji Manara

  AHMED Ally, aliyekuwa mtangazaji wa Azam Media ametambulishwa rasmi kuwa msemaji wa timu ya Simba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Michezo

Mkude mchezaji bora mwezi Desemba

  KIUNGO wa klabu ya Simba Jonas Mkude amechgauliwa kuwa mchezaji bora wa mashabiki wa klabu ya Simba mwezi Desemba kwenye tuzo za...

Michezo

Denis Nkane atua Yanga

  HATIMAYE mabingwa wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam, imemtambulisha Danis Nkane. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Michezo

Yanga yafunga mwaka kwa kishindo

  KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kufunga mwaka 2021 kwa kishindo mara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya...

Michezo

Kocha wa Simba amzungumzia Ajibu, amtakia kila la kheri

  KOCHA mkuu wa klabu ya Simba Pablo Martin amemtakiwa kila la kheri mchezaji Ibrahim Ajibu mara baada ya kujiunga na Azam Fc...

Michezo

Banda awagawa viongozi Simba

  UONGOZI wa klabu ya Simba pamoja na benchi la ufundi kwa sasa wapo katika wakati mgumu juu ya kuamua hatma ya mkataba...

Michezo

Djuma Shaban hati hati kuikosa Dodoma Jiji

  MLINZI wa kulia wa klabu ya Yanga Raia wa Jamhuri ya Congo, Djuma Shaban yupo hati hati kuukosa mchezo wa Ligi Kuu...

Michezo

Ajibu avunja mkataba na simba, aibukia Azam FC

  KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Ibrahim Ajibu amejiunga rasmi na matajiri wa jiji la Dar es Salaam, klabu ya...

Michezo

Vita kinara wa mabao Ligi Kuu

  WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara ikiendelea kupamba moto, kwa kupigwa michezo 11 kwa baadhi ya timu, vita nyingine imeibuka katika kutafuta mfungaji...

MichezoTangulizi

Kagere, Wawa, Banda wavunjiwa mikataba Simba

  KLABU ya soka ya Simba imevunja mikataba ya nyota wake wanne wa kigeni wakiwemo mastaa wao aliokuwa tegemeo katika kikosi hicho kwa...

Michezo

Mshery achukua mikoba ya Diarra Yanga

  KLABU ya Soka ya Yanga imemtangaza rasmi mlinda mlango Aboutwalib Hamidu Mshery kama usajili mpya ndani ya klabu hiyo akitokea kwenye kikosi...

Michezo

Diarra awapa wakati mgumu Yanga

  WAKATI mlinda mlango namba moja wa klabu ya Yanga Djigui Diarra akitimka kwa ajili ya kujiunga na kambi ya Timu ya taifa...

Michezo

Chama uso kwa uso na Simba, kombe la Shirikisho

  Clatous Chama Raia wa Zambia akiwa na kikosi cha RS Berkane atakutana uso kwa uso na timu yake ya Zamani ya Simba...

MichezoTangulizi

Geita Gold FC yanasa mkataba mnono wa Sh milioni 500

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML imeidhamini Klabu ya soka ya Geita Gold Football Club kwa mkataba mnono wa thamani ya Sh...

KimataifaMichezo

Defao afariki dunia

  Nguli wa muziki wa Rhumba kutoka Congo, Général Defao (63) amefariki dunia nchini Cameroon alikokwenda kutumbuiza. Anaripoti Mwandishi Wetu  … (endelea). Defao...

MichezoTangulizi

Hayatasahulika kwenye michezo 2021

  ZIKIWA zimebaki siku chache kuelekea kufunga mwaka 2021 na kukaribisha mwaka mpya wa 2022, kuna mambo mengi katika tasnia ya michezo yaliyofanyika...

Michezo

Simba yaikata ngebe Kmc, waishushia kichapo cha mabao manne

  KLABU ya Simba imewakata ngebe Kmc ambao walitamba hapo awali kuondoka na ushindi kwenye mchezo huo, mara baada ya kuwabugiza mabao 4-1,...

Michezo

Peter Banda kutimka Simba

  WINGA wa klabu ya Simba Peter Banda anatarajia kutimka ndani ya kikosi cha Simba mara baada ya kujumuishwa kwenye kikosi cha Timu...

Michezo

Sure Boy kwenye rada za Yanga

MARA baada ya kupewa mkono wa kwaheri kwenye klabu yake ya Azam FC, kiungo Salum Abubakar “Sure Boy” huenda muda wowote kuanzia sasa...

