January 28, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Simba yamtambulisha mrithi wa Haji Manara

Ahmed Ally

Spread the love

 

AHMED Ally, aliyekuwa mtangazaji wa Azam Media ametambulishwa rasmi kuwa msemaji wa timu ya Simba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Ally ametambulishwa leo Jumatatu, tarehe 3 Januari 2022 akichukua nafasi ya Haji Manara aliyetimkia Yanga.

Kabla ya Ally kujiunga Azam, alikuwa mtangazaji wa Star TV.

error: Content is protected !!