Michezo

Mmewasikia KMC, wataka kuwapa mashabiki wao zawadi ya Krisimasi

  KLABU ya KMC ya Kinondoni inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, imetamba kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa leo wa Ligi Kuu dhidi...

Michezo

Timu 10 kukiwasha Mapinduzi, Simba na Yanga…

  MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi 2021 visiwani Zanzibar, itaanza tarehe 2 hadi 13 Januari huku timu kumi zikithibitisha kushiriki ikiwemo bingwa mtetezi...

Michezo

100 wapata ajira uwanja unaojengwa na GGML Geita

ZAIDI ya Watanzani 100 wamepata ajira katika mradi wa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa michezo unaojengwa katika mtaa wa Magogo halmashauri ya...

Michezo

Siku 75: Morris, Mudathir warejea tena Azam, Sure Boy…

  SIKU 75 za wachezaji waandamizi wa vijana wa rambaramba Azam FC ya jijini Dar es Salaam, kukaa kifungoni zimemalizika na kurejea mazoezini...

Michezo

Mastaa wamlilia mama yake Lulu Diva

  MSANII wa Bongo fleva na muigizaji katika tamthilia ya jua kali, Lulu Abasi maarufu kama Lulu Diva amepata msiba wa kuondokewa na...

MichezoTangulizi

Yanga yaipigisha kwata Tanzania Prisons, yajichimbia kileleni

  VIJANA wa Jangwani jijini Dar es Salaam, Yanga wameendelea kuwapa furaha mashabiki wake, baada ya kuwadunda 2-1 maafande wa magereza, Tanzania Prisons....

Michezo

Bunge Tanzania lazoa makombe 7, Majaliwa awapongeza

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza timu ya Bunge la nchi hiyo, baada ya kuibuka na makombe saba katika michezo mbalimbali...

Michezo

Koffi Olomidé kuingia jela leo?

  HATIMA ya Mwimbaji nguli wa mtindo wa Rumba wa kutoka Jamhuri ya Kidemorkasia ya Kongo (DRC), Koffi Olomidé inatarajiwa kufahamika leo tarehe...

Michezo

Dewji akoleza moto ujenzi uwanja wa Simba, atoa Bil 2

  RAIS wa heshima wa Simba ya jijini Dar es Salaam, Mohamed Dewji ameiomba bodi ya wakurugenzi wa timu hiyo, kukutana ili kuandaa...

Michezo

Mtibwa Sugar yahitimisha dakika 630 za ukame

BAADA ya kucheza dakika 630 bila kuibuka washindi katika Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2021/22, hatimaye timu ya Mtibwa Sugar, imeonja radhi ya...

KitaifaMichezo

Yanga wamvaa Mwenyekiti Simba

Uongozi wa Klabu ya Yanga umeeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu kutokana na tuhuma alizoishusha Yanga...

Michezo

Simba, Yanga hakuna mbabe

  MTANANGE wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga uliopigwa leo tarehe 11 Disemba 2021, katika dimba la Mkapa jijini Dar...

Michezo

Kisa dili la Mondi; Steve Nyerere, Aristote wamvaa Mwijaku

MTANGAZAJI ambaye pia ni mwigizaji wa Bongo Movies, Burton Mwamba ‘Mwijaku’ ameingia kwenye anga za mastaa wenziwe ambao wamejipachika majina maarufu ya ‘chawa’...

Michezo

Simba waigomea TFF KATIKA hali ya kushangaza uongozi wa klabu ya Simba ulimzuia kocha wake mkuu Pablo Franco Martin kutoongea na waandishi wa...

Michezo

Guardiola, Trend watamba tuzo mwezi Novemba Epl

  Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Novemba kwenye Ligi Kuu nchini England “EPL”,. Huku...

Michezo

Nyoni awaita mashabiki wa Simba Uwanjani

  MCHEZAJI kiraka wa klabu ya simba na Timu ya Taifa ya Tanzania Erasto Nyoni, amewataka mashabiki wa klabu ya Simba kujitokeza kwa...

Michezo

Samia aruhusu mashabiki kuingia Bure, Tanzania dhidi ya Uganda

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameruhusu mashabki kuingia bure kwenye michezo miwili ya kirafiki kati ya Tanzania...

error: Content is protected !!